Pasco_jr_ngumi
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 1,802
- 282
huyu msomi mwenye uwezo wa kumwaga cheche jiandaeni kumpokea kwa kishndo kuja kwa wana Chadema
Msomi ame publish nini ?
Msomi ame publish nini ?
Ni Xavery au Azaveli?
Kuwa msomi lazima upublish?
Ameacha mipombe?
Kuwa msomi lazima upublish?
Ameacha mipombe?
Inawezekana kwako sio.sidhani kama hiyo ni point
Of course wewe unaweza kuniambia hata wale wanafunzi wa mwaka wa kwanza UDom ni wasomi.
Kwanza kupublish unakuelewaje ?
waweza kumuita umpendavyo kwa kiswahili AZAVELI LWAITAMA,
kwa kimombo XAVERY LWAITAMA.
huyu msomi mwenye uwezo wa kumwaga cheche jiandaeni kumpokea kwa kishndo kuja kwa wana Chadema
Chagua....
b : to make public announcement of 2
a : to disseminate to the public b : to produce or release for distribution; specifically : print 2c c : to issue the work of (an author)
intransitive verb
1
: to put out an edition
2
: to have one's work accepted for publication
Ewaa, any of those could apply, ka publish nini huyu? Falsafa yake ni nini tumjue .