Prof. Kitila Mkumbo: Ni hatari kwa Kanisa kutoa kauli inayosababisha maumivu na mifarakano badala ya kuponya

Sijibu upuuzi mie, upuuzi wapelekee wapuuzi wenzio mtaa wa lumumba siyo humu.
Mkuu nakuona hoja zako wewe zinaongozwa na mihemko na matusi na sio FIKRA.Uko vizur sana.Lkn jua wanaounga mkono juhudi za jpm wanaakili timamu na wana hoja za mcng kuliko hata we unayeishia kutoa lugha za matusi.Nimekua nikifuatilia post zako,sijawahi ambulia hoja zaid ya mihemko,chuki na matusi tu.Kiujumla unalidhalilisha jukwaa kuendelea kubaki humu. We ilitakiwa ubaki fb na insta kwa dada ako wa marekani.
 
Akili za kushikiwa dhalimu hukusikia matusi yake dhidi ya Mawaziri, Wastaafu na Watanzania? Kwa mamlaka gani uliyokuwa nayo humu kutaka niondoke?

Acha kujikweza! Kafungue forum yako huko utaweza kunizuia lakini humu huna mamlaka hayo na wala huwezi kuwa nayo hata siku moja.

Mkuu nakuona hoja zako wewe zinaongozwa na mihemko na matusi na sio FIKRA.Uko vizur sana.Lkn jua wanaounga mkono juhudi za jpm wanaakili timamu na wana hoja za mcng kuliko hata we unayeishia kutoa lugha za matusi.Nimekua nikifuatilia post zako,sijawahi ambulia hoja zaid ya mihemko,chuki na matusi tu.Kiujumla unalidhalilisha jukwaa kuendelea kubaki humu. We ilitakiwa ubaki fb na insta kwa dada ako wa marekani.
 
Amesisitiza kuwa ni muhimu kwa kanisa kupima kwa umakini mkubwa uzito wa kila neno kabla ya kutoa kauli katika umma.

“Ni hatari kwa Kanisa kutoa kauli inayosababisha maumivu na mifarakano badala ya kuponya.”
Namuaminia sana Prof. Kitila, huyu ni think tank wa ukweli, anayeona mbali, toka alipotimuliwa Chedema, Chadema imeyumba sana.

Moja ya hoja yake muhimu ni hii
Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha Upinzani Makini? - Prof. Kitila Mkumbo
Hili linakwenda kutokea uchaguzi wa 2020.

P
 
Amekuwa muumini mtiifu maisha yake yote sasa hivi ni Katibu Mkuu wa Wizara ana kiburi (au niite ujasiri) cha kuwajibu maaskofu wake. Kaz kwel kwel.
 
Mambo ya Walawi 4
22 Mtawala atakapofanya dhambi, na kutenda pasipo kukusudia neno lo lote katika hayo ambayo Bwana, Mungu wake, aliyazuilia yasifanywe, naye amepata hatia;
23 akijulishwa hiyo dhambi yake aliyoifanya, ataleta mbuzi awe matoleo yake, mume, mkamilifu;
24 kisha ataweka mkono wake kichwani mwake huyo mbuzi, na kumchinja hapo wachinjapo sadaka ya kuteketezwa mbele za Bwana; ni sadaka ya dhambi.
25 Kisha kuhani atatwaa katika damu ya hiyo sadaka ya dhambi kwa kidole chake, na kuitia katika pembe za madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa, nayo damu yake ataimwaga hapo chini ya madhabahu ya kuteketeza.
26 Na mafuta yake yote atayateketeza juu ya madhabahu, kama alivyoyateketeza mafuta ya hizo sadaka za amani; naye kuhani atamfanyia upatanisho kwa ajili ya dhambi yake, naye atasamehewa.
 
