Katika siku zote leo ndio nimekuona kichwa! hongera sana mkuuWadau, amani iwe kwenu.
Binafsi nilikuwa ni miongoni mwa watu ambao tulionesha wasiwasi wetu mara tu baada ya Prof Maghembe kuteuliwa kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii. Wasiwasi wangu haukutokana na location ambayo Prof Maghembe anatoka bali ni kutokana na ugumu wa Wizara hiyo na uwezo wa Maghembe kukabiliana na changamoto za Wizara.
Hakika nilikuwa sahihi kumjudge negatively. Huko Kagera, Mhifadhi Mkuu wa Pori amefukuzwa kazi kutokana na kuwaondoa watu waliovamia pori hilo kwa kukata miti na kuingiza mifugo mingi. Mhifadhi huyo amefukuzwa kutokana na amri ya Mamlaka ya Juu ya Wizara.
Kama hiyo haitoshi, kuna operesheni inayoendelea ya kuwakamata vibompa wa Meno ya Tembo. Operesheni hiyo imeanza juzi. Hata hivyo, mamlaka ya Juu ya Wizara ya Maliasili na Utalii ikaingilia kati ili wanaohusika na biashara hiyo akiwemo jamaa mmoja anayejulikana kwa jina la Mpemba asikamatwe. Bahati nzuri Mheshimiwa Rais aliinyaka hiyo hewani na akasimama yeye mwenyewe kuongoza Operesheni hiyo. Hivi tunavyozungumza hali ni mbaya sana kwa hao jamaa ambao walidhani kuwa kwa nguvu ya pesa waliyonayo hawawezi kukamatwa.
Kwa mifano hii michache, sioni wapi ataponea Prof Maghembe. Jipu tayari limeiva na litatumbuliwa soon.
Magu hayuko makini katika uteuzi wake na haya ndio matokeo yake.
Historia ya Maghembe alikuwa haijui?Huyu si alikuwa mmoja wa mawaziri mizigo enzi za Kikwete?Haya alikuwa hayajui wakati anampa uwaziri?
Magu nae ni tatizo tena kubwa tu
Ishu sio kutumbuliwa sumaye,watumbuliwe na wa ccmAkitumbuliwa Sumaye kwenye issue za ardhi Magufuli anaonekana anaukandamiza upinzani!!
Lizaboni unapoambiwa Lumumba karibu yote hakuna wa kumnyoshea mtu mkono huwa huelewi. Kidogo Magufuli anathubutu na mimi kwa hili namuunga mkono.Hakika inauma sana. Yaani mpaka Mheshimiwa Rais akaamua kuingia front line.
nashauri huyu akitumbuliwa basi wizara achiwe katibu mkuu, mawaziri hawana tija tena kila siku wanaboronga.Wadau, amani iwe kwenu.
Binafsi nilikuwa ni miongoni mwa watu ambao tulionesha wasiwasi wetu mara tu baada ya Prof Maghembe kuteuliwa kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii. Wasiwasi wangu haukutokana na location ambayo Prof Maghembe anatoka bali ni kutokana na ugumu wa Wizara hiyo na uwezo wa Maghembe kukabiliana na changamoto za Wizara.
Hakika nilikuwa sahihi kumjudge negatively. Huko Kagera, Mhifadhi Mkuu wa Pori amefukuzwa kazi kutokana na kuwaondoa watu waliovamia pori hilo kwa kukata miti na kuingiza mifugo mingi. Mhifadhi huyo amefukuzwa kutokana na amri ya Mamlaka ya Juu ya Wizara.
Kama hiyo haitoshi, kuna operesheni inayoendelea ya kuwakamata vibompa wa Meno ya Tembo. Operesheni hiyo imeanza juzi. Hata hivyo, mamlaka ya Juu ya Wizara ya Maliasili na Utalii ikaingilia kati ili wanaohusika na biashara hiyo akiwemo jamaa mmoja anayejulikana kwa jina la Mpemba asikamatwe. Bahati nzuri Mheshimiwa Rais aliinyaka hiyo hewani na akasimama yeye mwenyewe kuongoza Operesheni hiyo. Hivi tunavyozungumza hali ni mbaya sana kwa hao jamaa ambao walidhani kuwa kwa nguvu ya pesa waliyonayo hawawezi kukamatwa.
Kwa mifano hii michache, sioni wapi ataponea Prof Maghembe. Jipu tayari limeiva na litatumbuliwa soon.
Yaan ni shida akitumbuliwa maghembe anakimbilia kwa kinana LumumbaTatizo ni chama cha ccm wala sio Maghembe, Magufuri atapata shida sana kwenye haya mapambano atajikuta anapambana na chama chake
CCM ni ile ile ooh ni ile ile.mmmh kumbe ccm kuna majipu lizaboni???kumbe ccm kuna mafisadi mimi nilijua magufuli ni malaika hakosei kuchagua
Hatua ya proff maghembe inashangaza. Eneo hilo linafahamika kuvamiwa na wafugaji wanyarwanda wa jamii ya kitutsi. Wanatoa rushwa kwa vigogo na huwafanyia wenyeji vitendo vya kinyama ikiwa ni pamoja na kufanya mauaji ya wale wenye ujasiri kuwapinga. Uamuzi wa proff yafaa kuchunguzwa kama ni kwa manufaa ya nani.Wadau, amani iwe kwenu.
