Prof. Lwaitama njiani kujiunga na CHADEMA

DR Azaveri Lweitama ni mtu ambaye ni critical, objective, asiyependa viongozi wabovu kwenye nchi, kubwa kuliko yoye ni mtu na anayesimamia kwenye ukweli tu.Na hizo ndizo sifa za msomi yeyote aliyeiva kisawasawa.Hivyo kuingia kwake chadema kutakuwa na mchango mzuri katika chama hicho .Chama bado kinahitaji contigent iliojaa vichwa vyenye watu wenye kufikiri na kubuni mbinu za kukabiliana na matatizo ya watanzania, na siyo watu wanaowaza kujineemesha wao na familia zao at the expense of a vast majority Tanzanians.

hapo nilipo highlight ni sahihi kabisa lakini kama unamjua vyema au kwa wanaomjua vyema, utaona kwamba ni afadhali abaki neutral hapohapo. ili abaki na uhuru wa kuendelea kuisaidia jamii kwa namna hiyo.
Otherwise huyu jamaa kwenye mambo ya jamii hafiti vizuri. CDM mchukueni na mmpe cheo kuna siku mtafahamu kisemwacho
 
ana uwezo mkubwa wa kuongea, kujenga hoja,na kuelimisha jamii. Unataka achapishe vitabu wakati kusoma hamtaki?! Watanzania hatuna utamadun wa kusoma vtabu!

Mipombe imemzidi hadi kazi zinamshinda,mara nyingi anaonekana uwanja wa Paris(Fisi) sasa sijuhi anafuata nini kule!
 
Back
Top Bottom