Prof. Lipumba anahatarisha umoja wa UKAWA

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
7,223
Reaction score
9,827
Prof. Ibrahimu Haruna Lipumba yaelekea anaweza akavuruga kabisa kambi ya UKAWA na hivo kuisambaratisha ngome ya UKAWA kutokana na tamaa ya Madaraka iliyopitiliza ya kutaka kuwa Rais.

Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa Vyama vingi huyu jamaa amekuwa kigombea kila baada ya miaka 5(1995,2000,2005 na 2010) na sasa kwa kupitia UKAWA analazimisha tena ateuliwe kama mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA!

Kwa mtu msomi kwa kiwango cha Uprofesa sikutegemea kabisa akomae na kutaka kuteuliwa awe mgombea wa Urais kwa mwaka huu. Ikumbukwe kuwa katika umoja wa UKAWA kuna makubaliano ya kuachiana majimbo na hili liko wazi na linakubalika. Kitu ambacho sielewi kuhusu Prof. Lipumba na CUF kwa ujumla kwanini hili la kuachiana ugombea wa URAIS wanashindwa kuliona.

Tayari CUF wamepitisha Jina la Maalim Sharrif Hamad kuwa mgombea wa Urais kwa tiketi ya CUF huko Visiwani. Ni jambo lili dhahiri basi CUF wangewaachia wenzao wa vyama vungine vya UKAWA kwa TANZANIA BARA ili wapendekeze jina toka aidha CHADEMA,NCCR au NLD. Haiwezekani CUF peke yao wachukue nafasi za kugombea Uraisi kwa BARA na VISIWANI. Hili halikubaliki asilani.

Lakini hata kama CUF wasingekuwa na mgombea wa Urais Visiwani, bado ilitakiwa busara ya hali ya juu katika kuteua jina la mgombea wa UKAWA. Kila Mtanzania anajua kuwa mwaka 2010 mgombea aliyeng'ara vizuri kiasi cha kutishia Urais wa Rais Kikwete alikuwa ni Dr. W.P.Slaa na alimwacha Lipumba kwa mbali sana.Ili UKAWA washinde Urais ni LAZIMA WAWEKE MTU ANAYEKUBALIKA NDANI YA UKAWA NA NJE YA UKAWA kwa maana ya Watanzania.

Kitendo cha Prof. Lipumba kutaka kung'ang'ania kuteuliwa na UKAWA ili apeperushe bendera kwenye nafasi ya Urais Bara lazima kikemewe na kilaaniwe kwa nguvu zote na Watanzaniua wote wanaotaka mabadiliko.Urais hauji kwa kulazimisha na Waswahili walilonga kuwa CHEMA CHAJIUZA KIBAYA CHAJITEMBEZA.

Chonde chonde Prof. Lipumba na CUF yako tuwakuomba mruhusu mchakato wa kumpata mgombea wa UKAWA kwa maridhiano na si mwingine baali Dr.Slaa, huyu atakuwa ni zaidi ya Pombe Magufuli.
 
Bora aondoke huyo pandikizi atuachie ukawa yetu ,lipumba ni ccm b
 
Kapewa Rushwa na akina Nape na tayari nape kachukua chake cha juu , lipumba atawavuruga sana ni bora wamfukuze mapema kisha waliosakia walishwe Yamini maana inasemekana sasa Nape katumwa kumnyatia Mbatia kisha alete hesabu apewe apeleke pia apate chake humo humo.
 
... Nyie Hamjaelewa. Tatizo Siyo Lipumba, Ni Uongozi Wa Cuf Na Wanachama Wake. Labda Lipumba Anajificha Huko.
 
