Prof. Kabudi: Sheria mpya za madini hazitahusu migodi inayoendelea

(Nafasi ya Everiest)

Mbona sheria ya bodi ya mikopo 15% ilirudi nyuma?
Mkuu hawa watu hawajielewi, wanasahau sana, sijui ni kwa makusudi au bahati mbaya, labda hajui hili la Bodi ya mikopo. Mwanasheria unatakiwa kuwa makini sana na kauli yako. Kufanya rejea ni kitu muhimu sana kabla ya kuzungumza chochote, hasa kwa hawa wanasheria.
 
Akitoa ufafanuzi wa maswali mbalimbali ya wajumbe wa Kamati ya Madini ya Bunge,Prof.Kabudi amesema kwamba sheria huanzia pale ilipotungwa kwenda mbele na sio kurudi nyuma. Akifafanua swala hilo waziri anasema kuwa mikataba iliyokwisha ingiwa kipindi kilichopita haitaguswa na sheria mpya ya madini. Waziri ameongeza kuwa kutafanyika majadili na makampuni hayo kuona jinsi ya kuweka mambo sawa.

Hivyo sheria mpya ya 2017 itahusu kampuni zitakazofuata.

Mjumbe wa kamati Mh.Mnyika ameomba kuwa kama base ya sheria mpya ya madini ni ripoti ya makinikia basi ripoti hiyo wapatiwe wabunge ili waone kama recommendations za Kamati ya Makinikia zimezingatiwa. Akijibu swali hilo Kabudi amejibu kwamba ripoti hiyo ni ya Mh.Rais hivyo haitatolewa kwa mtu yeyote

My Take
Namuelewa sana Tundu Lissu mpaka naumia
Ha! Ha! Ha! Mimi naandaa maandamano ya kupongeza Mh Rais , kutoka Kyela hadi Mbeya mjini .
 
Akitoa ufafanuzi wa maswali mbalimbali ya wajumbe wa Kamati ya Madini ya Bunge,Prof.Kabudi amesema kwamba sheria huanzia pale ilipotungwa kwenda mbele na sio kurudi nyuma. Akifafanua swala hilo waziri anasema kuwa mikataba iliyokwisha ingiwa kipindi kilichopita haitaguswa na sheria mpya ya madini. Waziri ameongeza kuwa kutafanyika majadili na makampuni hayo kuona jinsi ya kuweka mambo sawa.

Hivyo sheria mpya ya 2017 itahusu kampuni zitakazofuata.

Mjumbe wa kamati Mh.Mnyika ameomba kuwa kama base ya sheria mpya ya madini ni ripoti ya makinikia basi ripoti hiyo wapatiwe wabunge ili waone kama recommendations za Kamati ya Makinikia zimezingatiwa. Akijibu swali hilo Kabudi amejibu kwamba ripoti hiyo ni ya Mh.Rais hivyo haitatolewa kwa mtu yeyote

My Take
Namuelewa sana Tundu Lissu mpaka naumia
Umemskia vubaya ndugu yangu. Ameaema hazitawahusu wachimbaji wadogo tu. I hope you suffer from hearing disorder
 
Tumepigwa tena! kwa hiyo migodi iliyopo mwendo mdundo kama zamani 4%? sasa tulikuwa tunasifia nini sheria hizo mpya? Dhahabu yenyewe ndio hiyo inajiishia na kweli mzungu hatumuwezi.
Zilikuwa ni kelele za kisiasa tuu
Nimefikiri kama wewe,migodi muhimu tayari ina mikataba
 
Sasa, profesa ndio kusema hao wa makinikia waendelee kulipa ile 4%? Kama ndivyo, uharaka wa kuijadili kidharura ulikujaje? Au kuna mpango wa kuivunja mikataba ili hii sheria mpya ifanye kazi? Labda! Tofauti na hilo, itakuwa episode nyingine lenye mapigo ya nguvu! Nchi kwa sanaa haijambo!
 
Makinikia yanaendelea kwenda ulaya kama kawaida,

Endeleeni kusubiri noah zenu zinakuja.
We subili furaha yako lakini haitatokea jpm kakaba kila kona. Upinzani are not creative any more. Wanasubili kinachoongelewa tu ili wapindishe kama walivyoagizwa na lisu na mboe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom