usinisogeze
Senior Member
- May 6, 2017
- 195
- 119
Ndio Sheria inasema hivyo, unaweza kuwa mwanachama was chama chochote, isipokuwa kwa Askari yeyote haruhusiwi kuwa mwanachama was chama chochote mpaka atakapostaafu. Hivyo usiwe mbishi.Sheria ipi hiyo?
Ni kweli kabisa.Hata wakati Akiwa Chadema na ACT Alikua pia mtumishi wa Serekali.So hakuna Jipya alilofanya.Ndio Sheria inasema hivyo, unaweza kuwa mwanachama was chama chochote, isipokuwa kwa Askari yeyote haruhusiwi kuwa mwanachama was chama chochote mpaka atakapostaafu. Hivyo usiwe mbishi.
Nadhani wewe ni junior hivyo huwezi elewa hata akapigiwa ngoma, hivyo baki hivyo hivyo.Haaahaaaa hawana guts umewajaribu?? ccm Imefanya nni nipe hata kimoja walichofanikiwa ndani ya miaka 50!!! Narudia tena Kma unafaham hta kitu kimoja walichofanikiwa ccm Kwa hii miaka 50 tuambie
Wakuu wa mikoa wangapi ni wanajeshi? mkuu wa mkoa ni mjumbe wa kamati ya siasa ya mkoa.Ndio Sheria inasema hivyo, unaweza kuwa mwanachama was chama chochote, isipokuwa kwa Askari yeyote haruhusiwi kuwa mwanachama was chama chochote mpaka atakapostaafu. Hivyo usiwe mbishi.
hhahahhahahahahAnajiunga ccm Mara mbili?
Ama kweli
"Huwezi kushinda vita ukiwa Na njaa"
Hivi kwa utashi wako mdogo unadhani ukuu wa mkoa au WILAYA ni Kazi ya kikada wa chama, muwe mnasoma hata hiyo katiba mnayosema mbovu, hakina sehemu ilipotamkwa kuwa Mkuu wa Mkoa lazima awa kada chama tawala, Kama wanapeana kikada basi mapungufu tu ya watawala waliopo madarakani.Wakuu wa mikoa wangapi ni wanajeshi? mkuu wa mkoa ni mjumbe wa kamati ya siasa ya mkoa.
Tatizo mkia wako ni butu, uliza mkuu wa mkoa na wilaya kama siyo wajumbe wa kamati za siasa wilaya au mkoa, soma ilani ya CCM.Hivi kwa utashi wako mdogo unadhani ukuu wa mkoa au WILAYA ni Kazi ya kikada wa chama, muwe mnasoma hata hiyo katiba mnayosema mbovu, hakina sehemu ilipotamkwa kuwa Mkuu wa Mkoa lazima awa kada chama tawala, Kama wanapeana kikada basi mapungufu tu ya watawala waliopo madarakani.
Nimesema hivi kasome katiba, usiangalie mapungufu chama fulani, halafu ukadhani ni Sheria. Halafu usifikiri kila anayehusika humu ili mradi akiwa against your opinion ukadhani ni chama tawala. Wengine tupo kwa ajili kuwaelimisha wapumbavu Kama nyie, ambao mnaweza watukana hata wazazi wenu.Tatizo mkia wako ni butu, uliza mkuu wa mkoa na wilaya kama siyo wajumbe wa kamati za siasa wilaya au mkoa, soma ilani ya CCM.
Dingi yako, umesoma ilani ya CCM au unaropoka tu?Nimesema hivi kasome katiba, usiangalie mapungufu chama fulani, halafu ukadhani ni Sheria. Halafu usifikiri kila anayehusika humu ili mradi akiwa against your opinion ukadhani ni chama tawala. Wengine tupo kwa ajili kuwaelimisha wapumbavu Kama nyie, ambao mnaweza watukana hata wazazi wenu.
Jibu Swali sio unakimbilia mipasho je kipi mmefanya hata kimoja toka uhuru ambacho mnaweza mkajivunia zaidi ya miaka 50 watanzania wanaishi chini ya dollar 2 Kwa Cku 3!!!! Watanzania 65% Hawana maji safi na salama!! 40% Hawana umeme hasa vijijini alafu unakuja na ngonjera kibao shame on u Kma umeshindwa hoja kapige vigeregere kwenye mikutano ya polepole sio kutetea usivyovijuaNadhani wewe ni junior hivyo huwezi elewa hata akapigiwa ngoma, hivyo baki hivyo hivyo.
mbona kuna kiongozi wa chama pendwa alikuwa jeshini wakati huo ana kadi ya chamaWatumishi pekee wasioruhusiwa ni watumishi kwenye majeshi ya ulinzi na usalama,hapo ndipo mnapochanganya.
Wanajeshi na askari na usalama wa taifa ndio hawaruhusiwi.
Ila walimu,madaktari,etc wanaruhusiwa
Kamanda Kwan wewe ulitaka wafanyaje.. tupe ushauri Labda tutapanua mawazoNimecheka sana hakuna kitu kibaya kama kuamua kuweka akili zako mfukoni,
Naona ameamua kubeba kichwa chake kichwani kama mzigo juu ya mabega.
Le professeli kweli njaa ya kuanzia kichwani kuelekea tumboni ni mbaya sana, Njaa ingeanzia tumboni tungempa chakula.
Maprofesa wa kitanzania ni majanga kama majanga mengine. Ni muhimu kubadili huu mfumo wetu wa elimu, watu hawajawahi fanya jambo la maana wanasoma tu makaratasi na kuitwa maprofesa.
Shame On them
wadudu wa njaa huwa hawana mjadala.Limefanyaje tumbo?
'tumbo' hili jamani...!
Nimecheka sana hakuna kitu kibaya kama kuamua kuweka akili zako mfukoni,
Naona ameamua kubeba kichwa chake kichwani kama mzigo juu ya mabega.
Le professeli kweli njaa ya kuanzia kichwani kuelekea tumboni ni mbaya sana, Njaa ingeanzia tumboni tungempa chakula.
Maprofesa wa kitanzania ni majanga kama majanga mengine. Ni muhimu kubadili huu mfumo wetu wa elimu, watu hawajawahi fanya jambo la maana wanasoma tu makaratasi na kuitwa maprofesa.
Shame On them
Kuna waliosema lowassa ni mwizi na leo wanae!