Prof. Baregu aivuruga CHADEMA

Prof. Baregu aivuruga CHADEMA

True colours za Baregu. Anasahau kwamba aliteuliwa kuwakilisha taasisi ya 'CDM'
 
Tatizo la viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani ni njaa, hilo halina ubishi kwani hizi kelele nyingi za Dr. Slaa ni kuwaonea donge wenzake, Yeye vipesa vyake vingi lakini vinahesabika

Hata yeye akipata nafasi hamtamsikia kamwe, Wapi maalim Seif, kashakuwa Makamu wa kwanza wa rais kushney! CUF imejifilia mbali.

Kweli njaa mbaya sana; wapiga kelele wote wamenyamaza baada ya kuchaguliwa kwenye tume ya katiba ambako ulaji wake sio haba. Siku hizi huwezi kuwasikia tena wale wa Mwalimu Nyerere foundation [ Butiku etc] wakiipigia kelel serikali ya baba MwanaAsha!!
 
Tatizo la viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani ni njaa, hilo halina ubishi kwani hizi kelele nyingi za Dr. Slaa ni kuwaonea donge wenzake, Yeye vipesa vyake vingi lakini vinahesabika

Hata yeye akipata nafasi hamtamsikia kamwe, Wapi maalim Seif, kashakuwa Makamu wa kwanza wa rais kushney! CUF imejifilia mbali.

Rafiki,
Dr Slaa hana njaa.
Utajiri na hazina kubwa ya Elimu ni utajiri tosha anaojivunia.

kama ni pesa,Akili yake inauwezo wa kumuingizia mamilioni.
Watanzania yawapasa kufikia sehemu mruhusu ubongo ufanye kazi.watu kama wewe ni janga Taifa.
 
Mama achana na hawa watu waliofilisika! Taifa liyumba kwa kukosa uongozi dhabiti wao wamehamishia nguvu zao zote kwa Dr Slaa!
 
Fisadi Rostam ameacha kupeleka mafungu ya bwerere new habari sasa ili wauze hiyo toilet paper yao inabidi waiandike Chadema.

Zaidi ya Chadema hakuna chama cha siasa kinachouza magazeti kwa sasa hapa nchini.

Bahati nzuri wananchi hawana muda wa kuzitilia manani hizi ''shits'' za mtanzania na nduguze akina jambaleo, habarileo, uhuru na mzalendo.

KAKA UMENENA UKWELI MTUPU. HATA WAKIANDIKAJE HAWAWEZI KUTUGEUZA TKAAMINI CCM NI CHAMA CHA WATU WEMA, KWAN MDA WOTE VIONGOZ WA CCM WANAVOIPONDA CHADEMA MWADHANI ITATUTOA UKO CDM? LA HASHA, LABDA MUIBE KURA KWAN TANZANIANs LL NEVER VOTE 4U,

MBAYA ZAID FISAD LOWASA TNAMUONA PALE, JANGILI KINANA YULE PALE, ZOMBE JAMBAZ YUPO, JAIRO NDO ANALINDWA SANA NK, WAWINDAJI HARAMU WOTE MAKADA PIA WATOTO WA MIZEE YA MICCM TNAFAHAMU, NA HATA BAREGU UMAARUF KAUTOA CHADEMA NA C YEYE NDO KAIPA CDM UMAARUFU.

IVI TJIULIZE MIGIRO aka MIUGORO ANACHAKACHUA MWENENDO WA KUYAPATA MABALAZA KWA FAIDA YA WATANZANIA AU CCM?
 
Profesa Baregu akiendelea na msimamo wake huo awe fired tu.Hapa suala sio kiwango cha elimu,umaarufu au chochote kile.Mtu yeyote anayebetray chama chetu chenye dhamira ya dhati ya kuwatetea Watanzania anawasaliti Watanzania pia awe fired tu.Inashangaza sana hadi Maprofesa wetu kupumbazwa kwa posho nono.Hili halikubaliki hata kidogo.Hakuna uzalendo haapo bali ni kuchanganywa na marupurupu tu.Kila mtu anajua jinsi Mchakato ulivyobakwa na MACCM

Masalu 'you are very right'

By the way, jana umeanzisha 'sred' ya mkutano wa CDM nzega, kisha ukaingia mitini ......; Good practice katika uanzishaji wa 'sred' inatakiwa uwe around kujibu comments au kutoa updates
 
Profesa Baregu akiendelea na msimamo wake huo awe fired tu.Hapa suala sio kiwango cha elimu,umaarufu au chochote kile.Mtu yeyote anayebetray chama chetu chenye dhamira ya dhati ya kuwatetea Watanzania anawasaliti Watanzania pia awe fired tu.Inashangaza sana hadi Maprofesa wetu kupumbazwa kwa posho nono.Hili halikubaliki hata kidogo.Hakuna uzalendo haapo bali ni kuchanganywa na marupurupu tu.Kila mtu anajua jinsi Mchakato ulivyobakwa na MACCM

Nakubaliana wewe lakini pia inawezekana Tume kama tume inamsimamo wake, ningeshauri CHADEMA wamsikilze kwanza kabla ya ku-fire.
 
