Prof. Kabudi: Mungu ndiyo humtoa mtu jalalani sio Rais Magufuli

Kabudi umesaidiwa sana, kuanzia kura za maoni ukapitishwa wenzako waliokushinda wakakatwa, ukasaidiwa tena wakamwengua mpinzani wako wa CHADEMA na wa vyama vingine ili upite bila kupingwa zote hizo ni rushwa kama rushwa zingine ufahamu hilo na ni lazima siku moja utakuja kujibu mbele ya Watanzania na mbele ya Mwenyezi Mungu.
 
Kabudi umesaidiwa sana, kuanzia kura za maoni ukapitishwa wenzako walioshinda wakakatwa, ukasaidiwa tena wakamwengua mpinzani wako wa CDM ili upite bila kupingwa...zote hizo ni rushwa kama rushwa zingine ufahamu hilo na ni lazima siku moja utakuja kujibu mbele ya Watanzania na mbele ya Mwenyezi Mungu.
Ukiambiwa huyo CHADEMA alijiengua mwenyewe baada ya kuona ngoma nzito utabisha.
Endelea kuamini hivyo tuu ni faraja
 
Ukiambiwa huyo CDM alijiengua mwenyewe baada ya kuona ngoma nzito utabisha.
Endelea kuamini hivyo tuu ni faraja
Rushwa ni rushwa tu. Wapi uadilifu wa Kabudi ati kupita bila kupingwa? karne hii utapitaje bila kupingwa kama siyo rushwa tena ya wazi wazi? na adhabu yake ipo palepale,aliyetoa na aliyepokea wote.
 
Wao wanaamini watainuliwa na kina robert amsterdam, wabelgiji na wajerumani.
CHADEMA wasanii, sasa hivi wanakimbilia nje ya mipaka na kusema maisha yako hatarini! Yaani Leo ndiyo yawe hatarini? Lissu alisema sirudi Tz mpaka serikali inihakikishie ulinzi vinginevyo maisha yangu yatakuwanhatarini.
Serikali haikuangaika naye. Karudi hakuna aliyemgusa.

Akaamua aichokoze serikali kwa kuanzisha uhaini, bado serikali haiku react violently kama ukubwa wa kosa unavyotaka.
 
Waziri wa mambo ya nje ushirikiano wa Afrika mashariki Prof. Paramagba Kabudi amefafanua vizuri kauli yake ya kutoka jalalani mpaka kuwa waziri.

Ikumbukwe hapo awali wafuasi wa Chadema kwa upofu wa kutokujua neno la Mungu nikimaanisha Biblia wengi walisema kwamba, Prof Kabudi alimaanisha jalalani ni Udsm na mtu anae watoa watu jalalani ni JPM.

Leo hii akitoa shukrani zake baada ya kuapishwa amesoma Zab 113 na kueleza jinsi Mungu anavyoweza kumnyanyua mtu na kumwinu na kupata cheo, hata kama ni mtu hoe hae.

Jambo la kujifunza hapa ni kwa wafuasi na viongozi wa Chadema watambue kuwa, Mungu ndie humwinua mtu na kumtoa jalalani, hivyo wasiwe wanakurupuka na kuropoka hovyo.
BAVICHA hawana uwezo wa kuelewa misemo Kama ya Prof. Kabudi mpaka wafafanuliwe sana Kama watoto wa darasa la pili. Nakumbuka Dr. Bashiru aliposema CCM itatumia dola kubaki madarakani hawakuelewa. Mpaka alivyofafanua ndiyo wachache wakaelewa!
 
Umenena vyema.
 
H
Waziri wa mambo ya nje ushirikiano wa Afrika mashariki Prof. Paramagba Kabudi amefafanua vizuri kauli yake ya kutoka jalalani mpaka kuwa waziri.

Ikumbukwe hapo awali wafuasi wa Chadema kwa upofu wa kutokujua neno la Mungu nikimaanisha Biblia wengi walisema kwamba, Prof Kabudi alimaanisha jalalani ni Udsm na mtu anae watoa watu jalalani ni JPM.

Leo hii akitoa shukrani zake baada ya kuapishwa amesoma Zab 113 na kueleza jinsi Mungu anavyoweza kumnyanyua mtu na kumwinu na kupata cheo, hata kama ni mtu hoe hae.

Jambo la kujifunza hapa ni kwa wafuasi na viongozi wa Chadema watambue kuwa, Mungu ndie humwinua mtu na kumtoa jalalani, hivyo wasiwe wanakurupuka na kuropoka hovyo.
Hiyo zaburi ya 113 ina neno 'jalalani'?
 
Huyo kabudi apeleke mpango kazi wa kuinua jimbo lake Mambo ya kulialia yashapitwa na wakati na leo sijaona aliyejiandaa kufanya kazi zaidi ya JPM maana muda waliopewa hakuna aliyeonyesha kulisemea jimbo lililomfanya kupata hicho cheo.
 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Kabudi amefafanua vizuri kauli yake ya kutoka jalalani mpaka kuwa Waziri.

Ikumbukwe hapo awali wafuasi wa CHADEMA kwa upofu wa kutokujua neno la Mungu nikimaanisha Biblia wengi walisema kwamba, Prof. Kabudi alimaanisha jalalani ni UDSM na mtu anae watoa watu jalalani ni JPM.

Leo hii akitoa shukrani zake baada ya kuapishwa amesoma Zab 113 na kueleza jinsi Mungu anavyoweza kumnyanyua mtu kumwinua na kupata cheo, hata kama ni mtu hohe hahe.

Jambo la kujifunza hapa ni kwa wafuasi na viongozi wa CHADEMA watambue kuwa, Mungu ndie humwinua mtu na kumtoa jalalani, hivyo wasiwe wanakurupuka na kuropoka hovyo.
Wenye akili tumemuelewa Kwa sauti kubwa peleka kamera Kwa Bwana mkubwa alijisikiaje Kwa maneno hayo seems kuna kitu kinakuja
 
Bora Leo kafafanua maana ingawa Mimi ni mwana CCM lakini kusema eti Mh Rais Magufuli eti kamtoa jalalani nilimtoa maana sana.
Yaani UDSM ni jalala number 1 state university wewe unaita jalala.

Kwa hiyo ameendelea kusisitiza kuwa UDSM ni jalalani!
 
Back
Top Bottom