Prof. Lwaitama njiani kujiunga na CHADEMA

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,802
282
huyu msomi mwenye uwezo wa kumwaga cheche jiandaeni kumpokea kwa kishndo kuja kwa wana Chadema
 
sidhani kama hiyo ni point
Inawezekana kwako sio.

Lakini mtu ambaye hawezi ku-keep image ya entity au cheo anachokiwakilisha kwa kutawaliwa na pombe, huyo hafai..hakuna kumung'unya maneno hapo.
 
Of course wewe unaweza kuniambia hata wale wanafunzi wa mwaka wa kwanza UDom ni wasomi.

Kwanza kupublish unakuelewaje ?

Chagua....

b : to make public announcement of 2
a : to disseminate to the public b : to produce or release for distribution; specifically : print 2c c : to issue the work of (an author)

intransitive verb
1
: to put out an edition

2
: to have one's work accepted for publication
 
ana uwezo mkubwa wa kuongea, kujenga hoja,na kuelimisha jamii. Unataka achapishe vitabu wakati kusoma hamtaki?! Watanzania hatuna utamadun wa kusoma vtabu!
 

Ewaa, any of those could apply, ka publish nini huyu? Falsafa yake ni nini tumjue .
 
Ewaa, any of those could apply, ka publish nini huyu? Falsafa yake ni nini tumjue .

Nadhani hadi kufikia kuitwa Dkt. basi atakuwa kesha 'publish' angalau tasinifu kadhaa. Ngoja tusubiri resume yake...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…