Prof. Lwaitama njiani kujiunga na CHADEMA

Prof. Lwaitama njiani kujiunga na CHADEMA

Msomi ame publish nini ?
Lwaitama kanifunisha UDSM mwaka 1990 wakati huo akiwa DR. leo ni miaka 20 imepita sijui kama hajapublish kitu, jaribu ku google utamjua yeye ni nani.
 
Ameacha mipombe?

Ndiyo Mzee, siku hizi anakunywa tu RUBISI tena baada ya kazi. Kumbuka, vitabu takatifu husema mvinyo kidogo ni nzuri kwa afya yako.

Na huyo mtu aliomba kujua kama huyu Professor amewahi ku-Publish, swali hili linakusaliti kweli kwamba kwanza ni siku nyingi hufanyii palizi shamba lako la KNOWLEDGE kwa kujisomea. Laa sivyo ungekua wa kwanza kusifia ulivyofaidi ama kutoka kwenye vitabu vyake au Academic Papers. Isitoshe, tofauti na PhD ambayo siku hizi hugawiwa kama pipi baada ya watu kutembelea mahali au kuangaliwa maslahi inayoweza kupatikana kutokana na cheo anachokikalia, Uprofesa ni sharti kufanya Publishing endelevu ndugu.

Baada ya majibu hayo kwako, je utajiunga na sisi kwenda kumpokea na kumkabidhi kadi ya CHADEMA????
 
kaka huyu lwaitama ni noumer,me alinifundisha "introduction to critical thinking and argumentation" mwaka wa kwanza chuo, usimpimie kbs

noumer= noma mh! Sikujua jinsi gani kijana umekengeuka.
 
hebu mwacheni shemeji yangu aendelee na mambo yake nimeongea naye wala hana mpango na chama chochote na laiti angekuwa na nia hiyo angeshafanya hivyo siku nyingii.kwenye jamii lazima tuwe na wa2 wa aina yake ambao ni neutral ..hana mpango na chadema wala ccj!!!
 
Ndiyo Mzee, siku hizi anakunywa tu RUBISI tena baada ya kazi. Kumbuka, vitabu takatifu husema mvinyo kidogo ni nzuri kwa afya yako.

Na huyo mtu aliomba kujua kama huyu Professor amewahi ku-Publish, swali hili linakusaliti kweli kwamba kwanza ni siku nyingi hufanyii palizi shamba lako la KNOWLEDGE kwa kujisomea. Laa sivyo ungekua wa kwanza kusifia ulivyofaidi ama kutoka kwenye vitabu vyake au Academic Papers. Isitoshe, tofauti na PhD ambayo siku hizi hugawiwa kama pipi baada ya watu kutembelea mahali au kuangaliwa maslahi inayoweza kupatikana kutokana na cheo anachokikalia, Uprofesa ni sharti kufanya Publishing endelevu ndugu.

Baada ya majibu hayo kwako, je utajiunga na sisi kwenda kumpokea na kumkabidhi kadi ya CHADEMA????

Swali linaenda na jibu, jibu la swali langu murua ni kusema "ame publish hiki na kile" "au sijui".

Longolongo nyingiii, mtu mwenyewe hata haji huko CHADEMA.
 
Cha kujiuliza ni je, anasubiri nini kujiunga? Chadema ipo miaka mingi tu. Sasa yeye asubiriwe kutoka wapi?
 
Hivi mwalimu anayefundisha vyuo vikuu au elimu ya juu anaitwa nani! mwee jamani nilithani prof.

Hiyo ni huko Marekani (labda na Ufaransa) ambapo wanatumia maana halisi ya neno profesa - huku mpaka uandike na kuchapisha sana!
 
Swali linaenda na jibu, jibu la swali langu murua ni kusema "ame publish hiki na kile" "au sijui".

Longolongo nyingiii, mtu mwenyewe hata haji huko CHADEMA.

Kila kitu unapinga tuuu yani hujistukii mazee.

Longolongo unazileta wewe, kila kitu unataka kuleta ligi isiyouwa na maana.
 
Hiyo ni huko Marekani (labda na Ufaransa) ambapo wanatumia maana halisi ya neno profesa - huku mpaka uandike na kuchapisha sana!

Huko vikorosho vingi. Afu maprofesor wenu wakija huku wanashangaa-shangaa.
 
Huko vikorosho vingi. Afu maprofesor wenu wakija huku wanashangaa-shangaa.

Nakwambia hawana lolote hao maprofesa wa kibongo. Kazi kunywa pombe na kula kiti moto Udasa bar na bar zingine huko uraiani. Hawafanyi tafiti zozote zile za maana na zenye manufaa kwa taifa na wananchi wake. Yaani hao maprofesa ni zero, nada, zilch!!!!
 
Hivi Shaaban Robert alikuwa msomi?
 
Lwaitama kujiunga chadema?????..lets wait..watam-Baregu soon very soon.
 
Maisha ya mtu ni persona issue, yaani yake mwenyewe..

Kama anakuwa na utanzania na kuweka maslahi ya nchi na watanzania mbele tunakaribisha sana..

Chadema mwendo mdundo....
 
Back
Top Bottom