TEGETA KIBAONI
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 651
- 141
Kazi ipo. Hii ndio Tanzania bana!
Nyerere alitabiri upinzani wa kweli utatoka CCM . Baada ya Lowassa kutoka CCM na kuhamia upinzani wa kweli wale wapinzani feki kama lipumba na Slaa wamelala mbele kupisha upinzani wa kweli wa CCM
Mbowe amewauza wenzake. Lipumba alishiriki kila kitu, lakini hakujua kama wameuzwa. Sasa ameujua mchezo wote, ulitaka aendelee kushiriki dhambi?
Huyo profesa gani asiyeweza kutathmini hali ya siasa ilivyo? Yaani umepigana kutetea katiba ya wananchi, hadi wale walioipinga wamekuelewa na wameamua kurudi upande wako, wewe unawakataa kisa walikupinga hapo awali? Badala ya kujipongeza kwa kugeuza mawazo ya wale waliokupinga awali nasasa ni wenzako na wakotayari kuondoa CCM na ubabe wake wa kulazimisha katiba yao na sasa kuanza mchakato mpya wa katiba ya Warioba wewe unaona bora utoke???? sasa kampeni uliyokuwa unafanya ni ya kuhifadhi waliokuelewa toka mwanzo tu, hukuwa na haja ya kuwabadili wasioelewa toka mwanzo ili waelewe maana na rasimu ya Warioba na kuwashawishi wakuunge mkono???Hiyo siyo sababu unayosema sasa mimi sikubaliani nayo. Mi nahisi sababu inatoka msikitini kwamba huwezi mpigia kampeni mgombe wa dini nyingine! Huo ni udini! sioni sababu nyingine ambayo unashindwa kuwaeleza wafuasi wako! Na kwa udini wako, basi kapumzike!
unaposikiliza radio huwa unaonyeshwa picha?
Nyerere alitabiri upinzani wa kweli utatoka CCM . Baada ya Lowassa kutoka CCM na kuhamia upinzani wa kweli wale wapinzani feki kama lipumba na Slaa wamelala mbele kupisha upinzani wa kweli wa CCM
Si hata hilo pia wananchi wanataka kuona kwanza viongozi wanao waamini kuelekea uchaguzi mkuu, hivi unadhani bila ya ushiriki wa Slaa na Lipumba kwenye hizi campaign how many people will be demoralized?
Isitoshe huyu Lipumba alivyo ponda wazi kuhusu msimamo wao wa awali juu ya muungano wa UKAWA ambao chanzo chake ni rasimu, unless labda huyo Lowassa nae aendelee na wimbo wa rasimu lakini huu wimbo wa goli la mkono watu washaushtukia ni sababu za mapema kwenye kujihami ata wakishindwa kialali poor UKAWA.
okey, ndo amejua SAA hivi kuwa alikuwa anafanya makosa
Duuuh,CCM wameshapata sabuni,bao la mkono linakuja sasa
Kuufikia ukombozi kuna garama kubwa. Pr. Lipumba amesaliti ukombozi wa kweli. Ila amejitekenya mwenyewe.