alitakiwa asijiuzulu ila aongoze chama chake wajitoe ukawa.maana sababu aliyo itoa ni kuto kukubalika kwa makubaliano na viongozi wenzake wa ukawa.sasa kujiuzulu tu ni kukikomoa chama cha cuf badala ya kukikomboa chama cha cuf
Aliye kuwa m/kiti wa CUF Prof.ameachia ngazi kwa amni ndani ya chama ili akagombee ubunge kwa tiketi ya ukawa.
habari mbaya kabisa kwa wapenda mabadiliko nchini na ukawa kwa ujumla, r. I. P prof. Lipumba
ndo ujue alivyokuwa mnafiki machoni cuf moyoni ccm .Kwa nini asikae kimya mpaka uchaguzi uishe ndipo ajiuzulu? Siasa za waafrika hazina tija,wanasiasa hawaaminiki. Ataje ni makubaliano yapi? Hawa ndio wanarudisha nyuma mabadiliko.
Mi niliwahi kusema humu mwanzon mwa mchakato wa Dr. Slaa kutokujionyesha, nilisema sifatilii tena siasa nibora niendelee na majukum yangu.
Kwa akil yangu ndogo najiuliza tatzo n nin? Kama ni lowasa si yeye na wenzake walimkaribsha na kumtetea kwa waandish wa hbr? Kama n ubunge juz nasikia mbowe amewataarif kabsa wagombea wake kuwa kuna wengne watalazimika kuachia majimbo ili vyama washirika wagombee? Kama n kuhama kwa Duni, si ni yeye Prof. Alikubali kwa moyo mweupe duni kuondoka usiku wa kuamkia j4? Na kama tatzo ni ukawa yan wameshndwa kukutana tena na kuyazungumza waliyokubaliana ili wayamalize? Pia kama n tatzo ukawa inakuaje Uenyekit wa CUF uhusike? Hapo ndipo nashndwa kuelewa na inanibidi niwe nauchek mchezo unavyokwenda japo naiona tz yangu mikonon mwa walewale majambaz. Ngoja nikaendelee na kaz yangu nisije kufukuzwa
Naunga mkono hoja yako hawa wanasiasa hawaeleweki wao hawana shida wananchi ndo wanaoumia.Imefika mahal citizens tuamue tunataka kuipeleka wapi hi nchi viongoz waliokuwa mstar wa mbele kutuaminisha mabadiliko wanaachia ngaz hali wanahtajika liwalo na liwe wakae pembeni mabadiliko lazima vijana wa nchi hii tujitambue tufanye maamuzi ya busara kuelekea uchaguzi mkuu.
nazidi kushangaaTulitarajia ajiondoe kwenye ukawa sio kujiuzulu cuf
Prof. Ibrahim Lipumba ametangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti kwenye chama chake cha Wananchi CUF.
Ametangaza kuachia ngazi uenyekiti wa chama hicho mapema leo, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya Peacok.
Amesema amechukua uamuzi huo kutokana na UKAWA kushindwa kusimamia makubaliano yao.
Chanzo: Nipo kwenye kikao
mkuu msisahau kuwa pia mbatia ni ccm na anatumika sana; hamjui tulipumba toka awali ilisemekana alipewa 300m na ccm ..ili aivuruge ukawa...naona kashindwa sasa wnamdai hela zao
Mtabaki Wachagga tu kwenye UKAWA