Prof. Ibrahimu Haruna Lipumba yaelekea anaweza akavuruga kabisa kambi ya UKAWA na hivo kuisambaratisha ngome ya UKAWA kutokana na tamaa ya Madaraka iliyopitiliza ya kutaka kuwa Rais.Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa Vyama vingi huyu jamaa amekuwa kigombea kila baada ya miaka 5(1995,2000,2005 na 2010) na sasa kwa kupitia UKAWA analazimisha tena ateuliwe kama mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA!Kwa mtu msomi kwa kiwango cha Uprofesa sikutegemea kabisa akomae na kutaka kuteuliwa awe mgombea wa Urais kwa mwaka huu. Ikumbukwe kuwa katika umoja wa UKAWA kuna makubaliano ya kuachiana majimbo na hili liko wazi na linakubalika. Kitu ambacho sielewi kuhusu Prof. Lipumba na CUF kwa ujumla kwanini hili la kuachiana ugombea wa URAIS wanashindwa kuliona.Tayari CUF wamepitisha Jina la Maalim Sharrif Hamad kuwa mgombea wa Urais kwa tiketi ya CUF huko Visiwani. Ni jambo lili dhahiri basi CUF wangewaachia wenzao wa vyama vungine vya UKAWA kwa TANZANIA BARA ili wapendekeze jina toka aidha CHADEMA,NCCR au NLD. Haiwezekani CUF peke yao wachukue nafasi za kugombea Uraisi kwa BARA na VISIWANI. Hili halikubaliki asilani.Lakini hata kama CUF wasingekuwa na mgombea wa Urais Visiwani, bado ilitakiwa busara ya hali ya juu katika kuteua jina la mgombea wa UKAWA. Kila Mtanzania anajua kuwa mwaka 2010 mgombea aliyeng'ara vizuri kiasi cha kutishia Urais wa Rais Kikwete alikuwa ni Dr. W.P.Slaa na alimwacha Lipumba kwa mbali sana.Ili UKAWA washinde Urais ni LAZIMA WAWEKE MTU ANAYEKUBALIKA NDANI YA UKAWA NA NJE YA UKAWA kwa maana ya Watanzania.Kitendo cha Prof. Lipumba kutaka kung'ang'ania kuteuliwa na UKAWA ili apeperushe bendera kwenye nafasi ya Urais Bara lazima kikemewe na kilaaniwe kwa nguvu zote na Watanzaniua wote wanaotaka mabadiliko.Urais hauji kwa kulazimisha na Waswahili walilonga kuwa CHEMA CHAJIUZA KIBAYA CHAJITEMBEZA.Chonde chonde Prof. Lipumba na CUF yako tuwakuomba mruhusu mchakato wa kumpata mgombea wa UKAWA kwa maridhiano na si mwingine baali Dr.Slaa, huyu atakuwa ni zaidi ya Pombe Magufuli.
Hivi ana habari kwamba CDM wana uhakika wa zaidi ya kura mil 16 toka ktk pool yao.Nyingi zaidi ya CCM na CUF...
 
Huu sasa umekuwa mladi mkubwa wa Nape kila pesa anayopewa kupeleka huko lazima aombe ganji Kwa Yule anayempelekea .
 
Hivi ana habari kwamba CDM wana uhakika wa zaidi ya kura mil 16 toka ktk pool yao.Nyingi zaidi ya CCM na CUF...

Unakumbuka hata idadi ya wabunge kuongezeka upinzani ilitokana na Mbinu zao chafu za kukata majina ovyo kule Dodoma kisha wakatimkia upinzani wakashinda hili kosa ndilo lilimgharimu Makamba akafukuzwa ukatibu mkuu licha ya kuroga sana akiamini angepangua mawe.
 
Prof. Ibrahimu Haruna Lipumba yaelekea anaweza akavuruga kabisa kambi ya UKAWA na hivo kuisambaratisha ngome ya UKAWA kutokana na tamaa ya Madaraka iliyopitiliza ya kutaka kuwa Rais.

Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa Vyama vingi huyu jamaa amekuwa kigombea kila baada ya miaka 5(1995,2000,2005 na 2010) na sasa kwa kupitia UKAWA analazimisha tena ateuliwe kama mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA!

