Prof. Lipumba aiapia CHADEMA kutotawala nchi

Mwimbaji mmoja alisema"Mwombee adui yako,aishi cku nyingi ili unapofanikiwa ajionee kwa macho.Hamna haja kabisa afe kabla hajaona baraka ambazo Mungu ameweka mbele yako"Pr.LIPUMBA NAKUOMBEA MAISHA MAREFU SANA,
 
Naomba maalim seif nae angekuwepo kwenye huo mkutano wao, akaelezea kuhusu CCM
 
Mwimbaji mmoja alisema"Mwombee adui yako,aishi cku nyingi ili unapofanikiwa ajionee kwa macho.Hamna haja kabisa afe kabla hajaona baraka ambazo Mungu ameweka mbele yako"Pr.LIPUMBA NAKUOMBEA MAISHA MAREFU SANA,
 
Tusijidanganye wala kudanganyana!<br />
<br />
....HAKUNA CHAMA HATA KIMOJA CHA UPINZANI TANZANIA!
<br />
<br />

Upo wewe mwenyewe, kwa nini usubiri kudanganya watu wengine. Kama umeliona hilo, basi tupe facts ili nasi tuchanganye na za kwetu. Hayo maneno ulotumia hayajatufikishia ujumbe wowote ule. Hivyo si vema kutuaminisha kijumla jumla.
Usikate tamaa, nchi ni yetu sote ndo tutaibomoa au kuijenga
 
Tusijidanganye wala kudanganyana!

....HAKUNA CHAMA HATA KIMOJA CHA UPINZANI TANZANIA!
kweli kabisa mkuu!Vyama vilivyokuwa vinapinga bila kushindana vyote vimekufa km,Tlp,Nccr,Udp,Tadea,Cuf nk.
Sasa kimebaki chama SHINDANI.Sio tu kupinga,pia tunasifia panapo hitajika,pia tunashindana kuingia kushika dola.CHADEMA chama pekee cha ushindani Tz.upooo!
 
SLAA-CUF inafadhiliwa na ccm kufanya mikutano ya kuishutumu cdm,cuf haiwezi kuwa chama cha upinzani,cuf ni chama popo,cuf haina uwezo wa kuongoza dola,

MBOWE- CUF ni mke wa ccm,cuf siyo chama cha upinzani,cuf ni ccm b, cuf ni wanafiki, cuf hawana mwelekeo,

LIPUMBA-Chadema ni chama cha wafanyabiashara na mafisadi nyangumi,chama cha wapiga disco,chama kisicho na uwezo wa kuwatoa watz kwenye umasikini,anayedhani cdm inaweza kuongoza nchi akanywe dawa ya babu loliondo,anaumwa.

Mtatiro- Tutajibu kila propaganda wanayosema cdm dhidi yetu, chama kinachotafuta dola hakiwezi kudhaminiwa na mafisadi(nyangumi) -sabodo,mengi na wenzie- siku kikipata dola kitawatumikia waliokifadhili,tutajibu hoja kwa kielelezo,propaganda kwa ukweli , mwisho wa siku ukweli utasimama,
MANENO YA VIONGOZI WENU HAYO,KATI YA HAO WOTE NANI MJINGA NO 1,2,3,4,
NANI MJINGA KULIKO WOTE,NANI TAAHIRA, NANI MJANJA?

You have nailed it!
 
Tusijidanganye wala kudanganyana!

....HAKUNA CHAMA HATA KIMOJA CHA UPINZANI TANZANIA!
kweli kabisa mkuu!Vyama vilivyokuwa vinapinga bila kushindana vyote vimekufa km,Tlp,Nccr,Udp,Tadea,Cuf nk.
Sasa kimebaki chama SHINDANI.Sio tu kupinga,pia tunasifia panapo hitajika,pia tunashindana kuingia kushika dola.CHADEMA chama pekee cha ushindani Tz.upooo!
 
