Prof Baregu, Prof Mwami, Dr Mkenda katika Jenerali on Monday


omarilyas

omarilyas

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2007
Messages
2,127
Likes
6
Points
0
omarilyas

omarilyas

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2007
2,127 6 0
Ndugu zangu waliopo viwanja vya nyumbani ambao mlipata nafasi ya kuangalia kipindi cha Jenerali on Monday jana wakiongelea miaka minane baada ya kifo cha Mwalimu tusaidieni kutupa mambo maana wengine ndio hivyo tena.....

Tanzanianjema
 
Halisi

Halisi

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2007
Messages
2,812
Likes
98
Points
145
Halisi

Halisi

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2007
2,812 98 145
Tanzania Njema,

Kipindi kinarudiwa saa hizi in next 30 mins Channel ten. Kaka upoooo? Kilikua kipindi kizuri sana, Maswali kutoka kwa wasilikilizaji yalikua makali sana, sijui kama watakua wameyakata ama la
 
Ibambasi

Ibambasi

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2007
Messages
7,322
Likes
2,824
Points
280
Ibambasi

Ibambasi

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2007
7,322 2,824 280
kipindi kilikuwa kizuri sana, na kwa kweli jamaa walitupa vipande vya nondo si mchezo,ukitafakari kwa kina utaona kuwa Muungwana na timu yake yote wako parallel na Mwalimu' philosophy...alinikosha sana Dr. Mwambi pale aliporejea hotuba ya Mwalimu kule Mbeya mwaka 1995 kuwa alimuuliza Lowassa kuwa iweje kijana kama yeye (wakati ule) awe amejilimbikizia ma li halafu tena autake urais,au kuwa Ikulu kuna nini mpaka watu wapakimbilie,je ni kufanya biashara?Ni bahati mbaya sana kuwa mwalimu (RIP) did not live to see mpendwa wake (kibaka Mkapa) alivyoigeuza Ikulu kibanda chake cha biashara na kuwa aliowakataa kipindi kile (Kikwete na Lowassa)ndo wapangaji wa sasa pale Magogoni wakiwa na wadau wenzao kina Karamagi,Rostam Aziz et al (wote wafanyi biashara!!!)...Mungu Ibariki Tanzania...
 
B

BroJay4

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2007
Messages
236
Likes
5
Points
0
B

BroJay4

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2007
236 5 0
Ikulu kuna mchezo mchafu,dirty and nasty business is existing there.
 
R

Rwabugiri

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2007
Messages
2,776
Likes
16
Points
135
R

Rwabugiri

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2007
2,776 16 135
Ikulu kuna mchezo mchafu,dirty and nasty business is existing there.
Ni kweli Bro..
Kibaya zaidi ni kwamba hiyo biashara ya ikulu ni ya kuuza rslimali zetu na tuki zubaa hadi nchi yote itachukuliwa.. hebu angalia ya Sinclair?? kwamba ana own 'green stone belt yote ya Lake zone??? kama si kuuza nchi ni nini?

Mara hao wanaotaka wapewe hekari 800?? eti walime miwa?? mi nawambieni tunauzwa tukijiona.. na hiyo ndo biashara iliyopo ikulu period!
 

Forum statistics

Threads 1,235,907
Members 474,863
Posts 29,240,042