kakakuona40
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 300
- 52
Nabii hakubaliki kwao! nyie endelezeni uchama na acheni watu muhimu,
Prof yupo US anakula kuku kwa mrija,
Prof yupo US anakula kuku kwa mrija,
Jamani, mwenyekiti wa chama cha wananchi (CUF) Prof.Hibrahimu Lipumba yuko wapi? mbona yupo kimya sana?
Inakuwaje viongozi wenzake wa vyama vya upinzani kama CDM na NCCR mageuzi wako busy katika kupigania upa
tikanaji wa katiba mpya alafu yeye yupo kimya? nyie CUF vipi? kama sijakosea nakumbuka huyu bwana mara ya
mwisho nilimuona kwenye ufunguzi wa kampeni jimbo la Igunga na kutoka hapo sijamuona wala kumsikia tena kupi
tia vyombo vya habari hadi leo hii. Tatizo ni nini? au ameshajikatia tamaa na hiki chama chake? na je,kwa sasa yuko wapi?