Prof Lipumba kupokewa (KIA) ARUSHA akitokea Brussels.

mkigoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
1,180
Reaction score
309
wakazi wa mji wa Arusha wanatarajia kujitokeza kwa wingi kumpokea Prof Lipumba tarehe 30/09/2012 akitokea brussels- ubelgiji. ambako anatarajiwa kuondoka tarehe 22/09/2012, ambako anakwenda kushughulikia kuanguka kwa sarafu ya EURO barani ulaya. Chanzo. Prof lipumba jangwani.
 
acha ujinga wewe, anaenda kushughulikia kuanguka kwa sarafu ya euro!!!!!
 
Mke anavyohangaika kumlinda mume sijui analipwa nini.
 
wakazi wa mji wa Arusha wanatarajia kujitokeza kwa wingi kumpokea Prof Lipumba tarehe 30/09/2012 akitokea brussels- ubelgiji. ambako anatarajiwa kuondoka tarehe 22/09/2012, ambako anakwenda kushughulikia kuanguka kwa sarafu ya EURO barani ulaya. Chanzo. Prof lipumba jangwani.

CUF wanafurahisha kweli. Ukiwasikiliza unaweza kudhani Prof Lipumba anategemewa na dunia nzima kutatua matatizo ya uchumi! And now he is going to rescue the Euro!!!
 
Wakazi wa Arusha kujitokeza kwa "Wingi" kweli watajitokeza ila kinachogomba ni kuwa badala ya kupambana kuondoa uozo serikalini mnapambana kukiondoa kivuli ambacho hakipo serikalini
Mpinzani wa CUF ni CCM au ni CDM maana badala ya wapinzani kupambana kuhakikisha kuwa maisha ya mtanzania yanakuwa bora na ufisadi unatokomezwa wapinzani wanapambana wenyewe kwa wenyewe
 
KIA sio Arusha Mkuu, na huo ujinga wa eti anakwenda kushughulikia kuanguka kwa sarafu ya Euro ungeuzungumzia Bagamoyo, kijiji cha Msoga na sio humu jf!
 
Hao majuha watakaompokea ni akina nani,yaani mtu atoke kupiga dili zake ili kushibisha tumbo lake halafu eti wawepo watu wa kumpokea?!!! Only in Tz this can happen!
 
acha ujinga wewe, anaenda kushughulikia kuanguka kwa sarafu ya euro!!!!!

mjinga mimi au wewe mkuu unayekuwa na wivu wa kike, lipumba mungu ndiye aliyembariki kumpa akili nyingi, kwanza utambue ni mwenyekiti wa jopo la uchumi Duniani, usimlinganishe Dr wa biblia unafanyd kosa mkuu.
 
Hao majuha watakaompokea ni akina nani,yaani mtu atoke kupiga dili zake ili kushibisha tumbo lake halafu eti wawepo watu wa kumpokea?!!! Only in Tz this can happen!
 
LMAO!
Kuanguka kwa Sarafu ya Euro kunashughulikiwa na Lipumba?.. U are not serious Guy!.. Duuuh!..
 
tatizo unamlinganisha Dr slaa mtaalamu wa biblia na Prof nguli wa uchumi Duniani hilo ni kosa la jinai mkuu.
 
Naomba sana asaidie kwanza shilingi isianguke . Alisaidia sana kipindi cha mwinyi ndio maana shilingi kipindi cha mwinyi ilikuwa strong sana!! ?? kama sikosei ndio alimshauri mwinyi sera ya Ruksa!!! profesa wa uchumi anaengoza chama kichumi!!
 
Mkuu hao wakazi wa Arusha ni Pamoja na Mimi? Hapo hakuna Cha Mapokezi ila kitakacho Fanyika CUF watatafuta Vijana wa TOYO watawalipa pesa then watawapatia Bendera ndo waongoze msafara wa Kumpokea, Ila Ishu ya Wanchi kwenda Kumpokea Kia hiyo sahau hakuna mtu wa Aina hiyo My be wale wajamaa wenu,
 
tatizo unamlinganisha Dr slaa mtaalamu wa biblia na Prof nguli wa uchumi Duniani hilo ni kosa la jinai mkuu.
Prof Nguli wa uchumi Duniani kwa nini ashiriki siasa, anataka kupata nini kwenye siasa? hapo ndo anapotia aibu huyo prof. wako. Mchumi wa dunia unazomewa na watoto kwenye kampeni, unapanda mkokoteni wa punda(Igunga)
 
Naomba sana asaidie kwanza shilingi isianguke . Alisaidia sana kipindi cha mwinyi ndio maana shilingi kipindi cha mwinyi ilikuwa strong sana!! ?? kama sikosei ndio alimshauri mwinyi sera ya Ruksa!!! profesa wa uchumi anaengoza chama kichumi!!
Anaongoza chama kiuchumi ebu ona hapa (Igunga Tshs Mil 150 = Kura 2000) @ Kura Tshs 75,000/=
 
mjinga mimi au wewe mkuu unayekuwa na wivu wa kike, lipumba mungu ndiye aliyembariki kumpa akili nyingi, kwanza utambue ni mwenyekiti wa jopo la uchumi Duniani, usimlinganishe Dr wa biblia unafanyd kosa mkuu.

mkuu wewe ni mjinga sana, who is Lipumba mpaka ashughulikie kushuka kwa EURO! are you serious? unajua unachokisema kweli?
 
mjinga mimi au wewe mkuu unayekuwa na wivu wa kike, lipumba mungu ndiye aliyembariki kumpa akili nyingi, kwanza utambue ni mwenyekiti wa jopo la uchumi Duniani, usimlinganishe Dr wa biblia unafanyd kosa mkuu.

Ajabu!
Mke wa Lipumba anayempa joto kitandani huwa hatambii elimu ya mumewe [inayomsaidia] kwa kadiri wanavyoitambia hawa vibaraka humu mtandaoni [ambao hawaifaidi chochote]
 
CUF sanaa troupe.

Mtatiro yupo humu jamvini. Natupa swali kwake; je anaweza kutupa chanzo cha mapato yao ili kuwezesha hiyo V4C?
Na pia kwa vile Igunga walifadhiliwa na CCM, je ni kwanini tusiamini kuwa CCM bado wameendelea na ufadhali wao?
 
Back
Top Bottom