Prof. Baregu aivuruga CHADEMA

Prof. Baregu aivuruga CHADEMA

Poor Mtanzania.
Wimbo wao wa Ugaidi umechuja.Pia ule wa Dr Slaa kumuua Zitto nao umechuja.Sasa wameibuka na Baregu.

Hili gazeti ni sawa na Toilet Paper
Molemo ndugu
Kwako wewe Habari za Kisiasa za Tanzania ni zipi kama hiyo sio mojawapo?
Tena unaona kabisa jinsi mwandishi alivyoibalance vizuri story yake,
ukiachilia ile sehemu ambayo anatoa komenti yake(tofauti na kwenye habari,akiwa kama anachangia jf..Ng'wamapalala ndiye mwandishi wa hii habari ama ameileta tu humu?)----

Hebu angalia...wamemuuliza Katibu Mkuu wa Chadema,
wamemuuliza Profesa Baregu,
Wakatoa vema na jinsi ambavyo watu wanadhani ni kitu gani kinachomsukuma Prof aone hakuna tatizo la kuendelea kwenye tume
Sasa kama hii habari nayo utaiona haifai....basi ninaanza kujihakikishia kwamba kuna habari za mrengo fulani tu ndio unazitaka...seriously!
 
Kama Bwana wako hana njaa mbona kakupa tenda ya kuweka mfumo wa kompyuta bila kufuata taratibu? mnajipopesha mapesa ya kujengea nyumba nje ya utaratibu hii sio tu njaa bali ni ufisadi ulio kubuhu.

Iweje chama kilipe mpaka posho wa house girl wenu mkienda kutembea Arusha?

Nakubaliana na wewe akili yake ukichanganya na ya kwako mnakwapua mahela ya ruzuku kama mchwa anavyo kula gogo.

Josephine wewe ndie janga la taifa umemuacha mume wako wa ndoa kufuata fedha kwa Padri unajidhalilisha

Eddie, please give the viewers and readers of this page a break

Unasema walijikopesha pesa bila kufata utaratibu? Ni utaratibu gani uliotaka waufuate ili wakope pesa? Tupatie utaratibu uliokiukwa and then that should be basis for anybody to objectively judge. Note the use of adverb "objectively" and perhaps for the benefit of other readers of different literature that adverb has been employed in contrast to "prejudicely and immotionally".

Na kwa Dr.Slaa kukopa ndani ya CDM what's wrong with that. Kumbuka Dr.Slaa hana vyanzo vingine vya mapato kuweza kuwa na kiasi kikubwa hivyo na usimlinganishe na katibu wa CCM ambaye ana vyanzo vingine na sasa kuna hili la meno ya tembo ingawa sisemi yeye ni jangiri lakini amekuwa mdau katika kufikisha mzigo ulipokuwa unahitajika. Waziri Nchimbi anasema clearing and forwarding

Pili posho kwa house girl mbona zinakuuma sana. House girls hana haki ya kulipwa posho? Maana kama unahoji posho kwa house girl basi kahoji na posho za maafisa wote wa DCM na vyama vyote wawapo nje ya ofisi. Eddie, one swallow does not make summer and that's an old English adage. Posho kwa house girl was paid for a purpose and the kid she was taking care was too infant na kwa maana hiyo ilikuwa house girl asafiri along parents of that minnor.Hili limeelezwa vizuri na umma ambao unaongozwa na reasonableness, humanity, humaness and wisdom wameelewa. Kinyume chake hawawezi kuelewa kwa sababu wanazo prejudiced minds. Kwa nyongeza labda kwa wasomaji wengine posho hii has never been a sabotage or crime na haijawahi kuwa ni audit finding by CAG. Inakuwaje Dr.Slaa na mama Josephine walaumiwe kwa uamuzi ulioongozwa na principles na ethics za kiasibu, kiutu na busara.