Kuna mahali fulani ule waraka unasema "kudhalilisha kauli ya Maendeleo hayana chama" lakini watu wanahama chama kwenda kingine ili kutafuta maendeleo. Kitila ni victim na neno hili katika waraka ndo maana kawashwawashwa.
 
Prof Mkumbo this is not your duty and functions you are required to exercise in your office nor outside it....huna hata kwa maoni tu huna hiyo nafasi. Kwanza omba msamaha sasa......kwa kanisa narudia tena you can't advice the Church of Christ on how to preach.....the gospel to the people....Watu hamuelewi kitu kimoja there's no any social organization that is the strongest but faith based one. That's why there will be no jurisdictions of where and how the Church missions itself.

Watanzania kinachoonekana sasa eti kwamba kanisa linaingilia siasa ni kwasababu ya kikundi hiki kilichopo nchini kinachojiona kina haki ya kuitiisha nchi ya Tanzania...soma Hegemony in politics ...
We acha kuongea vitu vya ajabu,Hapo hakuna waraka wa viongozi wa dini,HUO NI WARAKA WA WAFANYAKAZI WA DINI.Ukiwatazama hao WAFANYAKAZI WA DINI kwa nyuma unaona chama flani cha siasa.Huo sio waraka wa kuwasemea watanzania, ni waraka WA CHAMA CHA SIASA KUPITIA KOTI LA DINI.Hadhi yake ni kujibiwa na yeyote yule mwenye uwezo. Chama na serikal kimeupuuza na ndo maana hakuna taarifa yyt ramsi.Mkumbo anatumia haki yake ya kidemokrasia kutoa maoni. Niseme tu hakuna cha waraka wa viongozi wa dini hapo.
 
Hawa ndio wasomi wetu, wamejaa unafiki na kujipendekeza.

Aendelee kula hapo mezani na wakubwa muda wake wa kuondoka ukifika atarudi alikotoka.
 
Professor anasema ni muhimu kwa kanisa kupima kila neno kabla ya kulisema hadharani, hiv yanayosemwa na maaskofu na anayoyasema JIWE ni yapi ya kupimwa kabla ya kudhungumza?

Kati ya watu wenye kuligawa taifa na mwenye maneno ya uchochezi katika utawla huu ni JIWE, lakini professor hayaoni ya JIWE anayaona ya Maaskofu njaa mbaya sana .
 
Ni hatar kwa kanisa ila ni halali kwa Rais wa nchi kutoa matamko yanayoacha vidonda na mifarakano.
Inashauriwa ukishiba pumzika chakula kishuke vizur kuliko kuhangaika hovyo.
 
Exactly Mkuu! Waraka ule ni mzito haustahili kabisa kujibiwa na mtu mdogo kama huyo bali ujibiwe na mhusika Mkuu .
Wangeupeleka kwa mhusika kama walitaka ujibiwe na mhusika wasingeupeleka kwa Waumini, Waumini kupelekewa ni haki yao kidemokrasia kujibu na kuhoji na MTU asiweko wa kuwanyamazisha kanisa limejipambanua kama pigania demokrasia na Uhuru wa mtu kuongea bila kuminywa wala kutishiwa Waumini tumieni Uhuru wa kidemokrasia mliopewa na maaskofu na unaopiganiwa na maaskofu ili mradi hamvunji katiba ya nchi wala sheria za nchi kama ambavyo maaskofu wanavyowaelekeza kupigania katiba ya nchi na sheria za nchi.Msiogope chochote askofu yeyoye akitaka kukufunga mdomo mburuze mahakamani kwa kukuzuia kutumia Uhuru wako wa kidemokrasia ambao umepewa na katiba na wao wanaupigania .Ni wakati wa Wa kutoogopa lolote kujibu huo waraka
 
Maoni ni haki ya KILA MTU kikatiba. Sasa sisi Watanzania tumekuzwa kuamini kuwa ni watu wa aina fulani pekee ndio wanapaswa kutoa maoni na kwamba wakiongea wao basi ndio inakuwa final hapaswi mtu mwingine kuzungumzia mtazamo wake kuhusu jambo husika.
 