Maalim Seif, nakumiss sana mkuu! Siku hizi sikusikii ukiongelea haki tena! Au tumeshapata hakiii? Hata kwenye taarifa za vijiweni.
Prof, hata sikuelewi, cdm siku hizi ni chama tawala? Kwani dola ipo kwa nani? Focus huko prof.
Lakini hata huko hali si shwari, si unaona wanavoshikana mashati?
ati "hakyanani huendi ikulu 2015 wewe labda uanzishe chama chako".
Prof, waambie wanyamaze hao, wataharibu dili, kwani hawaoni kazi nzito unayowafanyia?
wasihofu unafanya kazi ya kumchanganya mpinzani wao.
Lakini prof, unajua mlafi hashibi? hata akipasuka tumbo atataka ashonwe ili aendelee kula!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mwaka huu tutajionea mengi mno, hivi kumbe mkuki kwa nguruwe......... Majuzi mwanza,geita na bukoba mbowe na slaa walikuwa wakiisema waziwazi cuf majukwaani? Cuf ni ccm b, cuf siyo chama cha upinzani, cuf wanaibeba ccm, cuf wanadhoofisha upinzani n.k. Hatu juzi wakati dr(phd) slaa yuko kigoma amesema bila kubwabwaja kuwa cuf ni wakala wa ccm na kamwe hakiwezi kuwa chama cha upinzani,nadhani hayo ni matusi na kejeli na dharau za kutosha dhidi ya cuf kwa mtizamo huo ni muhimu cuf waseme wanayoyajua kuhusu cdm, kama ni muda wa kuumbuana ndio huu,waumbuane weeeeee, sie yetu macho na masikio and i strongly recommend to cuf to move on shouting about chadema as long as cdm started it and is moving on with it.
Namaanisha bse katika majukwaa ya cdm ajenda yao na adui yao mkubwa hivi sasa ni cuf na ccm then ni lazima ktk majukwaa ya cuf pia ajenda yao na adui yao mkubwa awe ccm na cdm and that is how politics is.
Vijana wa uvccm walivyomshambulia sumaye kisiasa lazima awajibu,kama walimponda naye awaponde na kama walimtukana naye amtukane,ndivyo siasa ilivyo the game of tit for tat, ktk mazingira hayo mashabiki wa cdm mliojazana humu lazima muwe wavumilivu mno

Ndugu, sijui na hakijulikani ni kitu gani kimeishusha sana busara ya CDM ya kuingia kwenye majibizano na kurusha maneno haya kwa CUF! they have exploded!!!! wamekanyaga kinyesi na sasa CUF ndio hao kila kukicha wanatoa makombora. hizi siasa au uadui na CUF unatokea wapi?? CDM wangekuwa na busara sana kama wangekaa kimya na mwisho wa siku tungeona nani mchokozi

kiwewe cha ushindi cha wabunge 40 kimeondoka na chama, cdm is declared the dead party kama ilivyo cuf yenyewe!

CUF sasa wanasema waziwazi na bado hawajaingia kwenye siasa za maji taka,

Tusijidanganye wala kudanganyana!

....HAKUNA CHAMA HATA KIMOJA CHA UPINZANI TANZANIA!

HUU NDIO UKWELI! wenye akili tumeishaona na kazi sasa ni kuwafumbua macho walioingia kwenye mkumbo! au udanganyifu mkubwa
 
Ndugu, sijui na hakijulikani ni kitu gani kimeishusha sana busara ya CDM ya kuingia kwenye majibizano na kurusha maneno haya kwa CUF! they have exploded!!!! wamekanyaga kinyesi na sasa CUF ndio hao kila kukicha wanatoa makombora. hizi siasa au uadui na CUF unatokea wapi?? CDM wangekuwa na busara sana kama wangekaa kimya na mwisho wa siku tungeona nani mchokozi

kiwewe cha ushindi cha wabunge 40 kimeondoka na chama, cdm is declared the dead party kama ilivyo cuf yenyewe!

CUF sasa wanasema waziwazi na bado hawajaingia kwenye siasa za maji taka,

waberoya

wewe ni nani ..... wewe ni Synovet , REDET au ni msajili wa vyama.... ni nani anaye declare CDM is dead

you are too much of speculations and mimicking .... hii ikiwa ni utaratibu wako wa kawaida kabisa wa siasa za chuki na upotoshaji

kizuri chajiuza ...kibaya chajitembeza
 
Ndugu yangu, mimi naweza kukuunga mkono kwa namna CDM inavyokwenda. Ni chama ambacho kinge maintain values zake ingekuwa safi sana. Lakini sasa wamejiingiza katika vita vya maneno maneno, na hii nasema ifikapo 2015 wanaweza kuwa wamepoteza mvuto waliokuwanao kuingia 2011. Miaka 4 ya siasa za maji taka zinaashiriwa poromoko la CDM maana watu watawaona ni wenye chuki na matusi kama ilivyo kwa baadhi wafuasi wao wengi humu ndani wasiojua staha ni nini.
 