Lingine hili ambalo ni kuhusu ndoa. Umekuwa too extreme for nothing and caused personal attack. Huyo mume unayesema ameachwa ni mume tena. Maana umesema vizuri kuwa aliachwa na hivyo amekoma kitwa mume. Lakini hata hivyo hili halina maslahi kwa taifa na kwako wewe. Kama ndio hivyo hatuhiyaji kulijadili maana haliwezi kumaliza matatizo ya uchakachuaji wa kura, tembo wanaibwa, mistu inayovunwa reckelessly, polisi wanaoua bila hatia, wanafuzi walioko kwenye majengo yanayoitwa shule bila elimu, EPA, Richmond na Meremeta.
 
Rafiki,
Dr Slaa hana njaa.
Utajiri na hazina kubwa ya Elimu ni utajiri tosha anaojivunia.

kama ni pesa,Akili yake inauwezo wa kumuingizia mamilioni.
Watanzania yawapasa kufikia sehemu mruhusu ubongo ufanye kazi.watu kama wewe ni janga Taifa.

Hilo ndio likakufanya umkimbie yule kibarua wa bandarini kwa sababu unajua kwa babu kuna mshiko sio?, Dhuluma ilioifanya kwa mwanamke mwenzio pia ni kubwa na laana tosha, utaishia kuangaika hivyo hivyo na waume za watu,
najua haujui uchungu wa mume, umemuacha na wakati mgumu mwanamke mwaenzako.

Mkuu wangu hivi ndivyo walivyo watanzania,lakini nawashukuru Mods wameanza kutoa adhabu mapema kabisa kwa watu.safi sana Mods lakini kuna mmoja mmemuacha hamjampa Ban wakati ametoa maneno kama ya yule Mliyem-Ban.
 
Wapo Wapumbavu watakaoshambulia Gazeti badala ya kujadili hoja. Chadema wabadilike waruhusu watu wenye mawazo mbadala ndio maana ya Demokarsia

Mkuu, umeona wapi katiba ya CHADEMA ikizuia mwanachama kutoa maoni yake ?
 
Rafiki,
Dr Slaa hana njaa.
Utajiri na hazina kubwa ya Elimu ni utajiri tosha anaojivunia.

kama ni pesa,Akili yake inauwezo wa kumuingizia mamilioni.
Watanzania yawapasa kufikia sehemu mruhusu ubongo ufanye kazi.watu kama wewe ni janga Taifa.

Nimekustukia wewe na hasa huyo MTOTO KWENYE avatar yako.ok yote ni mema tu.
 
Hii ni moja ya sifa ya Profesa...huwa sio mtu wa kupelekeshwa bali ni mtu anayeamini katika kile anachokiona....au kile ambacho kulingana na tafiti au factors nyingine ameshapima na kuona advantages outweigh disadvantages!
 
Sorry mkuu, hivi Jumanne Magembe naye ni Professor ?
 
Nchi kwanza...........Chama baadae.
Tatizo la Babu Slaa na DJ Mbowe wanataka wanachokisema wao basi iwe ndio tu na wamesahau kuwa KATIBA NI YA NCHI wala si ya Vyama vya Siasa!
kama katiba ingekuwa ya nchi, ccm ingejaza wanachama wake wote kwenye mabaraza ya katiba ya wilaya? Ccm wamebaka mchakato mzima wa katiba, kana kwamba katiba ni ya ccm pekee!
 
Siku zote mkifanya Chama kama mali ya watu fulani fulani ndio madhara yake haya!
Hivi kuna wasomi wangapi nchi hii ambao hawakupata fursa ya kutoa utaalam wao katika CCM wanataka kutoa mchango wao kwa taifa kupitia katika vyama vingine, lakini wakiangalia mfumo wa hivyo vyama vingine unawanyima fursa ya kuwa huru.

Kama hili swala linavyokomaliwa na Dr. bingwa wa magonjwa ya kinamama
Profesa Baregu anaweza kuwa chachu ya wasomi wengi kuingia katika vyama hvi pinzani, endapo tu ataachwa kuwa huru na kushirikiana na wajumbe wengine katika kutuletea katiba mpya.

