rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 17,235
- 24,008
Ni kweli mchakato wa katiba mpya umevurugwa kwa makusudi lakini pamoja na uvurugaji huo bado kuwepo kwa watu makini ndani ndani ya tume kunaweza kusaidia kuondoa huo uchafu
Lakini waliobariki uvurugaji huo ni pamoja na wabunge wa chadema ambao mwanzo walisusia na baadae wakaenda kufanya mazungumzo na rais kisha kupitisha nmapendekezo ya serikali pamoja na serikali kutotekeleza kama walivyokubaliana
Wengi hawakumuelewa jaji Wrioba aliposema hawawezi kubadilisha taratibu za uchaguzi wa kata kwa sababu zimepitishwa na bunge
Toka mwanzo ccm hawakuwa na nia ya kutengeneza katiba mpya baada ya kuona shikinizo ni kubwa walikubali huku wamejiandaa kuivuruga
Bado tunajiuliza kwanini wabunge wa jamhuri na wawakilishi wawe wajumbe wa bunge la katiba tutakapofika huko malalamiko yatakuwa hayo hayo