Prof. Lipumba anahatarisha umoja wa UKAWA

Hiv kaskazini kuna wapiga kura mil 16? Sio bure ww unataka nikutukane tu
Hivi ana habari kwamba CDM wana uhakika wa zaidi ya kura mil 16 toka ktk pool yao.Nyingi zaidi ya CCM na CUF...
 
namuheshimu sana prof lipumba na katika kumbukumbu zangu alishawai kusema kuwa yupo tayali kumsuport yeyote atakae chaguliwa kuongoza ukawa ikulu naamini he will keep that promise bt kuna wajinga flani kutoka buguruni ndo hawataki chama cha mababu zao kitoke madarakani
 
Kwa kifupi tu Ule mchakato wa Goli la mkono bado unaendelea na sasa ni Nusu fainali , Nape kahamia Ukawa kuwachonganisha wakorogane tayari wamefanikiwa kumnasa Lipumba huku wakibuni mbinu za kumvaa Mbatia ili watimize lengo Lao maana wamegundua kuwa kumuuza Magufuli itakuwa shida sana, njia rahisi ni kuwavuruga Ukawa kisha ccm ipige Goli la mkono kirahisi zaidi.
 
namuheshimu sana prof lipumba na katika kumbukumbu zangu alishawai kusema kuwa yupo tayali kumsuport yeyote atakae chaguliwa kuongoza ukawa ikulu naamini he will keep that promise bt kuna wajinga flani kutoka buguruni ndo hawataki chama cha mababu zao kitoke madarakani

izzo Hicho ni kisingizio tu Ndugu yangu , Ukweli ni kwamba Lipumba kanunuliwa na ccm ili awamege Ukawa wakose me
Mwelekeo na nguvu za kumsumbua magufuli .
 
Suala la msingi hapa ni vigezo ambavyo Ukawa walitakiwa wakubaliane mwanzoni kabisa. Kwa kawaida chama kikubwa ndicho kinatakiwa kutoa mgombea uraisi. Hili halina ubishi na haijawahi kutokea chama kidogo kikaongoza serikali katika coalition. Kutokuwa na hicho kigezo ni kukaribisha vurugu.
 
Sasa bora hilo lingekuwa sababu pengine ingemsaidia Lipumba kuwazuga watanzania ambao huwa ni wepesa wa kusahau , Lakini Lipumba kajitoa Ukawa Kwa kununuliwa na ccm tu , si sababu wala kisingizio kingine , Tambua kuwa Wakati wanaungana si walikubaliana yote iwenje sasa Wakati wa Goli la mkono ndipo Lipumba aanze Figisu Figisu ?
 
Mtoa mada huelewi kinachoendelea ndani ya ukawa prof Lipumba ana haki ya kugomea
 
Goli la mkono sasa limepenyezwa Hadi Ukawa , Nape kaapa ataanunua wote mpaka Mbowe mwenyewe.ccm hawataki usumbufu kwenye majukwaa ya Kampeni watawabunua Ukawa wote ili wateleze Kama mlenda na Goli Lao la mkono.
 
Mimi sidhani kama hii ni ishu ya Prof Lipumba as a person kwa sbb chama chama kilitoa nafasi ya kila mtu mwenye sifa za kuchukua form za ugombea urais afanye hivyo.

Kwa kumbukumbu zangu km ziko sawa, ni kwamba, ni yeye pekee aliyejitokeza kuchukua form na kuzirudisha kwa wakati hadi muda uliowekwa ukapita na hivyo kutangazwa mgombea pekee ndani ya chama chake.

Na hii ndivyo ilivyotokea kwa Maalim Seif Shariff Hamadi kwa upande wa urais wa Zanzibar. Na kwa maana hiyo hawa wote (kama sijakosea) wanasubiri baraza kuu la chama chao kuwapitisha/liwathibitishe rasmi kama wagombea urais wa JMT (Lipumba) na Maalim Seif Shaariff (Zanzibar).

Huu ni utaratibu wa ndani ya chama chao ambao hauna uhusiano wowote na utaratibu wa Ukawa kupata mgombea urais mmoja kuwakilisha umoja huu!!

