Prof. Maghembe adhulumiwa mali ya bilioni !

Alafu huyu diwani mdhulumaji nadhani ni darasa la saba,hana sera zaidi ya kutumia hela kujinufaisha kisiasa.
 
wewe ni mtengeti wa pasua au.unamfahamu mzee kanyika wa stand ya mboya?maghembe ubunge wake umekwenda na maji kamati ya ufundi imemkataa mwanga hizo kirumo coaster pia ni zake?
 
Sasa naelewa kwanini wezi wengi na mafisadi wanangangania chama cha magamba!!
kama ni kweli I LIKED IT!
TATU BILA! NAYEYE APATE UCHUNGU WA KUIBIWA, WANAOPATA WANANCHI KILA SIKU KWA KUKOSA HUDUMA ZA KIJAMII
 
Natoa wito kwa wale watu wote ambao wamepewa mali za mafisadi na kuzinadikia majina ya kampuni zao wazitaifishe zote!! Hapo kisheria hata akienda mahakamani ni lazima aoneshe evidence!! Na kwa kuwa document ziko kwa jina lako basi kisheria ndizo document halali!!Kina PUMA mpo na wengine? Kina Millenium Hotel mpo? Kina ...... mpo? The list is endless!! Fanyeni kweli mnaotumiwa na hawa wezi.
 
we kama unamwandikisha m2 mali zako ili wewe usionekane mwizi lazma na wenzio wakudhulumu kwan cha m2 kitamu,kula lakin jua kuwa na vyako lazma viliwe
 

Mkuu mbona hii kwa sisi magamba ni vijisenti tu
 
Enea mrutu ni katibu wa TABOA.....kamdhulumu prof. magembe safi sana.nimeyaona mabasi ya kirumo ya yutong.
 
unajua kitakachofuata? coz mahakaman maghembe hawezi shinda.

kuna mmbunge mmoja, simkumbuki jina, ila ilitokea dar kipindi cha Ben,

Mlinzi wake wa nyumban alimwona anatoka nje ya nyumba saa nae usiku kuonana na watu waliompigia sim,
baadae alisikia wanagombana................kisha akasikia PWAAAAAAAAAAAAAAAH!!!!!!!!!!!!
 



Ushauri mzuri sana huu,na kwa kuongezea tu nawaambia wakati wanafanya hayo wawe wameshaandika urithi wa mgawanyo wa mali zao kabisa..
 
Huu uzi ni kama umeandikwa na mtu aliyekuwa anatweta baada ya mbio ndefu za kukimbia kujiepusha na adhabu fulani na akasimamishwa ghafla aeleze alichoeleza. Namshauri mleta uzi atulie na kuandika vizuri alichokusudia tukijue wadau.
 
Mkuu japokuwa habari hii inaukweli fulani fulani kwa sababu watu hao ninawafahamu vizuri, lakini tupe ufafanuzi ni vipi Enea Mrutu ambaye ni mwanaumme mwenye umri wa zaidi ya miaka hamsini agombee UWT, UVCCM nk. tena kwa pamoja?

ni kambi hizo baba, wanakuaga na kambi zao ambazo zinajumuisha wing zote, na mtu akipiga kampeni/akihonga kwa ajili ya wagombea wote wa kambi yake,
 

Wa Pare tangu lini wakadhulumiana?
 
Acha wafu wazike wafu wao.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…