Spika Tulia amtuliza Prof. Kitila Mkumbo kisomi zaidi, Nape achachamaa lakini apingwa kila kona!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,991
Mbunge Anatropas amesema CAG kasema Wizi haujapungua ila Wezi wanatumia mbinu bora zaidi

Prof Kitila Mkumbo amesema mbunge amedanganya kwani Ripoti ya CAG hakuna sehemu imeandikwa hivyo

Ndipo Spika Tulia kamwambia Prof Kitila kwamba kama Hati safi ni kupungua kwa Wizi mbona Wabunge wote mnalalamika Halmashauri zenu kuna Wizi uliotukuka?

Prof Kitila Mkumbo ametulia PhD vs PhD

TBC
 
Back
Top Bottom