WanaJF,Naomba update za huyu Professor, Binafsi ninamkubali sana huyu prof kwa uchambuzi wake wa historia na falsafa ya kiafrika. kwa muda mrefu sijamsikia wala kusoma machapisho yake mapya? Naomba yeyote mwenye taarifa zake aniupdate? Yupo wapi kwa sasa na anafanya nini? Na kama kuna mwenye machapisho yake ya kuanzia 2005 na kuendelea nitafurahi sana akinisaidia jinsi ya kuyapata.
Huyu prof. alikuwa moja ya vichwa mahili pale UDSM miakay 90 madarasa aliyokuwa anafundisha walikuwa wana mkubali sana kule idara ya HistoryHuyu mtu ninavyojua alikuwa mmoja wa watu walioleta na wanaoendelea kuleta fujo kongo DRC.lkn nashindwa kukuelewa unamhitaji wa nini ?