Prof. Estomih Mtui: Mtanzania anayefundisha Chuo Kikuu cha Weill Cornell Marekani

luambo makiadi

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
7,903
2,000
Wakuu Prof Mtui ni daktari bingwa na mhadhiri ktk Chuo kikuu cha Weill Cornell huko Marekani akibobea ktk fani ya anatomy

Prof Mtui amekuwa msaada mkubwa ktk Chuo Kikuu cha UDOM kwani amekuwa akitoa msaada ya vifaa Tiba chuoni hapo.

Mwaka 2015 aliyekuwa Makamu Mkuu UDOM, Prof. Kikula alifanya ziara Marekani ambapo pamoja na mambo mengine alimkabidhi kitabu cha historia ya Chuo hicho pamoja na kumpa tuzo.

Prof. Mtui amezaliwa Marangu mkoani Kilimanjaro
 
MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
17,463
2,000
Naona unampigia prom za rejereja Prof Mtui.
Lakini kama anataka kuonekana kwenye ramani za Tanzania mimi simshauri kabisa.
Aendelee kusaidia watanzania kwa kutumia njia hizohizo tu. Mwambie asijiroge kuja Tanzania na kufanya siasa kama wenzake wakina Prof Sarungi, Kabudi, Bana, Mukandala na Shivji. He will end up being more than miserable.

NB: Mungu Ambariki sana kwa mchango wake wenye tija sana kwa nchi.
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
8,966
2,000
wakuu Prof Mtui ni daktari bingwa na mhadhiri ktk Chuo kikuu cha Weill Cornell huko marekani,prof mtui Amekua msaada mkubwa ktk Chuo kikuu cha udom kwani amekuwa akitoa msaada ya vifaa Tiba chuon hapo
.mwaka 2015 aliekuwa makamu mkuu udom Prof kikula alifanya ziara marekani ambapo pmj na mambo mengine alimkabidhi kitabu cha historia ya Chuo hicho pmj na kumpa tuzo
Prof mtui amezaliwa marangu mkoani Kilimanjaro
Kwahiyo!
 
Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
13,044
2,000
Naona unampigia prom za rejereja Prof Mtui.
Lakini kama anataka kuonekana kwenye ramani za Tanzania mimi simshauri kabisa.
Aendelee kusaidia watanzania kwa kutumia njia hizohizo tu. Mwambie asijiroge kuja Tanzania na kufanya siasa kama wenzake wakina Prof Sarungi, Kabudi, Bana, Mukandala na Shivji. He will end up being more than miserable.

NB: Mungu Ambariki sana kwa mchango wake wenye tija sana kwa nchi.
Uanchosema ni kweli mr.malcom. akirudo tz ataingizwa kwenye siasa na akiisha ingia hapo habari yake imeisha.
 
MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
17,463
2,000
Uanchosema ni kweli mr.malcom. akirudo tz ataingizwa kwenye siasa na akiisha ingia hapo habari yake imeisha.
Kwanza ile Cabal ya Maprofesa wa Muhimbili na UDSM itamfanyia figisu nyingi tu.
Ifike mahali tufahamu kwamba uzalendo kwa nchi siyo kufanya Siasa za vyama peke yake.
Abaki huko lakini asaidie nchi kwenye mambo kama kutafutia wanafunzi ufadhili wa kimasomo na Ushirikiano kitaasisi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom