Prof. Estomih Mtui: Mtanzania anayefundisha Chuo Kikuu cha Weill Cornell Marekani

Naona unampigia prom za rejereja Prof Mtui.
Lakini kama anataka kuonekana kwenye ramani za Tanzania mimi simshauri kabisa.
Aendelee kusaidia watanzania kwa kutumia njia hizohizo tu. Mwambie asijiroge kuja Tanzania na kufanya siasa kama wenzake wakina Prof Sarungi, Kabudi, Bana, Mukandala na Shivji. He will end up being more than miserable.

NB: Mungu Ambariki sana kwa mchango wake wenye tija sana kwa nchi.
What point are you trying to make , unataka ku establish nini?
 
Malcom Lumumba,

Ni nani amekwambia Kabudi, Sarungi au Shivji wako miserable? Wewe ni nani kwao hadi uwasemee na kujua kwamba wako miserable?Una uelewa kwa kiasi gani kuhusu maisha yao na lipi lengo lao maishani mwao?

Wewe kama hauna furaha na maisha yako kwa choice ulizozifanya wewe mwenyewe hilo ni juu yako, usifikiri kila mtu yuko hivyo!
 
Mwambie anachoweza kutusaidia kwasasa ni kwenda Ubalozi wa Tanzania na kuomba wazungumze na serikali ya Marekani kuhusu kuanzisha uhusiano wa kitaasisi (Institutional Collaboration through Memorandum of Understanding) baina ya Weill Cornell Medical College na Muhimbili University of Health and Allied Sciences au University of Dodoma au Chuo chochote cha Clinical Offier. Hapa tunategemea kwamba haya mahusiano baina ya hizi taasisi mbili yatakuwa yanalenga kwenye vitu kama :Twinning Programs, Collaborative Research, Staff and Student exchange programs, Joint Clinical Workshops, Curriculum Development, Sharing of facilities and etc

NB: Akifanya hivi naamini atakuwa amesaidia sana nchi yetu, kwasababu Cornel Medical School siyo ya mchezo mchezo na sisi tuna mengi sana ya kujifunza kutoka kwao. Kama uko jirani naye mwambie afanye hivi tafadhali
nAAM ANA HIYO IDEA MAANA YEYE NI KIUNGO MUHIMU KTK CHUO CHA udom ktk kusaidia vifaa tiba
 
Ni nani amekwambia Kabudi, Sarungi au Shivji wako miserable? Wewe ni nani kwao hadi uwasemee na kujua kwamba wako miserable?Una uelewa kwa kiasi gani kuhusu maisha yao na lipi lengo lao maishani mwao?

Wewe kama hauna furaha na maisha yako kwa choice ulizozifanya wewe mwenyewe hilo ni juu yako, usifikiri kila mtu yuko hivyo!
huna hoja endelea kula urojo hapo Pemba tu
 
hakuna chuki, nia ya post yako ni ipi? Kuna maprofesa wangapi wako havard wanafundisha wa kutoka Tanzania? Why particular on that one!
huwez kunipangia cha kupost,mm ni mwananchi ninaejiamini sipangiw pangiwi mambo hata bAndo nimenunua mwenyewe hakunA Alienunulia
ukinipangia ndio umeharibu kbs
 
Ni nani amekwambia Kabudi, Sarungi au Shivji wako miserable? Wewe ni nani kwao hadi uwasemee na kujua kwamba wako miserable?Una uelewa kwa kiasi gani kuhusu maisha yao na lipi lengo lao maishani mwao?

Wewe kama hauna furaha na maisha yako kwa choice ulizozifanya wewe mwenyewe hilo ni juu yako, usifikiri kila mtu yuko hivyo!

Mosi, Wewe huna akili ya kuweza kuelewa ninachokizungumza hapa.
Hivyo nakushauri ubaki kwenye kushabikia ujinga wako na serious debate waachie wenye uelewe mkubwa wazungumze. Usipoelewa hata leo, kesho nayo siku pia Utalewa tu.

Pili, Mimi Malcom Lumumba wa nshomile wa Kagera , I have lived my life and made an enormous contribution to this country many years before you started itching in your fathers pants. I have lived to the fullest of my potential na mpaka sasa sina majuto yoyote yale kwasababu nilitumia ujana wangu vizuri sanaa. Nasubiri kustaafu na kufa kwa amani tu kwasasa na kuwaachia vijana wangu mfano wa kuiga. Sasa wajinga wajinga kama ninyi ambao mnahisi mnasiaidia nchi kwa kuunga mkono kila upumbavu unaofanywa na serikali endeleeni tu na sisi tunaomba uzima tuje kuona Tanzania yenu ya miaka 15 ijayo itakuwa wapi.
 
hakuna chuki, nia ya post yako ni ipi? Kuna maprofesa wangapi wako havard wanafundisha wa kutoka Tanzania? Why particular on that one!
huwez kunipangia cha kupost,mm ni mwananchi ninaejiamini sipangiw pangiwi mambo hata bAndo nimenunua mwenyewe hakunA Alienunulia
ukinipangia ndio umeharibu kbs
 
CtPLbT4W8AAwiJz.jpg
 
Back
Top Bottom