Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

Aitanibadilisha fikira yangu ya kuiadhibu ccm ata ajiuzuru Mbowe na lowasa bado sitaipigia kura ccm
 
Acha akale shavu bana...vyeti visije vikaliwa na mchwa, ila much respect to him amefanya kazi kubwa sana katika kuhakikisha UKAWA inasimama na kufika hapa ilipo sasa. Kapige mzigo Prof. tunaendeleza ulipotuachia.
 

alikaribishwa kuuona mwnachama mpya wa CHADEMA ;

Lakini sio Mgombeaji wa Ukawa; CUF hakuna kunyoosha mikono kuchagua mgombea uraisi ; ni process

ushenzi wa mbowe unatugharimu wapenda mabadiliko

Sasa Duni na Maalim Seif walikuwa wanafanya nini kwenye mkutano mkuu...
 
Kwanini uchu wa Madaraka awe nao LOWASA tu isiwe CCM iliyotawala zaidi ya 50yrs nabado wanataka wapewe tena nafasi

ccm huwa wanajibadilisha mkuu, leo Magufuli na jana Kikwete na hao hawajaonesha uchu wa kutaka madaraka kwa gharama yoyote.
 

alikaribishwa kuuona mwnachama mpya wa CHADEMA ;

Lakini sio Mgombeaji wa Ukawa; CUF hakuna kunyoosha mikono kuchagua mgombea uraisi ; ni process

ushenzi wa mbowe unatugharimu wapenda mabadiliko

We jamaa si ACT ki vipi ujiite mpenda mabadiliko.. Asee unafiki mbaya saaaana.
 
Yaani Lipumba hao watu walikupiga, wakakupeleka mahakamani na bado leo hii wanakusumbua khaaaa.
Yaani Slaa, Lipumba mmenihuzunisha sana sikutegemea kama nyinyi ndio mngeturudisha nyuma hivi.....
Natamani mngejua jinsi gani sisi twaumia, nilijua mwaka huu wetu kuiondoa CCM ila naanza ona ndoto ikififia taratibu sana...

Usikate tamaa mzee, wao ni viongozi tu, wenye maamuzi ya mwisho ni sisi wananchi,kwahiyo jitokeze kapige kura tufanye mabadiliko.
 
Haaaaaaaa my UKAWA!! ImageUploadedByJamiiForums1438850870.152760.jpg
 
Kwa wananchi wapenda mabadiliko mnatuchanganya kwa kweli ninyi viongozi wakuu wa upinzani,pana watu wanataka tuishi hivi hivi bila ya mabadiliko..

Tatizo mnawaamini sana viongozi walafi akina mbowe... Wakiona pesa hawaachii!! Waliosema ukweli akina Zitto mkawaoana ma.vi sahv ndo mnaanza kupembua ipi pumba ipi mchele!! Hadi Dr Slaa kapuuzwa na mbowe! Kisa pesa, Lipumba hasikilizwi tena, kisa pesa za Lowassa!!!
 
alitakiwa asijiuzulu ila aongoze chama chake wajitoe ukawa.maana sababu aliyo itoa ni kuto kukubalika kwa makubaliano na viongozi wenzake wa ukawa.sasa kujiuzulu tu ni kukikomoa chama cha cuf badala ya kukikomboa chama cha cuf
 
Ajivue kabisa na uanachama kama anataka kulinda heshima yake

Heshima Gani analinda wakati kanunuliwa na Membe Kwa Yale mabilioni ya Marehemu Gadafi , Akina Nape na Makonda wamepiga chao cha juu tayari sasa wapo busy wanaangalia yupi yupo tayari Kununuliwa Ukawa waende kumnunua , Membe kaapa atawanunua Ukawa wote ili kumkomoa Adui wake Lowasa.
 
Yaani kiukweli naendelea huzunika sana... hvi hawa watu kabisa daaaah
Ndio muone umasikini ulivyo mbaya, watu wanapewa hela wanaondoka mapiganoni...
Ndo maana napenda mtu kama Lowasa maana yeye hasumbuliwi ma tatizo la pesa, Slaa mkopo wake wa Nyumba umemchanganya, Lipumba nae daaaah...
Mbatia komaaa usitoke
 
Back
Top Bottom