Pasco_jr_ngumi
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 1,802
- 284
- Thread starter
- #21
Nadhani hadi kufikia kuitwa Dkt. basi atakuwa kesha 'publish' angalau tasinifu kadhaa. Ngoja tusubiri resume yake...
Tafadhali, mwenye data zake aweke hadharani hapa....
Nadhani hadi kufikia kuitwa Dkt. basi atakuwa kesha 'publish' angalau tasinifu kadhaa. Ngoja tusubiri resume yake...
Tafadhali, mwenye data zake aweke hadharani hapa....
Kuwa msomi lazima upublish?
huyu msomi mwenye uwezo wa kumwaga cheche jiandaeni kumpokea kwa kishndo kuja kwa wana Chadema
Ameacha mipombe?
Ni Xavery au Azaveli?
Ameacha mipombe?
Msomi ame publish nini ?
Ameacha mipombe?
=======Pombe wote tunakunywa for leisure, ila akili na uwezo wa mtu unabaki pale pale. Kikwete hanywi pombe ameifikisha nchi wapi hii?
wewe niaje?? kuwa msomi mpaka upublish kitu?????Msomi ame publish nini ?