Habari wanaJF,

Habari nilizozipata hivi punde ni kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Kitila Mkumbo amemuandikia barua Askofu Mkuu wa KKKT, Frederick Shoo akiujibu waraka wa maaskofu hao uliotolewa Machi 24 mwaka huu..

Waraka wa Maaskofu wa KKKT ambao Prof. Mkumbo ameujibu: Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...
-------

Kutoka JF:

Ni kweli. Profesa Kitila Mkumbo ameithibitishia JamiiForums kuhusu waraka aliouandika kwa Maaskofu wa KKKT. JamiiForums itawasilisha waraka huo muda wowote kutoka sasa..

Kutoka tovuti ya Mwananchi;

Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Dk Kitila Mkumbo amemwandikia barua Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT), Askofu Frederick Shoo akitoa maoni yake binafsi kwa kanisa hilo kuhusu maudhui ya waraka wa maaskofu wa kanisa hilo uliotolewa hivi karibuni.

Waraka wa maaskofu 27 wa KKKT ulitoka hivi karibuni na ulitarajiwa kusomwa katika makanisa yote ya kilutheri Machi 25, 2018.

Katika waraka huo maaskofu walizungumzia Katiba mpya, uchumi, siasa na jamii.

“Katika kutoa maoni yangu kuhusu Waraka huo, ninalenga mambo makubwa mawili ambayo ni pongezi kwenu, na pili ni mtazamo wangu juu ya baadhi ya masuala yaliyomo katika Waraka huo,” amesema Kitila katika barua yake aliyoisaini Machi 29 mwaka huu.

Pamoja na kuwapongeza maaskofu hao, Kitila ameandika katika barua yake kuwa maudhui yaliyowekwa katika waraka wa maaskofu hao, hayaakisi hadhi na wajibu wa msingi wa kanisa.

“Kama ambavyo mmekuwa mkitufundisha siku zote, na vile tusomavyo katika Biblia Takatifu, ninafahamu kuwa kazi za msingi za kanisa ni zile ambazo Bwana wetu Yesu Kristo alizifanya alipokuwa duniani,”amesema.

Kitila ambaye ameandika barua hiyo kama muumini wa KKKT, amesema anakubaliana na mengi maaskofu waliyogusia katika Waraka huo akiamini yamefundisha na kuponya roho za waumini kwa kiasi kikubwa.

Hata hivyo, alichambua hoja katika maeneo matano zilizoibuliwa na maaskofu hao na kusema ni sahihi lakini akatahadharisha kuwa ni muhimu kwa kanisa kujiepusha na kuonekana lipo upande fulani katika mijadala ya kitaifa inayogusia jamii.

“Kwa kufanya hivyo, mtaepusha migawanyiko isiyo ya lazima kwa waumini ndani ya kanisa na wananchi kwa ujumla.” Amesema.

Amesisitiza kuwa ni muhimu kwa kanisa kupima kwa umakini mkubwa uzito wa kila neno kabla ya kutoa kauli katika umma.

“Ni hatari kwa Kanisa kutoa kauli inayosababisha maumivu na mifarakano badala ya kuponya.”
Hovyooooooo
 
...Hata hivyo, alichambua hoja katika maeneo matano zilizoibuliwa na maaskofu hao na kusema ni sahihi lakini akatahadharisha kuwa ni muhimu kwa kanisa kujiepusha na kuonekana lipo upande fulani katika mijadala ya kitaifa inayogusia jamii.
Basi poa, kama amekiri kuwa hoja zilizoibuliwa ni sahihi, bila shaka yoyote anaziunga mkono, ila ndio kama alivyosema kwamba Kanisa lingejiepusha kuziweka hadharani
 