Na kwa kadiri ninavyofahamu baada ya michakato ndani ya vyama vinavyounda umoja huu kukamilika, ndipo wagombea wa vyama vyote watakapowekwa ktk kapu moja kwa kufuata na kuzingatia taratibu na kanuni walizokubaliana ili kumpata mmoja kama nilivyosema hapo juu ili asimame kuuwakilisha umoja huu kama mgombea Urais na vyama vingine vyoote kumuunga mkono mgombea huyo na chama anachokiwakilisha.

Kwa ufahamu wangu hatua hii haijafikiwa bado.

Sasa inakuwaje unamrushia lawama na kila aina ya matusi Prof Lipumba? Hii post ina nia njema kweli au something fishy is behind this na hasa kuuvuruga umoja huu kwa kujenga taswira mbaya kwa jamii na wanajamvi kuwa CUF na Lipumba wana agenda ya kujitoa ndani ya coalition hii, au siyo?

Aidha kwa kadiri nijuavyo, na so long as mchakato wa kupata mgombea mmoja wa UKAWA kwa wagombea wateule wote toka vyama washiriki kupambanishwa, CUF wana haki ya kujinadi kuwa mgombea wao anafaa kuuwakillisha umoja huo na vivyohivyo Prof Lipumba mwenyewe kama mteule wa CUF ana haki hiyo ya kusema anafaa kuuwakilisha umoja huo kuzidi wenzake toka vyama vingine vishiriki vya UKAWA kwani mwisho wa siku kura zitapigwa na mshindi atapatikana na-hapo ukurasa unakuwa umefungwa.

Kama stage hii itafikiwa na bahati mbaya CUF na Prof Lipumba akabwagwa na mmoja wa wagombea toka vyama vingine na chokochoko na hii situation uliyoielezea hapa ikaendelea, hoja yako itakuwa na mashiko. Lakini right now, uko out of the point!!
 
Mtoa mada huelewi kinachoendelea ndani ya ukawa prof Lipumba ana haki ya kugomea

Haki ya kugoma sasa ? Goli la mkono ndilo limemfanya aanzishe mgomo , sasa yupo busy akibuni kisingizio cha kuja nacho lakini amechelewa tayari kwani wenye Akili nyingi wamejua Kuwa ccm wamemnunua Lipumba ili kupunguza kasi ya ikawa🏇
 
izzo Hicho ni kisingizio tu Ndugu yangu , Ukweli ni kwamba Lipumba kanunuliwa na ccm ili awamege Ukawa wakose me
Mwelekeo na nguvu za kumsumbua magufuli .

my god kama ni kweli hizi ndizo political threat ambazo kila cku nalia na chadema intelligence yake ifanye kazi icwe kama ya lowassa ambayo ili switch outo pilot na wakalala usingizi kushituka ndege imedunguliwa na Mr invisible kama ccm wamempa prof lipumba fedha kweli ntaamini kuwa elimu yake itakuwa bure na atakuwa hana tofauti na prof maji mrefu yule mganga mbunge wa tanga dah kweli hata ukimbebesha punda vitabu vya dunia nzima itakuwa kabeba tu bt hatokuwa kaelimika
 
Mimi sidhani kama hii ni ishu ya Prof Lipumba as a person kwa sbb chama chama kilitoa nafasi ya ukila mtu mwenye sifa za kuchukua form za ugombea urais afanye hivyo.

Kwa kumbukumbu zangu km ziko sawa, ni kwamba, ni yeye pekee aliyejitokeza kuchukua form na kuzirudisha kwa wakati hadi muda uliowekwa ukapita na hivyo kutangazwa mgombea pekee ndani ya chama chake.

Na hii ndivyo ilivyotokea kwa Maalim Seif Shariff Hamadi kwa upande wa urais wa Zanzibar. Na kwa maana hiyo hawa wote (kama sijakosea) wanasubiri baraza kuu la chama chao kuwapitisha/liwathibitishe rasmi kama wagombea urais wa JMT (Lipumba) na Maalim Seif Shaariff (Zanzibar).

Huu ni utaratibu wa ndani ya chama chao ambao hauna uhusiano wowote na utaratibu wa Ukawa kupata mgombea urais mmoja kuwakilisha umoja huu!!

Na kwa kadiri ninavyofahamu baada ya michakato ndani ya vyama vinavyounda umoja huu kukamilika, ndipo wagombea wa vyama vyote watakapowekwa ktk kapu moja kwa kufuata na kuzingatia taratibu na kanuni walizokubaliana ili kumpata mmoja kama nilivyosema hapo juu ili asimame kuuwakilisha umoja huu kama mgombea Urais na vyama vingine vyoote kumuunga mkono mgombea huyo na chama anachokiwakilisha.

