Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,200
Hivi kaka unategemea lolote jipya kutoka CUF? Wenzio wako kwenye mahaba mazito na CCM wewe unataka kuingilia mambo ya watu. Upinzani wa kweli hautakaa utoke CUF hii ya sasa; labda wajipange upya tena wajipange haswa.
Walivyokuwa wanakaa kwenye vikao vyao vya miafaka kwa kificho wenye akili zao walionya na kupiga kelele, CUF wakaona wanaonewa gere kumbe ndio hivyo chama kilikuwa kinaelekea kaburini kwa faida ya wachache. Inahuzinisha lakini hakuna neno jingine zaidi ya R.I.P. CUF.
Ingakuwa bora kama uenyekiti angepewa Hamad Rashidkama yuko USA hahusiki tena na chama basi aachie ngazi hakuna maana ya kuwa na mwenyekiti kutoka kwa Obama
CHADEMA wanamhitaji akaongeze nguvu! Kulikataa vuguvugu la mabadiliko si uungwana ajiunge na chama chenye mshikoLipumba kakalia kuti kavu kashindwa mara kadhaa kwenye mbio za Urais sidhani kama CUF wanamuhitaji tena
Katika gogoro la CUF linaloendelea tungepewa unafuu kujua ustadi wa Prof. Mapumba katika uongozi kama angesema kitu katika ugomvi wa Maalim (mnywa whisky ikulu) na Hamad Rashid (Mpambanaji) lakini guess what Prof. Lipumba yuko kimyaaa kama mtu aliye katika kiharusi! Je huyu ndiye yule wana CUF huwa wanamsifia ati ana PHD ya uongozi ilhali akishindwa hata kuitisha kikao cha dharura cha NEC kusuluhisha gogoro hili? changanya na zako kupembenua Seif ni Mkubwa zaidi ya chama....ni hilo tu!
kupembenua?

CUF wakivuka salama kwenye huu mgogoro watakuwa wamekomaa kisiasa, we are watching them
kupembenua?