Binafsi nilikuwa ni miongoni mwa watu ambao tulionesha wasiwasi wetu mara tu baada ya Prof Maghembe kuteuliwa kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii. Wasiwasi wangu haukutokana na location ambayo Prof Maghembe anatona ugumu wa Wizara hiyo na uwezo wa Maghembe kukabiliana na changamoto za Wizara.
Hakika nilikuwa sahihi kumjudge negatively. Huko Kagera, Mhifadhi Mkuu wa Pori amefukuzwa kazi kutokana na kuwaondoa watu waliovamia pori hilo kwa kukata miti na kuingiza mifugo mingi. Mhifadhi huyo amefukuzwa kutokana na amri ya Mamlaka ya Juu ya Wizara.
Kama hiyo haitoshi, kuna operesheni inayoendelea ya kuwakamata vibompa wa Meno ya Tembo. Operesheni hiyo imeanza juzi. Hata hivyo, mamlaka ya Juu ya Wizara ya Maliasili na Utalii ikaingilia kati ili wanaohusika na biashara hiyo akiwemo jamaa mmoja anayejulikana kwa jina la Mpemba asikamatwe. Bahati nzuri Mheshimiwa Rais aliinyaka hiyo hewani na akasimama yeye mwenyewe kuongoza Operesheni hiyo. Hivi tunavyozungumza hali ni mbaya sana kwa hao jamaa ambao walidhani kuwa kwa nguvu ya pesa waliyonayo hawawezi kukamatwa.
Kwa mifano hii michache, sioni wapi ataponea Prof Maghembe. Jipu tayari limeiva na litatumbuliwa soon.
Wadau, amani iwe kwenu.
Binafsi nilikuwa ni miongoni mwa watu ambao tulionesha wasiwasi wetu mara tu baada ya Prof Maghembe kuteuliwa kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii. Wasiwasi wangu haukutokana na location ambayo Prof Maghembe anatoka bali ni kutokana na ugumu wa Wizara hiyo na uwezo wa Maghembe kukabiliana na changamoto za Wizara.
Hakika nilikuwa sahihi kumjudge negatively. Huko Kagera, Mhifadhi Mkuu wa Pori amefukuzwa kazi kutokana na kuwaondoa watu waliovamia pori hilo kwa kukata miti na kuingiza mifugo mingi. Mhifadhi huyo amefukuzwa kutokana na amri ya Mamlaka ya Juu ya Wizara.
Kama hiyo haitoshi, kuna operesheni inayoendelea ya kuwakamata vibompa wa Meno ya Tembo. Operesheni hiyo imeanza juzi. Hata hivyo, mamlaka ya Juu ya Wizara ya Maliasili na Utalii ikaingilia kati ili wanaohusika na biashara hiyo akiwemo jamaa mmoja anayejulikana kwa jina la Mpemba asikamatwe. Bahati nzuri Mheshimiwa Rais aliinyaka hiyo hewani na akasimama yeye mwenyewe kuongoza Operesheni hiyo. Hivi tunavyozungumza hali ni mbaya sana kwa hao jamaa ambao walidhani kuwa kwa nguvu ya pesa waliyonayo hawawezi kukamatwa.
Kwa mifano hii michache, sioni wapi ataponea Prof Maghembe. Jipu tayari limeiva na litatumbuliwa soon.
Ni aibu sana kwa wote waliotaka kuikwamisha operesheni ya kuwadaka maharamia wa meno ya tembo....
Labda sheria zisizopingana na maslahi ya chama.hii ya kagera imetia simanzi sana,rais anasema tufate sheria,ukifata sheria mawaziri wanakutumbua,pole mhifadhi pori.
Deal gani mkuu, inaonekana mzee anakula migao kutoka kwa matajiri ila najiuliza wale wanyarwanda tulioambiwa na Manyerere Jackton kwamba ndio waliingiza mifugo yao hifadhini kutokea rwanda walimpa nini Waziri hadi akamfuta kazi mwenzake?Maghembe Alikuwa Katavi Wiki Iliyopita Kwenye Deals
Magu hayuko makini katika uteuzi wake na haya ndio matokeo yake.
Historia ya Maghembe alikuwa haijui?Huyu si alikuwa mmoja wa mawaziri mizigo enzi za Kikwete?Haya alikuwa hayajui wakati anampa uwaziri?
Magu nae ni tatizo tena kubwa tu
Hivi n8 kwamba kwa vile tu upo chadema ama nini?Huyo mtu kafukuzwa lini? Unaonekana mbulumundu kukimbilia kuandika usichokijua.... huyo amesimamishwa kazi.....
Naona safari hii ampe Leonidas Gama au siyo?
Sio kweli kaskazini hakukuwa namna ya kumkwepa kwa kuwa CCM alibaki yeye tu majimbo mengne yakienda upinzani,kingne naona mkulu alikuwa anabalance angalau dini kulikuwa hakuna namna ya kumkwepa. Unapozungumzia kaskazini hasa kisiasa sanasana tunaongelea Arusha, Kilinjaro na Manyara.Tatizo asingemteua. Mungesema kanda ya kaskazini ameisusa. Huyo ndiye alionekana anauafadhari. Waliobaki makanjanja chagadema fullstop