Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 1,908
- 945
"Nitumie fursa hii kumshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa nafasi ya Waziri ambayo ameniteua katika ofisi yake nikishughulikia Mipango na Uwekezaji. Namshukuru sana kwa heshima na imani ambayo amenipa na ufanisi Mhe. Rais utumishi wenye kuzingatia maarifa, weledi na utiifu thabiti kwake mwenyewe, serikali, nchi yetu na Chama cha Mapinduzi" - Mhe. Prof. Kitila Mkumbo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji
"Tutamsadia Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhakikisha kwamba mipango yetu ya maenedeleo inapelekea uchumi wetu kuendelea kukua na kupunguza umasikini wa katiba huo huo unakuwa ni uchumi jumuishi na unazingatia maendeleo vijijini" - Mhe. Prof. Kitila Mkumbo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji
"Kila nchi duniani inapambana kuvutia uwekezaji, wawekezaji wa ndani na nje ya nje. Na suala la uwekezaji ni suala la ushindani mkubwa sana. Kila nchi ina faida za kuvutia uwekezaji lakini nchi yetu ina faida nyingi ambazo nchi nyingi hazina ikiwemo utulivu wa kisiasa na amani ya kutosha, umoja wa kitaifa na faida ya kijiografia" - Mhe. Prof. Kitila Mkumbo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji
"Ukweli ni kwamba kampuni 7 zilileta mapendekezo kutoka katika sehemu mbalimbali duniani, baada ya uchambuzi na utafiti mpana uamuzi ulikuwa ni kuichukua kampuni ya DP WORLD kutokana na utaalamu, uzoefu wake, mtandao wake mpana wa biashara na uzoefu wa kufanya kazi katika mazingira yanayofanana na sisi (Tanzania)" - Mhe. Prof. Kitila Mkumbo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji
"Bandari ni mpaka na ni biashara, na kwenye biashara inafahamika na ishafanyika tafiti kwamba sekta binafsi ndio inafanya vizuri. Hivyo katika bandari sekta binafsi huwa tunawapa suala la biashara lakini suala la ulinzi na usalama wao hawahusiki" Prof. Kitila Mkumbo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji
"Uchambuzi umefanyika na tafiti zimefanyika na kuonesha wazi wazi kwamba bandari hii (ya Dar es Salaam) ikiwekezwa vizuri na kupewa sekta binafsi yenye uwezo tunaweza kuongeza mapato kutoka shilingi trilioni 7 hadi kufikia shilingi trilioni 26.7" - Mhe. Prof. Kitila Mkumbo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji.