MISULI
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,826
- 5,451
Na kuonesha kuwa kaupuuza,wanajibu Vijana kama akina mwakibinga.Saiz Mkumbo ataujibu.Waraka hauna hadhi ya kujibiwa na Rais.Na nafikiri wameona mbali sana,kujibu wa kkkt,ilitakiwa wajibu na TEC na ukitoka mwingine hivyohivyo.So serikal iendelee kuupuza hata chama naona kimeupuuza.Wajibu Vijana na watu wengine.Exactly Mkuu! Waraka ule ni mzito haustahili kabisa kujibiwa na mtu mdogo kama huyo bali ujibiwe na mhusika Mkuu ambaye yeye ndiye chanzo cha udhalimu wa kutisha, chuki, visasi ikiwemo utekaji, utesaji na uuaji wa Watanzania wasio na hatia yoyote ile.