Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,294
- 6,589
Wana irmba mash sijui mbunge wao nani saiv. Nakumbuka 2010 ni Salome Mwambu. Magharibi ni Madelu Mwigulu Nchemba.Wana Iramba Mashariki wamemuomba radhi sana sana Mh.Rais kwa kosa walilofanya 2010 na 2015 kuchagua Kibaraka wa Mabeberu na wameapa hawatorudia kosa hilo Abadan
Kwa usikivu wa Rais huyu bila ya Shaka atawasamehe kwa kuwa anajua mtoto akinyea kwny kiganja unasafisha mkono sio kuukata