Prof Kabudi ameshindwa kujibu hoja na kujivunia first class yake

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,490
3,534
Habari wadau!

Leo nimecheka sana baada ya Kabudi kupewa nafasi ya kujibu hoja ya mbunge mmoja aliyeuliza kwamba kwa nini mikataba ya madini isiwekwe wazi kama ilivyoanishwa katika sheria ambayo alinukuu mpaka kifungu cha sheria kinachoitaka serikali kuchapisha mikataba ili watu waisome.

Nilistaajabu kusikia prof akisema hilo swala haliwezekani, dada alipoanza kunukuu tu kifungu cha sheria ndipo professor akamkatisha na kusema kwamba ana first class ya sheria yaani kama kumwambie vile utanambia nini .

Proffesor ameshindwa kujibu hoja na kujivunia first class yake na kusahau hizo first class kama zake tunazo nyingi tu huku mtaani zimejaa zinaendesha bodaboda.

Kitu alichopaswa kufanya Prof ni kujibu hoja ya mbunge mwenzake sio kumtambia kwamba ana first class,first class yake imetusaidia nini watanzania katika kutatua changamoto zetu? Leo migodi mingi inafungwa mfano Williamson Diamond ,Buzwagi yamebaki makombo tu ,wazama wa maeneo ya migodi wana maisha duni balaa.

wananchi wanataka kujua uwazi wa mikataba ila unapotaka kugusia swala la kuweka wazi mikataba utashangaa watu macho yanawatoka kama nini.

Binafsi sidhani kama Kabudi ni mtu sahihi kwenye nafasi ya uwaziri anaoutumikia kwa sasa ,mama anahitaji kupata mtu sahihi wa kufanya majukumu nyeti kama haya.
 
Amenijiinua mabega!!
Ngoja nikamsemelee kwa mama.
Habari wadau..!
Leo nimecheka sana baada ya Kabudi kupewa nafasi ya kujibu hoja ya mbunge mmoja aliyeuliza kwamba kwa nini mikataba ya madini isiwekwe wazi kama ilivyoanishwa katika sheria ambayo alinukuu mpaka kifungu cha sheria kinachoitaka serikali kuchapisha mikataba ili watu waisome...
 
I trust anayetetea katiba mpya - ile ya Warioba - na siyo iliyochakachuliwa.
 
Ni mjinga sana alishazoea kutoa majibu ya kishenzi wakati wa Kayafa. Huyu mtu nadhani nae mwisho wake ni mfupi sana, ana bahati wenzie hawajamfix bado
 
hahaaa na wanapanga foleni wote kuchukua posho yeye na musukuma , lusinde na Jah people huku wakimsujudia ndugai mkulima muongoza Bonge , hatari sana kimsingi kabood ni kinyesi kabisa
 
Kuweka mikataba sawa ni sawa na kulala kwenye nyumba ya kioo na mke wako, yaani mtakuwa mnaweka mambo ya serini public.

Cha muhim ni Taifa kuwa na strong negotiation team na big think tank ambao ni very patriotic na watatumika vzr katika kunegotiate na implemet miradi yote ili kuipeleka Tanzania mbele.
 
Habari wadau!

Leo nimecheka sana baada ya Kabudi kupewa nafasi ya kujibu hoja ya mbunge mmoja aliyeuliza kwamba kwa nini mikataba ya madini isiwekwe wazi kama ilivyoanishwa katika sheria ambayo alinukuu mpaka kifungu cha sheria kinachoitaka serikali kuchapisha mikataba ili watu waisome.

Nilistaajabu kusikia prof akisema hilo swala haliwezekani, dada alipoanza kunukuu tu kifungu cha sheria ndipo professor akamkatisha na kusema kwamba ana first class ya sheria yaani kama kumwambie vile utanambia nini .

Proffesor ameshindwa kujibu hoja na kujivunia first class yake na kusahau hizo first class kama zake tunazo nyingi tu huku mtaani zimejaa zinaendesha bodaboda.

Kitu alichopaswa kufanya Prof ni kujibu hoja ya mbunge mwenzake sio kumtambia kwamba ana first class,first class yake imetusaidia nini watanzania katika kutatua changamoto zetu? Leo migodi mingi inafungwa mfano Williamson Diamond ,Buzwagi yamebaki makombo tu ,wazama wa maeneo ya migodi wana maisha duni balaa.

wananchi wanataka kujua uwazi wa mikataba ila unapotaka kugusia swala la kuweka wazi mikataba utashangaa watu macho yanawatoka kama nini.

Binafsi sidhani kama Kabudi ni mtu sahihi kwenye nafasi ya uwaziri anaoutumikia kwa sasa ,mama anahitaji kupata mtu sahihi wa kufanya majukumu nyeti kama haya.
Taifa limekosa mtu sahihi hapo ???
 
Back
Top Bottom