Profesa Baregu komaa hapa ndio taifa litakapoweka history yako miaka 50 mbele, hii sio tume kama ya Waziri mkuu Pinda kumchagua Mbatia kisha kukataa uteuzi, na watu kumjaza misifa humu JF kumbe angaingia mle angejua mambo mengi ambayo yangemsaidia mbeleni.

hakuna chochote mkuu, ni mlungula wa kikwete kwa wajumbe wa katiba, mabilioni. Chezea ccm wewe!
 
Nchi kwanza...........Chama baadae.
Tatizo la Babu Slaa na DJ Mbowe wanataka wanachokisema wao basi iwe ndio tu na wamesahau kuwa KATIBA NI YA NCHI wala si ya Vyama vya Siasa!

Umesoma hotuba ya lissu au unabwabwaja tu hapa. Think.
 
*Msimamo wake Katiba Mpya wakitikisa CHADEMA na Watanzania.
*Dk. Slaa asema atahukumiwa Kamati Kuu

MSIMAMO wa mwakilishi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Profesa Mwesigwa Baregu.

Ng'wamapalala said:
Mkuu, Bagenda siyo mjumbe wa kamati. Labda sijakuelewa una maana gani unaposema ni mwakilishi wa CHADEMA.

Hii hapo juu ni posti yako uliponijibu kule ule mjadala ukijidai hujui ama kufahamu nafasi ya Bagenda kwenye hiyo tume.Kama kuna huwezi,ni heri unyamaze,na kama huna knowledge kuhusu hiyo,pia ni bora usome tu maoni ya wengine.

Sasa rudi kwenye ile thread kule uniambie kama umeelewa kuwa Bagenda ni mwakilishi wa chadema au bado.

Vichwa vingine bana!Ndo maana kuna wanaodai mnalipwa mkiposti.Maana saa nyingine huwa mnabandika tu.
 
Si mzalendo, hana maana ya kujali utaifa...hataki kuacha posho ya Tshs 16 millioni. Acha atumiwe na magamba then tunamtafakari...hatuna mzaha, sisi tunaelekea kwenye ukombozi yeye ang'ang'anie hizo posho zake ambazo hazina tija kwa taifa na vizazi vyetu baadae
 
Njaa mbaya sana, hana uzalendo, watu wanaona kila kitu katika mchakato huu wa katiba mpya CCM wanaushikilia kwa nguvu alafu yeye anajidai kutaka kuwafurahisha magamba. Aende huko.
 
MLENGWA WA MLIPUKO ALIKUWA BALOZI WA VATICAN?

(Naona mods wana watu wao wenye haki ya kuanzisha threads, sisi wengine haturuhusiwi)

Ndugu WanaJamvi;

Kwa muda sasa kumekuwa na hoja mbali mbali juu ya uhalali wa uwepo wa Ubalozi wa Vatican hapa Tanzania. Katika hili kuna, kuna pande kuu mbili zinazokinzana - wanaopinga na wanaounga mkono kama ifuatavyo:-

(1) Wanaopinga: wanajenga hoja kwamba kwa kuwa Vatican ni nchi ya kidini (Kikatoliki) na kwa kuwa, kwa mujibu wa Katiba, Tanzania haina dini hivyo sio sahihi kwa "nchi" hiyo kuwa na ubalozi wake hapa nchini. Wengine wanaenda mbali zaidi kiasi kwamba hawataki kukubali Vatican ni nchi. Hata hivyo "wanalegeza" masharti kwamba kama Vatican ina ubalozi wake hapa basi ni halali kwa Tanzania kama nchi kuwa mwanachama wa taasisi za kidini kama OIC. La kushangaza hapa ni kwamba kwao uhalali wa Ubalozi wa Vatican utakuwepo endapo Tanzania itakuwa mwanachama wa hizo taasisi za kidini vinginevyo sio halali.