Kwa mtu msomi kwa kiwango cha Uprofesa sikutegemea kabisa akomae na kutaka kuteuliwa awe mgombea wa Urais kwa mwaka huu. Ikumbukwe kuwa katika umoja wa UKAWA kuna makubaliano ya kuachiana majimbo na hili liko wazi na linakubalika. Kitu ambacho sielewi kuhusu Prof. Lipumba na CUF kwa ujumla kwanini hili la kuachiana ugombea wa URAIS wanashindwa kuliona.

Tayari CUF wamepitisha Jina la Maalim Sharrif Hamad kuwa mgombea wa Urais kwa tiketi ya CUF huko Visiwani. Ni jambo lili dhahiri basi CUF wangewaachia wenzao wa vyama vungine vya UKAWA kwa TANZANIA BARA ili wapendekeze jina toka aidha CHADEMA,NCCR au NLD. Haiwezekani CUF peke yao wachukue nafasi za kugombea Uraisi kwa BARA na VISIWANI. Hili halikubaliki asilani.

Lakini hata kama CUF wasingekuwa na mgombea wa Urais Visiwani, bado ilitakiwa busara ya hali ya juu katika kuteua jina la mgombea wa UKAWA. Kila Mtanzania anajua kuwa mwaka 2010 mgombea aliyeng'ara vizuri kiasi cha kutishia Urais wa Rais Kikwete alikuwa ni Dr. W.P.Slaa na alimwacha Lipumba kwa mbali sana.Ili UKAWA washinde Urais ni LAZIMA WAWEKE MTU ANAYEKUBALIKA NDANI YA UKAWA NA NJE YA UKAWA kwa maana ya Watanzania.

Kitendo cha Prof. Lipumba kutaka kung'ang'ania kuteuliwa na UKAWA ili apeperushe bendera kwenye nafasi ya Urais Bara lazima kikemewe na kilaaniwe kwa nguvu zote na Watanzaniua wote wanaotaka mabadiliko.Urais hauji kwa kulazimisha na Waswahili walilonga kuwa CHEMA CHAJIUZA KIBAYA CHAJITEMBEZA.

Chonde chonde Prof. Lipumba na CUF yako tuwakuomba mruhusu mchakato wa kumpata mgombea wa UKAWA kwa maridhiano na si mwingine baali Dr.Slaa, huyu atakuwa ni zaidi ya Pombe Magufuli.

Tatizo sio Urais Tatizo maslahi....tumbo. atakayechaguliwa kugombea urais, ni dhahiri chama kitapata wabunge wengi..... na chama hicho kitapata maslahi zaidi.. sasa
nani akubali kunyimwa maslahi? huyo Slaa aliweka masharti ya kulipwa marupurupu yote kama mbunge na kiinua mgongo sawa na mbunge, endapo atakosa Urais... sasa leo mtamlipa nini asipogombea Urais? na hali sio mbunge?... ukatibu tu ndani ya chama mlungula mdogo. TATIZO SIO KUACHIANA ....TATIZO MLUNGULA
 
Mlikurupuka muungano ule kuutoa kwenye isue ya katiba na kuuhamishia huku. Huku mlipaswa muunde muungano mwingine wenye marengo tofauti ya ukawa. Kwa makosa hayo nyie ni waroho wa madaraka. Cdm ni mahafidhina yaliyobobea. Ni wezi kama wezi wengine tu.
 
Bora aondoke huyo pandikizi atuachie ukawa yetu ,lipumba ni ccm b
Teh Teh nimecheka sana!
Kapewa Rushwa na akina Nape na tayari nape kachukua chake cha juu , lipumba atawavuruga sana ni bora wamfukuze mapema kisha waliosakia walishwe Yamini maana inasemekana sasa Nape katumwa kumnyatia Mbatia kisha alete hesabu apewe apeleke pia apate chake humo humo.
 
Wakuu mbona sielewi......mbona munaongea kwa uhakika kuwa Nape anakula ganji kwa kila anaye-muaproach na kumpelekea mgao wake......ni kweli kula wanafiki ndani ya UKAWA wanaotaka kutuvurugia muunganiko wetu?
 
