Mwigulu kumbe nae ni kibaraka wa mabeberu!! Sasa wananchi walifanya kosa gani wakat chama ndo kilipeleka jina hilo!!Wana Iramba Mashariki wamemuomba radhi sana sana Mh.Rais kwa kosa walilofanya 2010 na 2015 kuchagua Kibaraka wa Mabeberu na wameapa hawatorudia kosa hilo Abadan
Kwa usikivu wa Rais huyu bila ya Shaka atawasamehe kwa kuwa anajua mtoto akinyea kwny kiganja unasafisha mkono sio kuukata
Shindaneni kwa hoja tu hakuna cha wakala salama balozi wa mabeberu atakayechanga karata zake vizuri sisi tutampa kura. Mimi natoka Kizaga nje na hoja
Wana Iramba Mashariki wamemuomba radhi sana sana Mh.Rais kwa kosa walilofanya 2010 na 2015 kuchagua Kibaraka wa Mabeberu na wameapa hawatorudia kosa hilo Abadan
Kwa usikivu wa Rais huyu bila ya Shaka atawasamehe kwa kuwa anajua mtoto akinyea kwny kiganja unasafisha mkono sio kuukata
Wakati MaCCM mnapitisha huu mswada kandamizi wabunge wa upinzani walipinga na wakashauri haufai mkaziba masikio leo misaada imesitishwa ndiyo mmekuwa wasikivu kwa mabeberu?Serikal Sikivu sifa yake ni kusikliza
Hatujabadili vifungu kutokana na shinikizo la mabeberu kwani wao wanaishi hapa TZ kwamba sheria hizo zinawagusa wao??....sheria zimebadilishwa kwa maslahi mapana na watanzania wote ili hata nyinyi vibaraka wa mabeberu mnufaike nazo....pambavu sana nyinyi
Wewe kinena, barua imetoka wizara ya fedha na kuomba vifungu vibadilishwe kwasababu misaada ya fedha imesitishwa na mabeberu ndiyo hapo MaCCM mkakubali kuchutama na beberu akawachomeka ukuni.Hatujabadili vifungu kutokana na shinikizo la mabeberu kwani wao wanaishi hapa TZ kwamba sheria hizo zinawagusa wao??....sheria zimebadilishwa kwa maslahi mapana na watanzania wote ili hata nyinyi vibaraka wa mabeberu mnufaike nazo....pambavu sana nyinyi
Yupo hapa Mwigulu NchembaSipati picha mwiguli anavokatiza uku na kuona watu wanajadili nafasi yako hahahaha ndo maana deile namuona anasifia serikali balaa kuliko wenzake wote waliovuliwa uwaziri akitegemea huruma ya kurudi bungeni tu ndo kinachomumiza kichwa atapita kwenye teuzi za mzee na kuna kitila mkumbo kipenzi cha ngosha???jamani mwiguli haumizi kichwa ye kutoswa uwaziri kinachomwumiza saivi akili na apo mwakani chaguzi za ndani uwiiiiiii yajayo yanafurahisha mh.andaa c.v ako nzuri anza kutuma maombi mwakani october cdhani kama utarudi bungeni kupitia ccm maana naona nyie sio chaguo la mtukufu mh.saaana
Najaribu kuwaza tu
Serikal Sikivu sifa yake ni kusikliza
Sipati picha mwiguli anavokatiza uku na kuona watu wanajadili nafasi yako hahahaha ndo maana deile namuona anasifia serikali balaa kuliko wenzake wote waliovuliwa uwaziri akitegemea huruma ya kurudi bungeni tu ndo kinachomumiza kichwa atapita kwenye teuzi za mzee na kuna kitila mkumbo kipenzi cha ngosha???jamani mwiguli haumizi kichwa ye kutoswa uwaziri kinachomwumiza saivi akili na apo mwakani chaguzi za ndani uwiiiiiii yajayo yanafurahisha mh.andaa c.v ako nzuri anza kutuma maombi mwakani october cdhani kama utarudi bungeni kupitia ccm maana naona nyie sio chaguo la mtukufu mh.saaana
Najaribu kuwaza tu
Tena kama ni iramba sawa kabisa ili 2020 wachague chadema maana ccm ni wapumbavu na waongo zile 50million ziko wap?Wana Iramba Mashariki wamemuomba radhi sana sana Mh.Rais kwa kosa walilofanya 2010 na 2015 kuchagua Kibaraka wa Mabeberu na wameapa hawatorudia kosa hilo Abadan
Kwa usikivu wa Rais huyu bila ya Shaka atawasamehe kwa kuwa anajua mtoto akinyea kwny kiganja unasafisha mkono sio kuukata
Ateuliwe tu hakuna namna,Inasemekana Prof. Kitila Mkumbo wana Iramba wanamsubiri kwa hamu kubwa sana.
Mbunge anayemaliza muda wake anahaha kujinusuru.
Let us wait and see.
Acha uzushi, Mwigulu atashinda labda Ikulu iamue kumbeba Prof Kitila.Inasemekana Prof. Kitila Mkumbo wana Iramba wanamsubiri kwa hamu kubwa sana.
Mbunge anayemaliza muda wake anahaha kujinusuru.
Let us wait and see.