luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,295
- 8,257
Wakuu Prof Mtui ni daktari bingwa na mhadhiri ktk Chuo kikuu cha Weill Cornell huko Marekani akibobea ktk fani ya anatomy
Prof Mtui amekuwa msaada mkubwa ktk Chuo Kikuu cha UDOM kwani amekuwa akitoa msaada ya vifaa Tiba chuoni hapo.
Mwaka 2015 aliyekuwa Makamu Mkuu UDOM, Prof. Kikula alifanya ziara Marekani ambapo pamoja na mambo mengine alimkabidhi kitabu cha historia ya Chuo hicho pamoja na kumpa tuzo.
Prof. Mtui amezaliwa Marangu mkoani Kilimanjaro