Prof Kitila: Magufuli usiteue Wahadhiri

Sasa yeye Magu anwataka maprofessor na PHD holders kuna wasio wahadhiri?
 
Kwani hivyo vyuo havina SUCCESSION PLAN? Haviandai watu wa kushika nafasi iwapo mmoja akiondoka aliye chini apande? Hivyo vyuo vina tabia ya one man show kwenye vitivo ?
Kwa wazo hili utakuwa hujui hata succession plan inavyoandaliwa na kutekelezwa.
 
Ni kweli.
QUOTE="a4apple, post: 19375933, member: 312473"]Naunga mkono hoja, anaathiri wanafunzi wa vyuo vikuu kwa kukosa wahadhiri. Chuo kikuu Dar ndicho kinachoathirika zaidi maana wahadhiri wengi wameteuliwa. Idara iliyoathirika zaidi kwa teuzi ni ile ya kemia UDSM.[/QUOTE]
 
Ile sheria ya watumishi wa umma kutojihusisha na masuala ya siasa hasa ya kiuongozi haimuhusu huyu jamaa?
 
Kweli kabisa, gharama inayotumika kusomesha hawa watu ni kubwa mno, lengo likiwa wao watumike kutoa elimu kwa Watanzania wengine. Lakini serikali ya viwanda inaamini uongozi ni uwingi wa degree.
 

Na kwa kuongezea, wahadhiri wengi ni too academicians au idealists, wala sio viongozi wala watendaji. Ukiangalia nafasi nyingi alikowajaza mpaka sasa huoni leadership wala vision yoyote.
 
Kwani hivyo vyuo havina SUCCESSION PLAN? Haviandai watu wa kushika nafasi iwapo mmoja akiondoka aliye chini apande? Hivyo vyuo vina tabia ya one man show kwenye vitivo ?
Katika zoazoa hii ya wahadhiri unafikiri succession plan itasaidia?
 
Chuo kinaweza kuajiri mhadhiri mwingine kutoka hata nje ya nchi, lakini Rais hawezi kufanya hivyo kwa nafasi ya uwaziri. Kwahiyo hoja ya profesa haina mantiki yeyote. JPM yupo sahihi.
 
Kwani hivyo vyuo havina SUCCESSION PLAN? Haviandai watu wa kushika nafasi iwapo mmoja akiondoka aliye chini apande? Hivyo vyuo vina tabia ya one man show kwenye vitivo ?
Aisee! Naona umeiwekea capital letter kabisa kuonyesha ujuzi wa kiingereza! Sasa, kwani na serikali nayo haina hiyo uliyoiita succession plan, ili iktumbua mmoja aliye chini yake achukue nafasi?
 
KAMA ANATEUA AHAKIKISHE CHUO HUSIKA KINAMPATA MTU WA KUSHIKA NAFASI YAKE.
UNAMTEUA FULANI, UNASEMA NAFASI YAKE ITASHIKWA NA FULANI.
 
Thamani ya wasomi inashuka katika awamu hii.
Nchi inoongozwa na mwenye PHd na taasisi nyingi ziko chini ya ma-dr na maprofessa lakini bado nchi ndio inaonekana inayumba kuliko wakati wote.
 
UDOM amechukua wangapi kwani??
 
kwa mujibu wa prof. mukandala udsm ndio think tank ya tz,na teuzi za rais chuo hakijaathirika kuz kuna resource za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…