Hahaha, kumbe Waziri wetu wa fwedha kasoma Almeda University - USA.... Masalaleeee... Aibu tupu. Inakuaje sisi wadanganyika tukubali kutambua qualifications za watu wanaosomea uko US wakati serikali ya US imetoa tamko la wazi kwamba hawakitambui hiki chuo? Ama kweli sisi wadanganyika wote ni mambumbumbu.
Mimi naomba niwaulize wana jamboforums... Hivi hawa ndugu zetu wa usalama wa taifa huwa hafafanyi background checks kabla mtu hajapewa madaraka makubwa kama haya? Ni aibu sana kuona kwamba mtu anapewa madaraka ya uwaziri wa pesa wakati ana degrees za uongo.. Je mtamwaminije mtu kumpa madaraka yote hayo wakati yeye vyeti vyake ni bomu? This automatically Disqualifies him for his current post. Hayohayo yalijitokeza kwa waziri wqetu wa zamani wa Sheria. Hivi hadi waziri wa Sheria naye haoni aibu kubandika qualifications feki? Hivi haoni aibu kuitwa "DR" wakati yeye anafahamu kwamba she doesn't deserve to be called a Dr?
Hii Almeda University (according to Wikipedia - http://en.wikipedia.org/wiki/Almeda_University) ni unaccredited American University founded in 1997.
In Connecticut: According to the Connecticut Department of Higher Education, Almeda was ordered to cease operating in Connecticut in October, 2001. After an investigation in 2002 indicated that Almeda was continuing to advertise its programs in Connecticut, the Department of Higher Education sent Almeda a second cease and desist letter and referred the issue to the Connecticut Attorney General for possible legal action.
In Florida: In 2003 the Florida Department of Education made an agreement with Almeda to cease operating in the state. Although Floridians can still get a degree from the online university, Almeda warns Floridians that its degrees may not be valid for public employment in Florida.
In Texas: Almeda is also on the Texas list of "Fraudulent or Substandard Institutions", making it illegal to use an Almeda degree in Texas in an advertisement; to get a job, promotion, raise, license, or to get admitted to an educational program or to gain many positions in government.
Other states: Almeda's website also warns Almeda degrees may not be valid for public employment in Illinois, Oregon, New Jersey, North Dakota, Washington and Idaho.
Hivyo basi, mimi nafikiri waziri wetu wa fedha alitoa tamko la namna ile sio kwamba kafanya makusudi kuwadanganya wadanganyika ila ni kwa sababu haelewi what he was talking about. Mimi sio mchumi, ila mtu aliyeenda Almeda University kujifunza MBA hawezi kunidanganya kirahisi kwa kutumia materials za Almeda.
Duh!!!!

BOT: EXCHANGE RATES:
Effective on 17 Mar 2008 TSh
Currency
Australian $ 1095.81
Swedish Kronor 198.19
UAE Dirham 322.44
[Kenya S 17.00 ]
Uganda Shs 0.71
S. Africa Rand 144.00
USD 1183.77
Pound STG 2383.81
EURO 1876.21
Switz. Franc 1213.31
Hizi ni rates kutoka BOT kwenyewe. Ebu angalia Euro inavyokaribia shilingi 2000, mwezi January ilikuwa takribani shs.1600 tu. Paund ya mwingereza ndio usiseme!
Au chunguza what is happening to kenyan money against our shilling
..sasa tuseme Waziri Mkullo hafahamu kinachoendelea?
..au labda anajua kinachoendelea, lakini kaamua kuwapiga-fix hao wabunge.
..reaction ya wabunge kuhusu hizi taarifa za Waziri Mkullo ni nini?
..WHY??!!
BOT: EXCHANGE RATES:
Effective on 17 Mar 2008 TSh
Currency
Australian $ 1095.81
Swedish Kronor 198.19
UAE Dirham 322.44
[Kenya S 17.00 ]
Uganda Shs 0.71
S. Africa Rand 144.00
USD 1183.77
Pound STG 2383.81
EURO 1876.21
Switz. Franc 1213.31
Hizi ni rates kutoka BOT kwenyewe. Ebu angalia Euro inavyokaribia shilingi 2000, mwezi January ilikuwa takribani shs.1600 tu. Paund ya mwingereza ndio usiseme!
Au chunguza what is happening to kenyan money against our shilling
Unaweza usiamini, lakini hakika nakwambia inawezekana kabisa Mkullo hajui kwamba kuimarika kwa shilingi dhidi ya dola ya Marekani kunatokana na matatizo ya kiuchumi yaliyotokea Marekani, na wala si kwa kuwa uchumi wa Tanzania unakua na shilingi kuimarika.
.
Hivi nchi imekowasa mawaziri wa fedha? Au ni JK ndiye anaweka marafiki wake ambao hawana uwezo.
Nafikiri huyu mheshimiwa hafai kuwa waziri wa fedha kama ambavyo mama aliyepita pia hakufaa.
Nafikiri JK ana matatizo makubwa sana kwenye uteuzi wa wasaidizi wake. Hayo ndio matatizo ya cronysm, nikune leo nami kesho nitakukuna.
I'm tired of this...real tired.. somebody please shoot me..!
Wandugu hizi ni mean exchange rates as per the BOT website for the dates shown:
Exchange Rates for 28/Mar/2008
USD 1240.25
Pound STG 2489.30
EURO 1958.41
Canadian $ 1219.99
Switz. Franc 1247.79
Japanese YEN 12.42
Kenya SHS 19.42
Uganda SHS 0.74
Exchange Rates for 29/Oct/2007
USD 1156.92
Pound STG 2378.57
EURO 1668.74
Canadian $ 1207.07
Switz. Franc 995.54
Japanese YEN 10.13
Kenya SHS 17.27
Uganda SHS 0.66
Huyu waziri wetu kilaza anasemaje?? Hivi hana statistics?? Haoni kwamba Tshs inaanguka tu tena kwa currencies zote including hiyo USD??? Hata pamoja na kuanguka kwa USD in the world market, we still dont have an economy to benefit from its downfall.
Mkulo acha uongo.....and next time before u speak, please look for the facts.