Kwani aliteuliwa na nani? Inawezekana yeye haoni kama kuna tatizo. Kama ni chama chakd basi ameamua kupenda fedha kuliko matakwa ya chama. Kwa maana hiyo, asisikitike kwa chama kuchukua maamuzi magumu. Hivi ni kwa nini hakupata extension pale UDSM?Njaa mbaya sana, hana uzalendo, watu wanaona kila kitu katika mchakato huu wa katiba mpya CCM wanaushikilia kwa nguvu alafu yeye anajidai kutaka kuwafurahisha magamba. Aende huko.
Ng'wamapalala,Unapomkabidhi mtu NYUNDO usitegemee ataenda kuliweka bila kulifanyia kazi au hawezi kulitumia kukupigia kichwani pale unapomkosea.
A LITTLE CHADEMA boy has turned out to be a MONSTER.
CHADEMA kwa sasa kinaweweseka na jinsi ya kumkabili asije akaivuluga nyumba yao.
IS THIS A MISSION IMPOSSIBLE?.
Yetu ni macho na masikio.
Fisadi Rostam ameacha kupeleka mafungu ya bwerere new habari sasa ili wauze hiyo toilet paper yao inabidi waiandike Chadema.
Zaidi ya Chadema hakuna chama cha siasa kinachouza magazeti kwa sasa hapa nchini.
Bahati nzuri wananchi hawana muda wa kuzitilia manani hizi ''shits'' za mtanzania na nduguze akina jambaleo, habarileo, uhuru na mzalendo.
ushauri wangu kwa chadema muacheni baregu aendelee kama mtanzania mwingine yeyote yule wa kawaida isipokuwa musitambue uwepo wake kama anawakilisha chadema ilo ndio pekee yake mliondoe. binafsi ningelipenda kumpa prof.baregu benefit of doubt kuwa labda labda labda kuna kitu anakiona lakini sisi pengine hatukioni ni mtu msomi na anao uchungu wa ninaamini kuwa anao uchungu wa kweli kwani ccm imeshamsumbua sana miaka ya nyuma na nina mashaka kuwa anaweza kukubali kuuza utu wake kwa ajili ya pesa. muondoleeni lile cover la chadema mwacheni ashiriki kama mtaalamu.
la msingi ni kwa chadema kumuacha ashiriki kama mtaalamu mwingine yeyote ambaye angechaguliwa na wamtakie kila la heri na bado ataendelea kuwa mwanachama wao ila maamuzi atakayoyafanyia huko ni yake binafsi na cdm haiusiki.
Mkuu, HT , unapoanza kunishambulia mimi kwa kunitaka niwe objective and impartial au nitangaze maslahi wakati hata wewe hujafanya kitu kama hicho unakuwa pia ni kama UNAFIKI. AVANTAR yako inagusa maneno ya Mungu, na kama ndivyo hivyo, kumbuka kitabu cha Luke 6:42 kinasema, Remove the beam from your own eye, and then you can see clearly to remove the speck from my eye.Ng'wamapalala,
Moja ya vitu navipenda kwa watu kama Ritz and the co huwa wako straight and honest kuwa wao ni CCM. So is Molemo au Mungi.
Unachonikera wewe ni kujifanya independent observer at the same time very partial and biased to CCM...!
Acha unafiki, uwe aidha objective and impartial au tangaza tu maslahi.
Mi nashauri Aondolewe Baregu na nafasi hiyo Apewe Slaa maana naona ile milion 7.5 aliyoiweka kama sharti la kugombea urais haimtoshi mpika majungu huyu.
Wamezoea kufanya maamuzi chumbani kwa mtei sasa wamekumbana na kisiki.
Hongera Prof.
Mkuu, HT , unapoanza kunishambulia mimi kwa kunitaka niwe objective and impartial au nitangaze maslahi wakati hata wewe hujafanya kitu kama hicho unakuwa pia ni kama UNAFIKI. AVANTAR yako inagusa maneno ya Mungu, na kama ndivyo hivyo, kumbuka kitabu cha Luke 6:42 kinasema, Remove the beam from your own eye, and then you can see clearly to remove the speck from my eye.
Kwa kuongezea zaidi, Jibu langu pia liko kwenye signature yako, inayosema, The truth is the truth wether you agree or disagree.....kwa maana kuwa, kwako mabandiko yangu yanaweza kuonekana siyo objective or impartial lakini kwa mwingine yakawa tofauti.
Tukubali kutokubaliana.
Mwita Maranya hii point yako ya neutrality is a symbol of weakness hata haina mashiko kwa siasa za Tanzania come 2015. Kwani hufahamu kama Tanzania ya 2015 itakuwa na Neutrality candidate ambao kwa lugha nyingine wataitwa Independent candidate. Sijui toka lini Independent candidate wakawa weakness.Ng'wamapalala wakati unapokumbuka kukisoma na kukitaja kitabu cha Luka basi na mimi napenda kukukumbusha ukasome na kitabu cha ufunuo ambapo neno la Mungu linatuambia kwamba ni heri kuwa moto ama baridi kuliko kuwa vuguvugu kwakuwa bwana Mungu wako atakutapika utoke katika kinywa chake.
Kwahiyo naunga mkono comment ya HT kwamba ni jambo la heri ukatangaza upande unaousimamia kwa uwazi kabisa kwakuwa hiyo ni haki yako ya kikatiba kuliko kuendelea kujificha katika mwamvuli wa neutrality (impartiality). Kumbuka kwamba neutrality is a symbol of weakness!!! na mimi sitaki kuamini kwamba uko so weak...
Ng'wamapalala,Mkuu, HT , unapoanza kunishambulia mimi kwa kunitaka niwe objective and impartial au nitangaze maslahi wakati hata wewe hujafanya kitu kama hicho unakuwa pia ni kama UNAFIKI. AVANTAR yako inagusa maneno ya Mungu, na kama ndivyo hivyo, kumbuka kitabu cha Luke 6:42 kinasema, Remove the beam from your own eye, and then you can see clearly to remove the speck from my eye.
Kwa kuongezea zaidi, Jibu langu pia liko kwenye signature yako, inayosema, The truth is the truth wether you agree or disagree.....kwa maana kuwa, kwako mabandiko yangu yanaweza kuonekana siyo objective or impartial lakini kwa mwingine yakawa tofauti.
Tukubali kutokubaliana.
...Hivi kwa akili yako unafikiri kama Dr Slaa angetaka dili la pesa na CCM ili awapotezee CDM na waTanzania -magamba watashindwa kumpa sh ngapi? au unadhani Dr hajawahi kushawishiwa kuitema CDM kwa ahadi ya pesa na vyeo?Tatizo la viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani ni njaa, hilo halina ubishi kwani hizi kelele nyingi za Dr. Slaa ni kuwaonea donge wenzake, Yeye vipesa vyake vingi lakini vinahesabika
Hata yeye akipata nafasi hamtamsikia kamwe, Wapi maalim Seif, kashakuwa Makamu wa kwanza wa rais kushney! CUF imejifilia mbali.