(2) Wanaounga mkono:hawa wanajenga hoja kwamba; kwanza Vatican ni nchi huru, yenye mamlaka kamili, na inayojitegemea kwa mujibu wa tafsiri sahihi ya neno "nchi" lilivyo na linavyotambulika kimataifa. Na wanaenda mbali zaidi kwamba sio tu kwamba Vatican ni nchi bali inatambulika hivyo rasmi na UN. Hivyo, kwa hoja hii, ni sahihi kabisa Vatican na Tanzania kuwa na mabalozi wanowakilisha nchi zao.

MLIPUKO WA LEO:

Kati ya viongozi wakuu wa Kanisa waliokuwepo kwenye shughuli ya leo kule Olasiti, Arusha, ni Balozi wa Vatican nchini Tanzania ambaye pia ana hadhi ya Askofu Mkuu. Hivyo zimeanza kuzagaa habari pengine kutokana na ukinzani wa baadhi ya makundi kutotaka Vatican kuwa na ubalozi wake hapa nchini, kuna uwezekano pia mlengwa mkuu alikuwa Balozi husika. Mimi sijui, ila kama GT tudadavue na hili.

LAWAMA:

Lawama pia zimeanza kuelekezwa kwa serikali kwa kutochukua hatua madhubuti na kwa wakati pindi zinapotokea chochoko kama hizi katika jamii. Kwa mfano, hili la upotoshoji wa uhalali wa Ubalozi wa Vatican hapa nchini propaganda zake zimeenezwa kwa muda mrefu sana kwa njia mbalimbali kama mihadhara, ibada, na hata kwenye media mbalimbali. Badala ya serikali kutolea ufafanuzi wa uhalali wa huo ubalozi, imekuwa kimya bila kujali athari za baadaye za propaganda hizi chafu pengine kwa falsafa ya "ni upepo tu utapita". Je, ni kweli serikali inastahili lawama katika hili?

HITIMISHO:

Je, kama serikali ikitekeleza madai YOTE ya haya makundi, kuna uwezekano wa chokochoko hizi kukoma na hivyo nchi yetu kuwa ya amani na utulivu kama ilivyoachwa na waasisi wetu? Lakini je, walengwa wa haya matukio ni wakatoliki peke yao? Au ni pamoja na makundi mengine? Haya matukio yana uhusiano wowote na siasa za nchi yetu? Mimi sijui, nalileta kwenu wakuu.
 
Du! Na bajeti ya katiba na sheria ilivyoomba mahela kwa ajili ya hiyo katiba mpya ndo atang'ang'ania huko hadi azipate.
 
Hii hapo juu ni posti yako uliponijibu kule ule mjadala ukijidai hujui ama kufahamu nafasi ya Bagenda kwenye hiyo tume.Kama kuna huwezi,ni heri unyamaze,na kama huna knowledge kuhusu hiyo,pia ni bora usome tu maoni ya wengine.

Sasa rudi kwenye ile thread kule uniambie kama umeelewa kuwa Bagenda ni mwakilishi wa chadema au bado.

Vichwa vingine bana!Ndo maana kuna wanaodai mnalipwa mkiposti.Maana saa nyingine huwa mnabandika tu.

Usinihukumu kwa jambo ambalo wewe ndiyo mkosaji. Bagenda hata kwenye majina ambayo yalipendekezwa na CHADEMA kwa Rais, jina lake halikuwepo. Kwani kwako Prof. Baregu amekuwa tena Bagenda?. Prof. Baregu na bagenda ni watu wawili tofauti.

Kwa kukusaidia zaidi. Maisha yangu yote yako Europe, Sijawahi kufanya kazi CCM na sitarajii kuishi Tanzania katika maisha yangu zaidi ya kwenda kwa mapumziko achilia mbali kufanya kazi CCM. Siasa kwangu siyo kazi bali ni hobby.
 
MLENGWA WA MLIPUKO ALIKUWA BALOZI WA VATICAN?

