luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,295
- 8,258
Kwahiyo!wakuu Prof Mtui ni daktari bingwa na mhadhiri ktk Chuo kikuu cha Weill Cornell huko marekani,prof mtui Amekua msaada mkubwa ktk Chuo kikuu cha udom kwani amekuwa akitoa msaada ya vifaa Tiba chuon hapo
.mwaka 2015 aliekuwa makamu mkuu udom Prof kikula alifanya ziara marekani ambapo pmj na mambo mengine alimkabidhi kitabu cha historia ya Chuo hicho pmj na kumpa tuzo
Prof mtui amezaliwa marangu mkoani Kilimanjaro
Hata Prof Sarungi at his zenith alikuwa daktari bingwa, tena kuliko Prof Mtui.hawezi kuja tz sio mtu wa siasa ni daktari bingwa
kwani ulitakajeKwahiyo!
sidhani kama atarudi tz tena na awamu hii ya tano? ingekuwa ya NNE labdaHata Prof Sarungi at his zenith alikuwa daktari bingwa, tena kuliko Prof Mtui.
Binafsi nathamini sana mchango wa Prof Mtui lakini nashauri aendelee kusaidia akiwa hukohuko Cornell.
Kwa awamu yoyote ile simshauri arudi TZ hata kidogo.sidhani kama atarudi tz tena na awamu hii ya tano? ingekuwa ya NNE labda
Hata sarungi alikua daktari bingwahawezi kuja tz sio mtu wa siasa ni daktari bingwa
Uanchosema ni kweli mr.malcom. akirudo tz ataingizwa kwenye siasa na akiisha ingia hapo habari yake imeisha.Naona unampigia prom za rejereja Prof Mtui.
Lakini kama anataka kuonekana kwenye ramani za Tanzania mimi simshauri kabisa.
Aendelee kusaidia watanzania kwa kutumia njia hizohizo tu. Mwambie asijiroge kuja Tanzania na kufanya siasa kama wenzake wakina Prof Sarungi, Kabudi, Bana, Mukandala na Shivji. He will end up being more than miserable.
NB: Mungu Ambariki sana kwa mchango wake wenye tija sana kwa nchi.
ndo maana kumbe hawataki kutupa uraisi watu wa kaskazini wanajua tulivyo hatari sana
hahaha dunia nzima inatufahamu mkuundo maana kumbe hawataki kutupa uraisi watu wa kaskazini wanajua tulivyo hatari sana
haswaa sidhani kama ana mpango huoUanchosema ni kweli mr.malcom. akirudo tz ataingizwa kwenye siasa na akiisha ingia hapo habari yake imeisha.
utawala huu haupend watu wa mlima ule cdhani kama ana mpango wa kurudiAtakuwa na Green card huyo so asihangaike kamwe kurudi kwenye nchi ilojaa wanasiasa kama jiwe!!!!
Kwanza ile Cabal ya Maprofesa wa Muhimbili na UDSM itamfanyia figisu nyingi tu.Uanchosema ni kweli mr.malcom. akirudo tz ataingizwa kwenye siasa na akiisha ingia hapo habari yake imeisha.
ujumbe umefika mkuuKwa awamu yoyote ile simshauri arudi TZ hata kidogo.
Uzalendo siyo lazima kufanya kazi Tanzania au kuwa mwanasiasa.
haswaaKwanza ile Cabal ya Maprofesa wa Muhimbili na UDSM itamfanyia figisu nyingi tu.
Ifike mahali tufahamu kwamba uzalendo kwa nch siyo kufanya Siasa za vyama peke yake.
Abaki huko lakini asaidie nchi kwenye mambo kama kutafutia wanafunzi ufadhili wa kimasomo na Ushirikiano kitaasisi.