Maoni ni haki ya KILA MTU kikatiba. Sasa sisi Watanzania tumekuzwa kuamini kuwa ni watu wa aina fulani pekee ndio wanapaswa kutoa maoni na kwamba wakiongea wao basi ndio inakuwa final hapaswi mtu mwingine kuzungumzia mtazamo wake kuhusu jambo husika.
Ni sawa maaskofu wameongea kwa waraka sio wao peke yao wenye haki hiyo kidemokrasia na Waumini ruksa kuongelea huo waraka na kuwajibu au kuwahoji au kuwapinga ni haki yao ya kidemokrasia wakiongea wao sio kuwa MTU mwingine hapaswi kuongea
 
Habari wanaJF,

Habari nilizozipata hivi punde ni kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Kitila Mkumbo amemuandikia barua Askofu Mkuu wa KKKT, Frederick Shoo akiujibu waraka wa maaskofu hao uliotolewa Machi 24 mwaka huu..

Waraka wa Maaskofu wa KKKT ambao Prof. Mkumbo ameujibu: Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...
-------

Kutoka JF:

Ni kweli. Profesa Kitila Mkumbo ameithibitishia JamiiForums kuhusu waraka aliouandika kwa Maaskofu wa KKKT. JamiiForums itawasilisha waraka huo muda wowote kutoka sasa..

Kutoka tovuti ya Mwananchi;

Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Dk Kitila Mkumbo amemwandikia barua Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT), Askofu Frederick Shoo akitoa maoni yake binafsi kwa kanisa hilo kuhusu maudhui ya waraka wa maaskofu wa kanisa hilo uliotolewa hivi karibuni.

Waraka wa maaskofu 27 wa KKKT ulitoka hivi karibuni na ulitarajiwa kusomwa katika makanisa yote ya kilutheri Machi 25, 2018.

Katika waraka huo maaskofu walizungumzia Katiba mpya, uchumi, siasa na jamii.

“Katika kutoa maoni yangu kuhusu Waraka huo, ninalenga mambo makubwa mawili ambayo ni pongezi kwenu, na pili ni mtazamo wangu juu ya baadhi ya masuala yaliyomo katika Waraka huo,” amesema Kitila katika barua yake aliyoisaini Machi 29 mwaka huu.

Pamoja na kuwapongeza maaskofu hao, Kitila ameandika katika barua yake kuwa maudhui yaliyowekwa katika waraka wa maaskofu hao, hayaakisi hadhi na wajibu wa msingi wa kanisa.

“Kama ambavyo mmekuwa mkitufundisha siku zote, na vile tusomavyo katika Biblia Takatifu, ninafahamu kuwa kazi za msingi za kanisa ni zile ambazo Bwana wetu Yesu Kristo alizifanya alipokuwa duniani,”amesema.

Kitila ambaye ameandika barua hiyo kama muumini wa KKKT, amesema anakubaliana na mengi maaskofu waliyogusia katika Waraka huo akiamini yamefundisha na kuponya roho za waumini kwa kiasi kikubwa.

Hata hivyo, alichambua hoja katika maeneo matano zilizoibuliwa na maaskofu hao na kusema ni sahihi lakini akatahadharisha kuwa ni muhimu kwa kanisa kujiepusha na kuonekana lipo upande fulani katika mijadala ya kitaifa inayogusia jamii.

“Kwa kufanya hivyo, mtaepusha migawanyiko isiyo ya lazima kwa waumini ndani ya kanisa na wananchi kwa ujumla.” Amesema.

Amesisitiza kuwa ni muhimu kwa kanisa kupima kwa umakini mkubwa uzito wa kila neno kabla ya kutoa kauli katika umma.

“Ni hatari kwa Kanisa kutoa kauli inayosababisha maumivu na mifarakano badala ya kuponya.”
Vipi kwa mukulu, si hatari kubwa yy kutoa kauli zimazosababisha maumivu na watu kuumizwa na wamtumikiao?,
Huwa nae mnapata muda kumwambia km haya?
 
