Hii ni kweli mkuu, maana hata jimboni kwake raia walikuwa hawamtaki nashangaa hata kutangazwa mshindi, cjui ilikuwaje huko jimboni kwake!Magu hayuko makini katika uteuzi wake na haya ndio matokeo yake.
Historia ya Maghembe alikuwa haijui?Huyu si alikuwa mmoja wa mawaziri mizigo enzi za Kikwete?Haya alikuwa hayajui wakati anampa uwaziri?
Magu nae ni tatizo tena kubwa tu
Apewe Mwanry. Nadhani bado kuna nafasi ya Rais kuteua Mbunge hivyo basi amteue Mwanry akamate hii Wizara na naamini ataiweza bila shaka yoyote.Bashe asingekuwa Team Lowassa angefaa sana kwa wizara hii!
Profesa wa nyukiKUMJADILI MAGEMBE NI KUUMIZA KICHWA MAANA NI ZIGOO LISILO BEBEKA ,,NILISHANGAA KWA UMAKINI WA RAIS KUMTEUA MAGHEMBE KWENYE SERIKALI KAMA WAZIRI,, NIKAJIULIZA " HIVI HAKUNA MTANZANIA MWENYE WEREDI NA UWEZO WA KUIFANYA HIYO KAZI?"YAAANI MAGHEMBE ??? DAAAAH!! BORA RAIS UNGEULIZA WANANCHI MAANA TUNAJUA MENGI KULIKO UNAVYODHANIA.
Huyu chama kinamlindaKuna Msomali mmoja haguswi ila yeye ndiye kinara wa meno ya Tembo na ujangili mwingi umefanyika kupitia yeye
Wewe unataka hao?
Magu hayuko makini katika uteuzi wake na haya ndio matokeo yake.
Historia ya Maghembe alikuwa haijui?Huyu si alikuwa mmoja wa mawaziri mizigo enzi za Kikwete?Haya alikuwa hayajui wakati anampa uwaziri?
Magu nae ni tatizo tena kubwa tu
MtajeKuna Msomali mmoja haguswi ila yeye ndiye kinara wa meno ya Tembo na ujangili mwingi umefanyika kupitia yeye
Mbona meno yenyewe ya zamani mengine yameishabunguliwa tayati!!! Isijekuwa usaniiNi aibu sana kwa wote waliotaka kuikwamisha operesheni ya kuwadaka maharamia wa meno ya tembo....
Siamini yaani unakuwa ccm huku ukiwa team upinzaniBashe asingekuwa Team Lowassa angefaa sana kwa wizara hii!
Alichakachua za mme wa KiriaHii ni kweli mkuu, maana hata jimboni kwake raia walikuwa hawamtaki nashangaa hata kutangazwa mshindi, cjui ilikuwaje huko jimboni kwake!
Alichakachua za mme wa KiriaHii ni kweli mkuu, maana hata jimboni kwake raia walikuwa hawamtaki nashangaa hata kutangazwa mshindi, cjui ilikuwaje huko jimboni kwake!
Huyu mzee ni mjanja mjanja sana.....wamtoe tu akelee wajukuu huko kijijini......hawa ndio waatulostisha....Wadau, amani iwe kwenu.
Binafsi nilikuwa ni miongoni mwa watu ambao tulionesha wasiwasi wetu mara tu baada ya Prof Maghembe kuteuliwa kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii. Wasiwasi wangu haukutokana na location ambayo Prof Maghembe anatoka bali ni kutokana na ugumu wa Wizara hiyo na uwezo wa Maghembe kukabiliana na changamoto za Wizara.
Hakika nilikuwa sahihi kumjudge negatively. Huko Kagera, Mhifadhi Mkuu wa Pori amefukuzwa kazi kutokana na kuwaondoa watu waliovamia pori hilo kwa kukata miti na kuingiza mifugo mingi. Mhifadhi huyo amefukuzwa kutokana na amri ya Mamlaka ya Juu ya Wizara.
Kama hiyo haitoshi, kuna operesheni inayoendelea ya kuwakamata vibompa wa Meno ya Tembo. Operesheni hiyo imeanza juzi. Hata hivyo, mamlaka ya Juu ya Wizara ya Maliasili na Utalii ikaingilia kati ili wanaohusika na biashara hiyo akiwemo jamaa mmoja anayejulikana kwa jina la Mpemba asikamatwe. Bahati nzuri Mheshimiwa Rais aliinyaka hiyo hewani na akasimama yeye mwenyewe kuongoza Operesheni hiyo. Hivi tunavyozungumza hali ni mbaya sana kwa hao jamaa ambao walidhani kuwa kwa nguvu ya pesa waliyonayo hawawezi kukamatwa.
Kwa mifano hii michache, sioni wapi ataponea Prof Maghembe. Jipu tayari limeiva na litatumbuliwa soon.
Yupo makini sana ila tatizo ampe nani sasa kama nyanya kwenye tenga zote zimeoza.Magu hayuko makini katika uteuzi wake na haya ndio matokeo yake.
Historia ya Maghembe alikuwa haijui?Huyu si alikuwa mmoja wa mawaziri mizigo enzi za Kikwete?Haya alikuwa hayajui wakati anampa uwaziri?
Magu nae ni tatizo tena kubwa tu