Kwa ufahamu wangu hatua hii haijafikiwa bado.

Sasa inakuwaje unamrushia lawama na kila aina ya matusi Prof Lipumba? Hii post ina nia njema kweli au something fishy is behind this na hasa kuuvuruga umoja huu kwa kujenga taswira mbaya kwa jamii na wanajamvi kuwa CUF na Lipumba wana agenda ya kujitoa ndani ya coalition hii, au siyo?

Aidha kwa kadiri nijuavyo, na so long as mchakato wa kupata mgombea mmoja wa UKAWA kwa wagombea wateule wote toka vyama washiriki kupambanishwa, CUF wana haki ya kujinadi kuwa mgombea wao anafaa kuuwakillisha umoja huo na vivyohivyo Prof Lipumba mwenyewe kama mteule wa CUF ana haki hiyo ya kusema anafaa kuuwakilisha umoja huo kuzidi wenzake toka vyama vingine vishiriki vya UKAWA kwani mwisho wa siku kura zitapigwa na mshindi atapatikana na-hapo ukurasa unakuwa umefungwa.

Kama stage hii itafikiwa na bahati mbaya CUF na Prof Lipumba akabwagwa na mmoja wa wagombea toka vyama vingine na chokochoko na hii situation uliyoielezea hapa ikaendelea, hoja yako itakuwa na mashiko. Lakini right now, uko out of the point!!
Mkuu umeongea vizuri sana.Ubarikiwe!
 
mbona lipumba tu...??? Kwanini sio slaa king'ang'anizi??? hapo tafuteni mtu mwingine Tofauti na hao wawili bwana acheni kusakama watu....!!! au hakuna wengine???
 
my god kama ni kweli hizi ndizo political threat ambazo kila cku nalia na chadema intelligence yayke ifanye kazi icwe kama ya lowassa ambayo ili switch outo pilot na wakalala usingizi kushituka ndege imedunguliwa na Mr invisible kama ccm wamempa prof lipumba fedha kweli ntaamini kuwa elimu yake itakuwa bure na atakuwa hana tofauti na prof maji mrefu yule mganga mbunge wa tanga dah kweli hata ukimbebesha punda vitabu vya dunia nzima itakuwa kabeba tu bt hatokuwa kaelimika

Sawasawa mkuu Izzo.Tatizo la Chadema bado wanajiaminisha wapo juu ilhali tayari ishakuwa CDM nyingine ndembendembe.Chadema ya leo sio ya 2000 wakae wakilijua.Wakubali wakatae Zitto kawamega sana.
 
Hapa CDM unawalaumu bure tu, mchezo wote wa kuwakoroga unachezwa na ccm ni mladi mkubwa huu Nape anapiga pesa kupitia huu udhaifu wao.
Siamini leo umekuwa mtetezi mkubwa wa CHADEMA, kinachonishangaza zaidi ni jinsi ulivyokomaa na Lipumba,Wewe kama siyo Team Eddo basi utakuwa hapa kwa kazi maalumu ya kuchochea moto ndani ya UKAWA.
 
uvunjike ata Leo kwa sayansi yasiasa tuliyonayo Dr slaa ataapishwa october
 
my god kama ni kweli hizi ndizo political threat ambazo kila cku nalia na chadema intelligence yayke ifanye kazi icwe kama ya lowassa ambayo ili switch outo pilot na wakalala usingizi kushituka ndege imedunguliwa na Mr invisible kama ccm wamempa prof lipumba fedha kweli ntaamini kuwa elimu yake itakuwa bure na atakuwa hana tofauti na prof maji mrefu yule mganga mbunge wa tanga dah kweli hata ukimbebesha punda vitabu vya dunia nzima itakuwa kabeba tu bt hatokuwa kaelimika

Sawasawa mkuu Izzo.Tatizo la Chadema bado wanajiaminisha wapo juu ilhali tayari ishakuwa CDM nyingine ndembendembe.Chadema ya leo sio ya 2010 wakae wakilijua.Wakubali wakatae Zitto kawamega sana.
 
Back
Top Bottom