Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,886
Sakata la kufungwa kwa akaunti za CUF ili kutafuta suluhu ya nani mwenye haki kati ya upande wa Lipumba anayetambulika na Msajili wa Vyama bwana Mutungi na upande wa Maalif Sherif Hamad bado unafuka.
Upande wa Prof Lipumba ukiongozwa na yeye mwenyewe umesema unakwenda mahakamani kuishitaki benki ya NMB kwa kutekeleza kauli na agizo la Maalim Seif wakati yeye kama mwenyekiti hamtambui kama katibu mkuu.
Kauli hiyo imekuja baada ya akaunti hizo kufungwa na kuzuiwa kutoka fedha serikali kusaidia kuendesha chama hicho.