La Quica
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 1,335
- 3,140
Unashauriwa kuhusu lishe na mtu kama huyu asie na afya kabisa.
Unashauriwa kuhusu lishe na mtu kama huyu asie na afya kabisa.
Science does not cheat mzee. Usihalalishe mtu kuongea uongo eti kwasababu hadhira isingemwelewa. Science ni facts na always get the straight usije kuzua taharuki kwa wana-science. Amepuyanga mwambie ukweli acha kumtetea kwa hoja dhaifu/mfu.Watanzania tujifunze namna ya kuchakata taarifa siyo kila tunachokiona mitandaoni tunakibeba tu.
Sasa huyu mzungu ameonyesha uongo gani wa alichosema Janabi? mbona kwenye video ameenda tu expand na kutolea maelezo zaidi yale aliyoyasema Prof.
Tuzingatie kwamba Janabi alikua naongea kwenye hadhira ya watu ambayo angeanza kubreak down hizo molecules wasingemuelewa, ametumia glocose kwenye maelezo kwa sababu ni aina ya sukari inayojulikana zaidi na watanzania kuliko hizo nyingine.
Kwenye Muktadha wa nutrition, kula mchanganyiko wa matunda (fruit salad) kunasababisha kuconsume kiasi kikubwa cha sukari kwa sababu matunda yanatofautiana viwango vya aina za sukari zilivyonavyo. Kijiko kimoja kidogo cha sukari ni gramu 5, sasa fikiria ukijaza bakuli la mchanganyiko wa matunda umeweka ndizi, zabibu, embe, nanasi na machungwa, unakula gramu ngapi za sukari kwa mlo mmoja (matunda yana virutubisho na faida nyingi kwenye lishe hasa kwenye kutengeneza mlo kamili, ila ni muhimu yaliwe kwa kiasi).
Huyu mzungu anawapotosha na watu mnashupaza vichwa tu kijinga jinga, "za kuambiwa changanya na zako, sivyo utapoteana mjini hapa".
"Jedwali la kiwango cha sukari kwa kila gramu 100 ya matunda"
View attachment 3310073
Nyinyi ndio wale mnaitwa topnotch vilaza, una midigirii na ya upupuScience does not cheat mzee. Usihalalishe mtu kuongea uongo eti kwasababu hadhira isingemwelewa. Science ni facts na always get the straight usije kuzua taharuki kwa wana-science. Amepuyanga mwambie ukweli acha kumtetea kwa hoja dhaifu/mfu.
Stick to your shit bro. Huwezi muambia mtu table sugar ni glucose wakati sio kweli. The fact is table sugar is Sucrose which is a disaccharide and inapokuwa broken down (digested) ndio unapata two monosaccharides (glucose and fructose).Nyinyi ndio wale mnaitwa topnotch vilaza, una midigirii na ya upupu
Kwa kuwa unajua mifomula na theory kibao kichwani lakini huwezi na hujui kujieleza unapokutana na hadhara ya kawaida huwezi kujieleza kwenye lugha ya inayoendana na umati, ili kuwaelewesha kwa kutumia lugha rahisi
Mnaaza na the, the, thee...chemical formula , utupolo mtupu.....
View attachment 3318098
Na hii ndio sifa ya mwanasayansi, kujua kurahisisha lugha ili aeleweke na jamii....
F@cking idiotStick to your shit bro. Huwezi muambia mtu table sugar ni glucose wakati sio kweli. The fact is table sugar is Sucrose which is a disaccharide and inapokuwa broken down (digested) ndio unapata two monosaccharides (glucose and fructose).
Hivi nikikueleza hivi wewe kilaza layman wa huko Ishishang'olo utashindwa kuelewa nini?
ACHA KUTETEA UPUMBAVU. STUPID POOF
Mkuu ukila kipande kidogo Cha embe ukala kipande kidogo Cha papai au ndizi na mwingine Akala embe Zima au ndizi nzima je nani atakuwa amezidisha hicho kiwango unachosema?
Kiuhalisia Janab kachemka ni muongo kama embe na papai Lina sukari ileile tu je kosa LI wapi nikila huku kidogo na kule kidogo Ili Hali wapo watu hula embe Zima au hata matatu Kwa mtu mmoja
Mkuu, usithubutu kuwasikiliza madaktari (Medical Doctors) kuhusu lishe, utakufa mapema! Iwe Marekani, Ulaya, Janabi ni mmoja wao!Shida mnajifanya ujuaji huku sio wafuatiliaji wa mambo
Kwenye swala la ulaji wanasayansi wamekanyagana sana, pia hata waliosoma lishe kwenye swala la ulaji ni wana shida sana
Asilimia kubwa ya watu wanaofuata ushauri wao hawatoboi
Mimi nishafanya research kwenye mambo hayo, unakuta mtu wa lishe anakushangaa unavyompangia ulaji mtu wa kisukari anakuambia hajui mfumo huo.
Mfumo mnaokaririshwa vyuoni umefeli kwenye uhalisia hasa magonjwa yasiyoambukiza.
Cardiology tena😂Kuna vijana wengi wa pale Muhimbili huwa wananiambia kuwa Janabi kavamia chaka la Cardiology ameanzisha uchawa kwenye taaluma ya watu lakini wanamstahi kwani yupo na mbeleko ya hao wanaozunguka naye kumnadi duniani, Janabi nakushauri kaa pembeni vijana wako Moto na wanaenda na wakati achana na enzi za akina Shaba, Mclarity, Mtulia etc...
You are just a hopeless wanker MOFO. GTH asshole. Huwezi nifundisha chochote coz you are a myopic dimwit.F@cking idiot
Wewe kenge unieleze nini mimi?
What audience was he addressing ? you stupid fag !
Was he conducting a lecturer with students?
effin bozo!
I second my previous comment , you are topnotch kilaza
and that white fag boy fag like you is cherry picking menial stupidity issues to criticize!
Those press invitees do you they f@cking need to know disaccharide au monosaccharides to report on media that is read by masses including laymans? what a buffon!
Bugger off....KnobheadYou are just a hopeless wanker MOFO. GTH asshole. Huwezi nifundisha chochote coz you are a myopic dimwit.
If you think anyone can alter facts just because of the audience then you are a total disgrace to your parents, schools and the whole world. You can just die and rot in hell biatch.
Kumrestisha Jiwe ?Analipwa fadhila Kwa kazi Fulani
Umepokeaje Ushindi wa Janabi 😂Prof.Janabi akiambiwa uongo wake na Mkali wa Bio-Chemistry View attachment 3309840
Post nasomea pembeni ya jicho.Umepokeaje Ushindi wa Janabi 😂
Pole.Post nasomea pembeni ya jicho.
Staki kuona Alien kashinda.😂
Haters msijinyonge 😂 Vumilieni tuuPost nasomea pembeni ya jicho.
Staki kuona Alien kashinda.😂
Naona umedandia ila hujaelewa tunaongea kitu gani.Pole.
Nna Muda nae bhasi toka amfinye Jiwe namuonaga msoga flani hivi.Haters msijinyonge 😂 Vumilieni tuu
Hayo mambo ya kumfinya jiwe mm siyajui nakuachia wwNna Muda nae bhasi toka amfinye Jiwe namuonaga msoga flani hivi.