Prof. Beno Ndulu: Watu wanaongea wasiyoyajua, BoT haina wafanyakazi hewa

Jana rais Magufuli alitua Bank of Tanzania (BoT) akiwa na iliyojulikana kama list ya wafanyakazi wote wa pale wakiwemo wafanyakazi "hewa"

Nitafafanua kidogo hili linaloitwa wafanyakazi hewa ila naomba isiletwe nongwa kuwa ni utaratibu wangu kumpinga rais! Lah!

Nakumbuka mwaka juzi aliyekuwa katibu mkuu wa NECTA daktari Joyce Ndalichako aliondolewa pale NECTA kwa kile kilichoitwa "likizo ya kufanya utafiti"

Hilo kama halitoshi, pale UDSM (CoET ) na kwingine kote ukienda utakuta wafanyakazi hewa kwelikweli! Siyo hewa kwa maana ya hewa bali wapo kwenye masomo yao ama nje ya nchi ama hapahapa nchini! Wengine wapo kwenye tafiti! Mimi nina rafiki zangu watano pale hawapo! Wapo wanasoma na mshahara unaingia kama kawaida!

Ukienda pale BoT ni kitengo ambacho ni nyeti sana! BoT ni zaidi ya taasisi nyeti za elimu ya juu mfano UDSM! Pale ni kawaida kabisa mfanyakazi kuwa nje ya kituo cha kazi hata mwaka mzima! Pia tukumbuke kuwa pale BoT napo pana watu wenye uelewa wa juu na wengi wao wapo kwenye mizunguko kielemu na kiajira! Swala la BoT ni zaidi ya maswala mengine yote ya taasisi nyingine nchini!

Mimi niliwahi kufanya project pale na kama kawaida yangu nikaanza udodozi wa hapa na pale! Niligundua mambo mengi sana ikiwemo namna ambavyo taasisi ile imejiimarisha katika mfumo wa ulinzi! Mambo kama EPA na ESCROW hayakutokea bahati mbaya! Yale ni maamuzi kutoka ngazi ya juu ya nchi!

Kwa namna hiyo basi, kuna ukweli kuwa wale wanaoitwa wafanyakazi hewa wa pale walikuwa ama kwenye kozi mbalimbali au research! Huo ndiyo utaratibu wa BoT na watu wa pale ni wawekezaji wakubwa kwenye tafiti na elimu! Wengine wako kwenye mizunguko ya kazi!!

Ikiwa Magufuli atataka watu waliokuwa kule ndani wanaoshinda mle na kutoka 24×365 ndiyo wenye mamlaka ya kulipwa mshahara pekee basi no more BoT!

Hata huyo gavana atakayemteua basi atamkosa! Na uchumi utaenda kuleee!!
Title umeiweka vizur lakin ndan hakuna ulichoandika
 
Hivi BoT inapaswa kuwa na wafanyakazi wangapi watakaoleta ufanishi bila kuwa na watu wa ziada.?
 
kamanda unazungumza kitu usichokifahamu. viongozi wa BOT wenyewe wamekiri kwenye kikao kuwa kuna matatizo somewhere. wew ni nani kupinga hali hiyo. fanya tafiti kwanza usikurupuke.
 
hamna lolote la maana hapa umeandika zaidi ya kumbwelambwela tu
 
Bro wewe ni JIPU la Tambazi na hutaki kutumbuliwa, unataka kuishi kwy mwili wa binadamu milele!?
JPM atakutumbua tu,ndiyo kazi yake professional mtumbua majipu!
 
Kwahiyo ww umesoma sn kumzidi Rais kiasi kwamba yy na wasaidizi wake washindwe kuelewa?
 
I'll nchi hii ikombolewe na isonge mbele lazima baadhi ya watu waumie tu na hasa Kama wewe ni mwovu.Pia lazima atokee kiongozi atakayejitoa mhanga ili nchi ipone na JPM ndiye aliyejitoa mhanga.Tulio wanyonge tupo nyuma yake.Hao wezi hata kura huwa hawapigi
So JPM kanyaga twende.
 
Anaizungumzia Rais ni wale walio kwenye teuzi na kuwa kwenye nyadhifa nyingine za Kitaifa lakini rekodi bado zinaonesha ni waajiriwa pale na wanapokea mshahara kama ilivyo kwa Mhe. Mwigulu.

Ova
 
Kuna wanashangilia ujinga na maigizo yanayoendelea sasa kama anajua kuna wafanyakazi wanalipwa mishahara mbona ameshindwa kuwachukulia hatua hao wahusika ?maigizo ya kutumbua majipu yanaendelea
Ametoa order... Delete them
 
sasa kama alikuwa na ushahidi mbona ameshindwa kuwachukuliwa hatua wahusika?hakuna chochote ni usanii tuu unaendelea
Hivi wewe unachopinga hapa ni kipi sasa...

Huoni kama unajiabisha..

Kujifanya unapinga wakati roho yako inajua inachopina sio
 
Back
Top Bottom