Ana punguza siku za kuishi bure kwa kuichukia chadema,...bora mda huu angeoa atulie

Kweli hakuna kitu kibaya kama kuwa mtumwa wa akili ..ni bora ya mke make siku hzi wako huru kuliko kuwa prof.alafu unakuwa mtumwa..CUF ni CCM captives
 
mwenyekiti wa chama cha wananchi (cuf), profesa ibrahim lipumba, amesema anayeamini kuwa chadema, kitatawala nchi hii atambue ni mgonjwa na anatakiwa kwenda kwa mchungaji mwasapile ambilikile, maarufu kama babu kupata kikombe cha dawa.
Akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kiwanja cha soko la mitumba, wilayani muheza hivi karibuni, profesa lipumba alisema viongozi wa chadema ni wafanyabiashara hawawezi kuongoza nchi. Kama kuna mwananchi yoyote wilaya ya muheza anaamini chadema inaweza kuongoza nchi hii, basi huyo akanywe kikombe kwa babu huko loliondo, alisema lipumba. Naibu katibu mkuu cuf, julius mtatiro, alisema ccm imewafikisha wananchi wanakula mlo mmoja kwa siku, huku watoto wakienda shuleni na njaa. Mtatiro alisema hali inazidi kuwa ngumu, lakini ccm ambayo imesababisha ugumu huo inaona kawaida vyakula kupanda bei.
Source: Mwananchi machi 26, 2011
naona hio kauli kajitolea yeye mwenyewe bila kujijua-nazani angekaa na kufikiri kabla ya kusema-asingezungumza hayo maneno-maana kajitabiria mwenyewe-wao cuf ndo hawawezi shinda hata kwa dawa
 
waberoya

wewe ni nani ..... wewe ni Synovet , REDET au ni msajili wa vyama.... ni nani anaye declare CDM is dead

you are too much of speculations and mimicking .... hii ikiwa ni utaratibu wako wa kawaida kabisa wa siasa za chuki na upotoshaji

kizuri chajiuza ...kibaya chajitembeza

Lat
Usihangaike na Waberoya. Huyu ni 1mbecile kama kaka yake JK. Halafu anajifanya mtu wa CDM. Ebo! Hana hata haya wala soni.
 
Viongozi wa Chadema wanafanya biashara zao nje ya Chadema Lakini Lipumba anafanya biashara ndani ya Cuf.Kugombea urais mara nne(kama sijakosea) na hauna chance ya kuwin whatsoever ni kufanya chama kama kitega uchumi.
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema anayeamini kuwa Chadema, kitatawala nchi hii atambue ni mgonjwa na anatakiwa kwenda kwa Mchungaji Mwasapile Ambilikile, maarufu kama Babu kupata kikombe cha dawa.
Akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kiwanja cha soko la Mitumba, wilayani Muheza hivi karibuni, Profesa Lipumba alisema viongozi wa Chadema ni wafanyabiashara hawawezi kuongoza nchi. Kama kuna mwananchi yoyote Wilaya ya Muheza anaamini Chadema inaweza kuongoza nchi hii, basi huyo akanywe kikombe kwa Babu huko Loliondo, alisema Lipumba. Naibu Katibu Mkuu CUF, Julius Mtatiro, alisema CCM imewafikisha wananchi wanakula mlo mmoja kwa siku, huku watoto wakienda shuleni na njaa. Mtatiro alisema hali inazidi kuwa ngumu, lakini CCM ambayo imesababisha ugumu huo inaona kawaida vyakula kupanda bei.
Source: Mwananchi Machi 26, 2011

Huyu sasa ndio yulee prof, ambaye nilikuwa simjui sasa naiona picha yake kamili!
Nimeamini ile methali isemayo;
TUMBO Linauponza Mkund**
Sasa amesha kuwa vuvuzela jinga jinga la mafisadi kabsaaa shaka hamna.
Sasa CDM huu ni usongo wanangu tumelishwa na cuf, tutumie njia yoyote iliyo mikononi mwetu lolote na liwe ikibidi kafara ni lazima kuwakomboa wananchi wanaoteseka na mfumo huu wa kikandamizaji.
Mtatiro toka huko haraka hao ni kunguru wa zenj wewe ni njiwa jiunge na waTanganyika wenzio walio vitani.
MPAKA KIELEWEKE!
 
Maprofesa walioshindwa siasa huwa wanarudi klas kufundisha. Huyu profesa gani haoni aibu kung'ang'ania siasa zilizomshinda?

jumla ya kura zake za (1995+2000+2005+2010) hazifiki hata nusu za kura za Dr. Slaa.

kama yeye anampikia chai Mungu basi na asubiri hayo maombi yake yatimie. Chadema ni chama, na wanachama ni sisi.
 
CCM: CUF na CDM ni vyama cha udini na vurugu.

CUF: CCM na CDM ni vyama vya udini na vurugu.

CDM: CCMa na CCMb mwisho wao umekaribia. 2015 tunachukua nchi.

Kama mtaji ndio huu watanzania tumekwisha. Bado miaka minne na miezi saba kabla ya uchaguzi, nani anawafikiria wananchi zaidi ya kuwania kubakia na kukimbilia ikulu.

Masikini Watanzania, masikini Tanzania.
 
Back
Top Bottom