Nashangaa hivi hii serikali kila kiongozi hakupewa majukumu yake rasmi. Maana nnashangaa wengi wao wanapenda kurukia majukumu yasiowahusu
Mazingira ya mtawala yanafanya wasaidizi wake kuwa watumwa,
 
Habari wanaJF,

Habari nilizozipata hivi punde ni kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Kitila Mkumbo amemuandikia barua Askofu Mkuu wa KKKT, Frederick Shoo akiujibu waraka wa maaskofu hao uliotolewa Machi 24 mwaka huu..

Waraka wa Maaskofu wa KKKT ambao Prof. Mkumbo ameujibu: Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...
-------

Kutoka JF:

Ni kweli. Profesa Kitila Mkumbo ameithibitishia JamiiForums kuhusu waraka aliouandika kwa Maaskofu wa KKKT. JamiiForums itawasilisha waraka huo muda wowote kutoka sasa..

Kutoka tovuti ya Mwananchi;

Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Dk Kitila Mkumbo amemwandikia barua Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT), Askofu Frederick Shoo akitoa maoni yake binafsi kwa kanisa hilo kuhusu maudhui ya waraka wa maaskofu wa kanisa hilo uliotolewa hivi karibuni.

Waraka wa maaskofu 27 wa KKKT ulitoka hivi karibuni na ulitarajiwa kusomwa katika makanisa yote ya kilutheri Machi 25, 2018.

Katika waraka huo maaskofu walizungumzia Katiba mpya, uchumi, siasa na jamii.

“Katika kutoa maoni yangu kuhusu Waraka huo, ninalenga mambo makubwa mawili ambayo ni pongezi kwenu, na pili ni mtazamo wangu juu ya baadhi ya masuala yaliyomo katika Waraka huo,” amesema Kitila katika barua yake aliyoisaini Machi 29 mwaka huu.

Pamoja na kuwapongeza maaskofu hao, Kitila ameandika katika barua yake kuwa maudhui yaliyowekwa katika waraka wa maaskofu hao, hayaakisi hadhi na wajibu wa msingi wa kanisa.

“Kama ambavyo mmekuwa mkitufundisha siku zote, na vile tusomavyo katika Biblia Takatifu, ninafahamu kuwa kazi za msingi za kanisa ni zile ambazo Bwana wetu Yesu Kristo alizifanya alipokuwa duniani,”amesema.

Kitila ambaye ameandika barua hiyo kama muumini wa KKKT, amesema anakubaliana na mengi maaskofu waliyogusia katika Waraka huo akiamini yamefundisha na kuponya roho za waumini kwa kiasi kikubwa.

Hata hivyo, alichambua hoja katika maeneo matano zilizoibuliwa na maaskofu hao na kusema ni sahihi lakini akatahadharisha kuwa ni muhimu kwa kanisa kujiepusha na kuonekana lipo upande fulani katika mijadala ya kitaifa inayogusia jamii.

“Kwa kufanya hivyo, mtaepusha migawanyiko isiyo ya lazima kwa waumini ndani ya kanisa na wananchi kwa ujumla.” Amesema.

Amesisitiza kuwa ni muhimu kwa kanisa kupima kwa umakini mkubwa uzito wa kila neno kabla ya kutoa kauli katika umma.

“Ni hatari kwa Kanisa kutoa kauli inayosababisha maumivu na mifarakano badala ya kuponya.”
Vipi upande wa Roma ktk hizi waraka hakuna tofauti kwa wanachongumzia Maskofu ugumu uko wapi juu ya hili.
Hivi mgawanyiko uliopo kitaifa huyu Katibu hauoni au ndo kuangalia kwanza mahali unapopata ulaji.
 
Mimi huwa namkubali Prof Eli sante Gabriel kama Katibu Mkuu bora kabisa, amejikita kwenye majukumu yake!
 
Back
Top Bottom