Prof. Estomih Mtui: Mtanzania anayefundisha Chuo Kikuu cha Weill Cornell Marekani

Wakuu Prof Mtui ni daktari bingwa na mhadhiri ktk Chuo kikuu cha Weill Cornell huko Marekani akibobea ktk fani ya anatomy

Prof Mtui amekuwa msaada mkubwa ktk Chuo Kikuu cha UDOM kwani amekuwa akitoa msaada ya vifaa Tiba chuoni hapo.

Mwaka 2015 aliyekuwa Makamu Mkuu UDOM, Prof. Kikula alifanya ziara Marekani ambapo pamoja na mambo mengine alimkabidhi kitabu cha historia ya Chuo hicho pamoja na kumpa tuzo.

Prof. Mtui amezaliwa Marangu mkoani Kilimanjaro
Tupiamo tupicha twake
 
CtPLbT4W8AAwiJz.jpg
Huyo kavundisha wengi Neural anatomy Muhimbili
 
Wakuu Prof Mtui ni daktari bingwa na mhadhiri ktk Chuo kikuu cha Weill Cornell huko Marekani akibobea ktk fani ya anatomy

Prof Mtui amekuwa msaada mkubwa ktk Chuo Kikuu cha UDOM kwani amekuwa akitoa msaada ya vifaa Tiba chuoni hapo.

Mwaka 2015 aliyekuwa Makamu Mkuu UDOM, Prof. Kikula alifanya ziara Marekani ambapo pamoja na mambo mengine alimkabidhi kitabu cha historia ya Chuo hicho pamoja na kumpa tuzo.

Prof. Mtui amezaliwa Marangu mkoani Kilimanjaro
Hamna kitu apo bukoba maprof hawahesabiki
 
Watu kama huyu wako wengi sana nchi nyingi za nje, kuna online group moja la waTZ walioko nje ya nchi ukiingia lina watu wenye taaluma na wanafanya kazi kwenye taasisi kubwa katika hizo nchi lakini hawajikwezi wala nini, ni hadi mtu akuambie unajua huyo ni Dr/engineer/professor/director nk nk.
Usiniulize jinsi ya kujiunga, ni by invitation only.
 
Kabudi, Sarungi, Magufuli na wengine nimewafahamu hata kabla wewe hujawafahamu na wala siwachukii. Pengine nawafahamu vizuri kuliko ambavyo wewe Barbarossa unawafahamu. Nawaheshimu sana hawa wasomi kwa michango yao mikubwa yenye tija hapa nchini, lakini nachelea kusema kwamba hawakufanya to their fullest kwasababu walichanganya UTAALAMU NA SIASA. Hivi unadhani mtu mwenye uelewa mpana kama Sarungi angekuwa Chancellor au Vice Chancellor wa Pale MUHAS leo kingekuwa wapi kile chuo ?? Au Prof Kabudi na Raisi Magufuli wakiacha siasa za Uchama na Kibaguzi uandhani taaluma zao hazitakuwa na tija hapa nchini ???

NB: Miserable is having potential but fail to utilize it to the fullest. Mtaalamu wa Mifupa kawa Waziri wa Ulinzi hebu jiulize, Just Miserable. Sasa alisomea huo Udaktari ili aje kuwa Waziri wa Ulinzi ??? Miserable and Miserable.
Awesome.
I refuse to live miserable life
 
Nauliza tena, chuo kipo state gani ?
Marekani kubwa sana, na hata Veta, Evening Class na vyuo vya vijiji vipo.

Lete state basi tujue au link ya chuo kabisa
 
Watanzania wananyanyasika na kovid yeye anatibu wazungu?
Arudi achukue nafasi ya ukatibu mkuu wizara ya afya maana tulie naye hatufai
 
Back
Top Bottom