Prof. Lipumba anahatarisha umoja wa UKAWA

Prof. Lipumba anahatarisha umoja wa UKAWA

ccm wamemtongoza kaingia line sasa ni mwendo wa Ukawa kumegeka kisa njaa za Lipumba .
Ukawa itapata umarufu sana tofauti na unavyodhani ni wao tuu kuweza kuw avigilant ili ajitoe kijinga km Zitto.Wana CUF wajiulize nini wanafanya na Lipumba.
 
Tayari kawaboa atawaboa Mara ngapi? Pesa za ccm kupitia Nape keshazipokea na yupo tayari Kwa Ajili ya kuwakoroga Ukawa hata time tena ya na muungano wao.
Itakuwa ndizo za mwisho nae anajua hilo.Lipumba siku zote huwa anaogelea ktk kivuli cha maalim.
 
Kwa kifupi tu Ule mchakato wa Goli la mkono bado unaendelea na sasa ni Nusu fainali , Nape kahamia Ukawa kuwachonganisha wakorogane tayari wamefanikiwa kumnasa Lipumba huku wakibuni mbinu za kumvaa Mbatia ili watimize lengo Lao maana wamegundua kuwa kumuuza Magufuli itakuwa shida sana, njia rahisi ni kuwavuruga Ukawa kisha ccm ipige Goli la mkono kirahisi zaidi.
ATaangukia Pua..anammaliza tuu prof wa watu.Mbatia anajua idadi ya kura zake inavyoweza badilika vibaya sana.
 
Goli la mkono sasa limepenyezwa Hadi Ukawa , Nape kaapa ataanunua wote mpaka Mbowe mwenyewe.ccm hawataki usumbufu kwenye majukwaa ya Kampeni watawabunua Ukawa wote ili wateleze Kama mlenda na Goli Lao la mkono.
Kumnunua Mbowe Nape acheni mizaha nyie...
 
my god kama ni kweli hizi ndizo political threat ambazo kila cku nalia na chadema intelligence yake ifanye kazi icwe kama ya lowassa ambayo ili switch outo pilot na wakalala usingizi kushituka ndege imedunguliwa na Mr invisible kama ccm wamempa prof lipumba fedha kweli ntaamini kuwa elimu yake itakuwa bure na atakuwa hana tofauti na prof maji mrefu yule mganga mbunge wa tanga dah kweli hata ukimbebesha punda vitabu vya dunia nzima itakuwa kabeba tu bt hatokuwa kaelimika
CDM wapo makini kuliko jana..Sasa hivi ni CCM tuu kushuhudia waliowanunua wakijidhalilisha na kuonyesha kwamba ni dili kichaa.
 
Back
Top Bottom