Ni ushenzi wa fikira wa Lipumba na waliomzunguka
 
cdm ni wanafiki sana wanataka kutumia vyama vingine kwa manufaa ya wachaga

Hiki sasa kitakuwa eti kisingizio ! Wakati Lipumba kachukua pesa za ccm akawa Hana kisingizio atakushukuru sana Kwa kumpa kisingizio hiki .
 
Prof. Ibrahimu Haruna Lipumba yaelekea anaweza akavuruga kabisa kambi ya UKAWA na hivo kuisambaratisha ngome ya UKAWA kutokana na tamaa ya Madaraka iliyopitiliza ya kutaka kuwa Rais.

Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa Vyama vingi huyu jamaa amekuwa kigombea kila baada ya miaka 5(1995,2000,2005 na 2010) na sasa kwa kupitia UKAWA analazimisha tena ateuliwe kama mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA!

Kwa mtu msomi kwa kiwango cha Uprofesa sikutegemea kabisa akomae na kutaka kuteuliwa awe mgombea wa Urais kwa mwaka huu. Ikumbukwe kuwa katika umoja wa UKAWA kuna makubaliano ya kuachiana majimbo na hili liko wazi na linakubalika. Kitu ambacho sielewi kuhusu Prof. Lipumba na CUF kwa ujumla kwanini hili la kuachiana ugombea wa URAIS wanashindwa kuliona.

Tayari CUF wamepitisha Jina la Maalim Sharrif Hamad kuwa mgombea wa Urais kwa tiketi ya CUF huko Visiwani. Ni jambo lili dhahiri basi CUF wangewaachia wenzao wa vyama vungine vya UKAWA kwa TANZANIA BARA ili wapendekeze jina toka aidha CHADEMA,NCCR au NLD. Haiwezekani CUF peke yao wachukue nafasi za kugombea Uraisi kwa BARA na VISIWANI. Hili halikubaliki asilani.

Lakini hata kama CUF wasingekuwa na mgombea wa Urais Visiwani, bado ilitakiwa busara ya hali ya juu katika kuteua jina la mgombea wa UKAWA. Kila Mtanzania anajua kuwa mwaka 2010 mgombea aliyeng'ara vizuri kiasi cha kutishia Urais wa Rais Kikwete alikuwa ni Dr. W.P.Slaa na alimwacha Lipumba kwa mbali sana.Ili UKAWA washinde Urais ni LAZIMA WAWEKE MTU ANAYEKUBALIKA NDANI YA UKAWA NA NJE YA UKAWA kwa maana ya Watanzania.

Kitendo cha Prof. Lipumba kutaka kung'ang'ania kuteuliwa na UKAWA ili apeperushe bendera kwenye nafasi ya Urais Bara lazima kikemewe na kilaaniwe kwa nguvu zote na Watanzaniua wote wanaotaka mabadiliko.Urais hauji kwa kulazimisha na Waswahili walilonga kuwa CHEMA CHAJIUZA KIBAYA CHAJITEMBEZA..

Chonde chonde Prof. Lipumba na CUF yako tuwakuomba mruhusu mchakato wa kumpata mgombea wa UKAWA kwa maridhiano na si mwingine baali Dr.Slaa, huyu atakuwa ni zaidi ya Pombe Magufuli.
Lila anise q. q. V
 
Wakuu mbona sielewi......mbona munaongea kwa uhakika kuwa Nape anakula ganji kwa kila anaye-muaproach na kumpelekea mgao wake......ni kweli kula wanafiki ndani ya UKAWA wanaotaka kutuvurugia muunganiko wetu?

Muungano wa Ukawa haukuwa na wanafiki bali ccm wamelazimisha Unafiki Kwa nguvu ya Pesa , wanaanza Kwa kumnunua Lipumba huku mbinu za kumwingia Mbatia zikisukwa kisha wengine nao watakorogwa Hadi Upinzani ukose nguvu na magufuli apenye kirahisi , sasa ni Wakati wa Nape kupiga pesa kupitia hii oparation chonganisha Ukawa.
 
Tamaa na uchu wa madaraka vitamuua huyu mzee!!!!akubali tu UKAWA imsimishe Dr!!!
 
Back
Top Bottom