Inashangaza umakini wa Prof uko wapi, yeye anatuhumu kuwa wengine anasemwa tunalipwa 500,000 kwa siku wengine wanasema tunalipwa mamilioni na kuongeza laiti wangejua...kwa hiyo kashindwa kuondoa uvumi huo kwa kututajia au ni siri? katika mazingira haya ambayo hata prof hataji tarakimu mwanachi anapata pich gani? Si useme jamani mimi nalipwa sh 24,000 kwa siku acheni umbea

Umbea mwingine tunauzalisha wenyewe
 
Rafiki,
Dr Slaa hana njaa.
Utajiri na hazina kubwa ya Elimu ni utajiri tosha anaojivunia.

kama ni pesa,Akili yake inauwezo wa kumuingizia mamilioni.
Watanzania yawapasa kufikia sehemu mruhusu ubongo ufanye kazi.watu kama wewe ni janga Taifa.

Mama yetu Josephine hawa wahuni wachumia tumbo wasikusumbue.Wewe mtunze vema Rais wetu ajaye Dr Slaa.Kazi ya kuwajibu tutaifanya sisi.
 
Last edited by a moderator:
Prof. Baregu tafuta hotuba ya Mh. G Lema aliyosema namnukuu 'ukiona CCM wameanza kukusifu inabidi ushtuke huenda kuna mahala umekuwa Boya' So mzee Baregu nakuamini sana naomba uendelee kutunza imani yangu kwako

Hahahaa! Yaani Profesa Baregu atumie Reference ya Godbless Lema! Tembea kwingi kuona kwingi!
 
nadhani ungebadilisha heading sio prof baregu aivuruga chadema ila ingeleta maana kama ingesomeka chadema wamvuruga prof baregu .

Huyu mzee prof baregu anatumia muda wake na akili zake alizojaliwa na mungu kusaidia kupata katiba mpya na sio hao chadema wanaotaka public sympathy ili waende ikulu !

Narudia tena mwaka 2015 chadema wakiingia ikulu mnichome moto nikiwa hai !

uhakika kuwa 2015 utakuwa hupo duniani ni mkubwa kwani akili yako inaonesha imesimama kufanyakazi.
 
Kumbe gazeti lenyewe ni MTANZANIA!!! Si mwenye nalo si yule wa RICHMONDULI, eti?
 
Mama yetu Josephine hawa wahuni wachumia tumbo wasikusumbue.Wewe mtunze vema Rais wetu ajaye Dr Slaa.Kazi ya kuwajibu tutaifanya sisi.

Well said Kamanda.

Tunahitaji awajibike kumtunza na kumpa mawazo mapya Rais mtarajiwa.
 
Hii nchi bana, tuseme Prof. akikubari kujitoa and katiba ikagomewa hela yetu sisi walalahoi iliyokwishatumia ndo imekula kwetu hivi hivi tu? hivi hao jamaa zetu wanaojinadi kwenye majukwaa siku zote kuwa wanauchungu na nchi hii, wanatumbia ukweli au ndio ule mwendelezo wa danganya toto? kwanini hii hela isitumike kukarabati Reli au Tanesco ambako wengi tutafaidika nako kuliko kuwafanyia biashara wanasiasa na katiba yao?...kwanza viongozi wangapi wanaifuata hiyo katiba yenyewe achilia mbali na ubovu wake? Chadema wanataka katiba ya kuwatengezea njia ya kwenda Ikulu na CCM wanapigania kubaki na ulaji......isee nyie wafuasi wa vyama na wanasiasa mnachangia kwa kiasi kikubwa kuharibu inji hiii...............hivi hatuwezi ishi bila vyama vya siasa?
 
Sasa profesa anamwakilisha nani.?
Au atakua mjumbe wa mahakama.

Inashangaza sana maana inaonekana amesahahu alifikaje hapo,
Anajifanya amekuwa mwakilishi wa Taifa.
Mara ohh mwakilishi wa Wansayansi ya Siasam
Anasahahu kuwa alikuwa nawakilisha CHADEMA na kwa vyovyote asipo fanya Hivyo basi ni Muhasi.
Kwavyovyote Mzee atakuwa amenyea Kambi, Sasa Atalala wapi? Kwenye Kinyesi au ndio tayari anajiandaa kuamia Kwa MACCM, Maana naamini kwa sasa ukimuambia mabaya ya MACCM hawezi kukuelewa wala kukuamini kutokana na Shavu analopata.
 
Nadhani ungebadilisha heading sio Prof Baregu aivuruga CHADEMA ila ingeleta maana kama ingesomeka CHADEMA WAMVURUGA PROF BAREGU .

Huyu Mzee Prof Baregu anatumia muda wake na akili zake alizojaliwa na MUNGU kusaidia kupata Katiba mpya na sio hao CHADEMA wanaotaka Public sympathy ili waende Ikulu !

Narudia tena Mwaka 2015 CHADEMA wakiingia Ikulu mnichome moto nikiwa hai !

Mkuu, ombi lako la kuchomwa moto ni gumu sana kutekelezeka kwa sababu za kibin-adamu.
Kwa nini usingesema utajichoma moto mwenyewe kwa dhamira yako?
 
Prof komaa nao tu wasikuzingue hao, mbona Mbowe alitangaza kurudisha shangingi la serikali ya kiongozi wa upinzani kalichukua tena kinyemela bila maelekezo ya chama?

Lengo la baya hao Prof wanataka kukuua na njaa komaa hapo hapo
 
Back
Top Bottom