Prof. Lipumba anahatarisha umoja wa UKAWA

Prof. Lipumba anahatarisha umoja wa UKAWA

Mabele Marando hujapata file la Lipumba ili tusipotezeane mda?

Ni bora Ukawa wangewahi mapema wawalishe Yamini wale ambao Nape hajawafikia kwani wakitoka Kwa Lipumba wanaelekea Kwa Mbatia kisha kimbunga kinaendelea Hadi ndani ya chadema kuwachonganisha Dr slaa na mbowe.
 
Chadema ni wadini na Wana ukabila ndio maana Lipumba kasepa.
 
Maoni yangu katika hili yako limited.nikwasababu sina uhakika kama kweli lipumba ndiye anayelazimisha au mahafidhina wa chama chake.all in all kwa akili ya kawaida mgombea urais wa ukawa anatakiwa kutoka Cdm.hii ni kwasababu kuu chache lakini za msingi.kwanza Cdm kwa bara ndicho chama chenye kukubalika zaidi miongoni mwa vyama wanachama wa ukawa, pili ndicho chama chenye president materials wengi ikilinganishwa na vingine. tatu Cdm wana mtaji mkubwa zaidi wa kula za uchaguzi uliopita(2010)mitaani,hata kama Cdm au ukawa wataamua kubadili personality ya mgombea na wakatafuta mtu mwenye mvuto kwa watu,bado Cdm watatakiwa kutoa candidate ambaye ni Tundu lissu.si suala la kubishaniwa kuwa Leo hii Tundu lissu ana mvuto kwa wapigakura kuliko mwana ukawa yeyote.Lisu alitabiliwa kuvaa viatu vya slaa,amevivaa vikamtosha na kumbana.
 
Nani agombee ili ionekane hana tamaa ya madaraka? CHADEMA mnataka kuua vyama vingine
 
Nani agombee ili ionekane hana tamaa ya madaraka? CHADEMA mnataka kuua vyama vingine

Hapa CDM unawalaumu bure tu, mchezo wote wa kuwakoroga unachezwa na ccm ni mladi mkubwa huu Nape anapiga pesa kupitia huu udhaifu wao.
 
Mbona Slaa asikubali kumuachia Makaidi Au Mbatia? Au kwa nini chadema isitoe nafasi ya urais kwa NLD au NCCR?
 
Mambo ya UKAWA nyinyi ccm yanwahusu nini?
Mmevamia jukwaa kila siku UKAWA UKAWA malizeni ya kwenu na EL na Kingunge .
Mnazuga zuga tu eti mnaishauri UKAWA, tangu lini nyinyi mkawa washauri wa UKAWA?
Fitina zenu zimishajulikana tangu hamjazianzisha.
 
Chadema ni wadini na Wana ukabila ndio maana Lipumba kasepa.

Si kweli Hata chembe hilo Tatizo lipo chadema lakini halikuwa shida Kwa Lipumba Hata kidogo , Ukweli kilichomkimbiza Ukawa Lipumba ni kununuliwa na ccm ili wavurugane kisha magufuli apete kirahisi .
 
Hiki sasa kitakuwa eti kisingizio ! Wakati Lipumba kachukua pesa za ccm akawa Hana kisingizio atakushukuru sana Kwa kumpa kisingizio hiki .
Sasa hivi watakuwa wamemshika kwa udini na ukanda+ukabila.Si unajua wanyamwezi na Wasukuma etc?Huyo ndie Lipumba atakufa bila kuwa hata mbunge.HIi ndio Nafasi yake ya kuwa kupata hivyo(uwaziri) kupitia ukawa.
 
Lipumba atawaboa watu kwa kuwa wa kwanza kwenda mpongez amagufuli kabla goli la mkono la Nape halijaingia
 
fanyeni judgement bila kuingilia uhuru na demokrasia za vyama vingine mkiona haiwezekani basi mjue mko level tofauti za demokrasia na malengo yenu ni tufauti pia
 
Sasa hivi watakuwa wamemshika kwa udini na ukanda+ukabila.Si unajua wanyamwezi na Wasukuma etc?Huyo ndie Lipumba atakufa bila kuwa hata mbunge.HIi ndio Nafasi yake ya kuwa kupata hivyo(uwaziri) kupitia ukawa.

ccm wamemtongoza kaingia line sasa ni mwendo wa Ukawa kumegeka kisa njaa za Lipumba .
 
Lipumba atawaboa watu kwa kuwa wa kwanza kwenda mpongez amagufuli kabla goli la mkono la Nape halijaingia

Tayari kawaboa atawaboa Mara ngapi? Pesa za ccm kupitia Nape keshazipokea na yupo tayari Kwa Ajili ya kuwakoroga Ukawa hata time tena ya na muungano wao.
 
Back
Top Bottom