BADO MMOJA
JF-Expert Member
- Jul 19, 2012
- 2,195
- 1,351
Hapa nadhani Baregu kaamua kutua mzigo maana kwa alivyokuwa anamtetea zitto, Sasa ameuona rangi zote za huyu dogo.
NENDA ZITTO MAJIVUNO NA UBINAFSI VIMEKUPONZA.
Unaweza kuandika Kiswahili? Wengine hatuelewi kilughaMkuu King Kinya, kwanza karibu jf!.
Kwenye Escrow, Ndullu was out tena akaweke vizuri kabisa kimaandishi kabla!, sasa kosa lake ni lipi?!. JK unataka kumuingizia wapi?!. Kama ni ule urongo wa hisa za Simba, then hata ikiwa kweli, the age of majority kwa Tanzania ni 18 years, na operational age ni 21, hivyo JK has nothing to do na any over 21 years of his!.
Pasco
Maprofesa wa aina hii ni aibu kwa taifa, profesa mzima badala ya kudiscuss "ideas", unadiscuss "watu", nadhani ndiyo maana alikataliwa kuongezwa mkataba wa kufundisha chuo kikuu, kwa sababu inaonekana hana uwezo wa kuangalia vitu critically.Ukiachilia mbali mipasho yake kwa kijana mzalendo ZZK, sijaona substance yoyote kutoka kwa huyu "profesa"