(Naona mods wana watu wao wenye haki ya kuanzisha threads, sisi wengine haturuhusiwi)

Ndugu WanaJamvi;

Kwa muda sasa kumekuwa na hoja mbali mbali juu ya uhalali wa uwepo wa Ubalozi wa Vatican hapa Tanzania. Katika hili kuna, kuna pande kuu mbili zinazokinzana - wanaopinga na wanaounga mkono kama ifuatavyo:-

(1) Wanaopinga: wanajenga hoja kwamba kwa kuwa Vatican ni nchi ya kidini (Kikatoliki) na kwa kuwa, kwa mujibu wa Katiba, Tanzania haina dini hivyo sio sahihi kwa "nchi" hiyo kuwa na ubalozi wake hapa nchini. Wengine wanaenda mbali zaidi kiasi kwamba hawataki kukubali Vatican ni nchi. Hata hivyo "wanalegeza" masharti kwamba kama Vatican ina ubalozi wake hapa basi ni halali kwa Tanzania kama nchi kuwa mwanachama wa taasisi za kidini kama OIC. La kushangaza hapa ni kwamba kwao uhalali wa Ubalozi wa Vatican utakuwepo endapo Tanzania itakuwa mwanachama wa hizo taasisi za kidini vinginevyo sio halali.

(2) Wanaounga mkono:hawa wanajenga hoja kwamba; kwanza Vatican ni nchi huru, yenye mamlaka kamili, na inayojitegemea kwa mujibu wa tafsiri sahihi ya neno "nchi" lilivyo na linavyotambulika kimataifa. Na wanaenda mbali zaidi kwamba sio tu kwamba Vatican ni nchi bali inatambulika hivyo rasmi na UN. Hivyo, kwa hoja hii, ni sahihi kabisa Vatican na Tanzania kuwa na mabalozi wanowakilisha nchi zao.

MLIPUKO WA LEO:

Kati ya viongozi wakuu wa Kanisa waliokuwepo kwenye shughuli ya leo kule Olasiti, Arusha, ni Balozi wa Vatican nchini Tanzania ambaye pia ana hadhi ya Askofu Mkuu. Hivyo zimeanza kuzagaa habari pengine kutokana na ukinzani wa baadhi ya makundi kutotaka Vatican kuwa na ubalozi wake hapa nchini, kuna uwezekano pia mlengwa mkuu alikuwa Balozi husika. Mimi sijui, ila kama GT tudadavue na hili.

LAWAMA:

Lawama pia zimeanza kuelekezwa kwa serikali kwa kutochukua hatua madhubuti na kwa wakati pindi zinapotokea chochoko kama hizi katika jamii. Kwa mfano, hili la upotoshoji wa uhalali wa Ubalozi wa Vatican hapa nchini propaganda zake zimeenezwa kwa muda mrefu sana kwa njia mbalimbali kama mihadhara, ibada, na hata kwenye media mbalimbali. Badala ya serikali kutolea ufafanuzi wa uhalali wa huo ubalozi, imekuwa kimya bila kujali athari za baadaye za propaganda hizi chafu pengine kwa falsafa ya "ni upepo tu utapita". Je, ni kweli serikali inastahili lawama katika hili?

HITIMISHO:

Je, kama serikali ikitekeleza madai YOTE ya haya makundi, kuna uwezekano wa chokochoko hizi kukoma na hivyo nchi yetu kuwa ya amani na utulivu kama ilivyoachwa na waasisi wetu? Lakini je, walengwa wa haya matukio ni wakatoliki peke yao? Au ni pamoja na makundi mengine? Haya matukio yana uhusiano wowote na siasa za nchi yetu? Mimi sijui, nalileta kwenu wakuu.

Mkuu hoja yako ni nzuri sana mkuu,

Lakini ili isifutwe ipeleke jukwaa la dini au iweke kwenye mjadala unaoendelea hapa uitwao

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/383235-uchochezi-wa-mohamedi-said-na-dhihaka-kwa-wapigania-uhuru-wa-tanganyika-na-zanzibar.html

Itajadiliwa kwamapana sana!
 
Back
Top Bottom