Prof. Kikwete aenda Marekani

Mapinduzi yangetokea. Washauri wake au hata mkewe wanafanya nini. Siku 20 kwa rais wa nchi ni nyingi sana
 
OBAMA mwenyewe nchi imemshinda wapinzani wameshinda sasa huyu atashauriwa nini? prof ukirudi kichapo kikopalepale
UKAWA DAIMA.
 
Ingekuwa ni mchezaji wa timu fulani ya mpira wa miguu basi tungempeleka kwa mkopo timu nyingine maana daah...!
 
Anaenda kutafuta soko la mananasi akimaliza mda wake amesema atakuwa mkulima wa zao la mananasi
 
Daah....huyo Jamaa Meneja Wa Emirates huyoooo.....Mjomba #Pdidy njoooo
 
Anapanda Emirates wakati kampuni ya ndege ya taifa ATCL kaamua kuicha hoi!!
 
Nasikia baada ya kwenda china,,marekani wamezingua! Kwa hiyo mkuu anakwenda weka mambo sana na kuwapa mashavu ya rasilimali.
 
Nasikia huwa anaenda kisafisha damu,nasikia tu mtaani!
 
Hivi yule dadake Rostam karejewa?
 


Naweza kukubaliana nawewe kwasababu hata mkewe sijaona wakiongozana
 
Na ili mpasuke zaidi akitoka marekani ni UK.
 
Subirini 2016 ikulu ndogo itakuwa Ujerumani.
 
China wamempa uprofesa kwa sbb chini ya utawala wake wameingiza madeal mengi ya kuchukua rasiliimalli za tanzania na kuijenga china.Ndiyo maana walimpa mapokez makubwa.Hiyo ni heshima kwake kwa kuwezesha madeal.
 
Daaaah…shikamoo Proffessor……………..!!!

Umepublish pembe zetu za ndovu..ukapata promotion..!!

Hongera sana mjomba niko chini ya miguu yako!
 
Reactions: Nzi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…