Prof. Assad hii hadithi ya Mtume S.A.W unaijua?

PROF. ASSAD HII HADITH YA MTUME (SAW) UNAIJUA ?.

Na Bashir Yakub.

Mtu mmoja alimuuliza Mtume swallah llahu 'alayhi wasallah

“Ipi ni jihad(harakati) bora?” Mtume Akasema:

“Maneno ya haki mbele ya Mtawala muovu”

Kwa maneno mengi ya Assad ni wazi kwake kwamba Magufuli alikuwa mtawala muovu.

Assad haya maneno unayoita ya haki unayobwabwaja kila sehem mda huu uliwah kuyatoa mbele ya mtawala muovu.

Wakati akiwa hai na we si ulikuwa hai, ulishindwa nini kuyatamka mbele yake ili ukawa katika wale waumini wa kweli aliowasema Mtume katika hii Hadith ambao husema kweli.

Unakula nyama ya mfu kwa confidence, unajitutumua leo hayupo halafu unajifanya muumini.

Ina maana ulimuogopa kuliko unavyoogopa haya maneno ya Mtume Mtukufu . Iko wapi imani yako.

Unasubiri kufanya harakati juu ya mwili wa mfu.

Umeingia katika wanafiki wakubwa, watu waoga, na kada ya wasomi wasiojiamini.

Kama hukumwambia yeye hakuna haja ya kutwambia sisi. Unatwambia tumwajibishe nani sasa, kaburi lake ama familia yake.

Umbweha ni tabia ovu sana.
Sheikh mafunzo ya Uislamu ni uwanja mpana sana, Qur aan imefundisha pia namna ya kuwa na tahadhari juu ya mtawala muovu hasije akakudhuru.
Kuchukua tahadhari juu ya mtawala muovu haimaanishi uoga, unafiki ama kutojiamini.
Lakini kama umefuatilia utata ulio gubika kustahafishwa kwa Assad?
 
Alivyosimamishwa na kuulizwa mnona alikataa mbele ya magufuli?
Basi huyu ni mnafiki wa kiwango cha lami
Mbona aliandika ile 1.5 t imekwapuliwa haijulikani ilipo? labda kosa lake ni pale alipoulizwa mbele ya kamera na mkuu mwenyewe kama hiyo pesa imepotea kweli akakataa.
 
Kwani ile pesa ilipotea au matumizi yake hayakuidhinishwa na bunge?
 
Sheikh mafunzo ya Uislamu ni uwanja mpana sana, Qur aan imefundisha pia namna ya kuwa na tahadhari juu ya mtawala muovu hasije akakudhuru.
Kuchukua tahadhari juu ya mtawala muovu haimaanishi uoga, unafiki ama kutojiamini.
Lakini kama umefuatilia utata ulio gubika kustahafishwa kwa Assad?
Na hapo hapo kwenye uislamu unasema mitihani mnayoipata ni kutokana na mliyoyatanguliza kwa mikono yenu...

Acheni dhuluma,Wizi na mabaya mengine muone kama mtaletewa mtawala dhalimu...
 
Alivyosimamishwa na kuulizwa mnona alikataa mbele ya magufuli?
Basi huyu ni mnafiki wa kiwango cha lami
Suali lilikuwa framed vipi? kupotea au kuidhinishwa matumizi yake? Nani aliyesoma ile ripoti yake kuona hoja ilikuwa imeandikwa kivipi?
 
PROF. ASSAD HII HADITH YA MTUME (SAW) UNAIJUA ?.

Na Bashir Yakub.

Mtu mmoja alimuuliza Mtume swallah llahu 'alayhi wasallah

“Ipi ni jihad(harakati) bora?” Mtume Akasema:

“Maneno ya haki mbele ya Mtawala muovu”

Kwa maneno mengi ya Assad ni wazi kwake kwamba Magufuli alikuwa mtawala muovu.

Assad haya maneno unayoita ya haki unayobwabwaja kila sehem mda huu uliwah kuyatoa mbele ya mtawala muovu.

Wakati akiwa hai na we si ulikuwa hai, ulishindwa nini kuyatamka mbele yake ili ukawa katika wale waumini wa kweli aliowasema Mtume katika hii Hadith ambao husema kweli.

Unakula nyama ya mfu kwa confidence, unajitutumua leo hayupo halafu unajifanya muumini.

Ina maana ulimuogopa kuliko unavyoogopa haya maneno ya Mtume Mtukufu . Iko wapi imani yako.

Unasubiri kufanya harakati juu ya mwili wa mfu.

Umeingia katika wanafiki wakubwa, watu waoga, na kada ya wasomi wasiojiamini.

Kama hukumwambia yeye hakuna haja ya kutwambia sisi. Unatwambia tumwajibishe nani sasa, kaburi lake ama familia yake.

Umbweha ni tabia ovu sana.
Kwanza kabisa huu ni wakati tofauti na enzi za mtume, hivi sasa wanakuua bila hata kufikiria. Assad angesema kitu basi leo tusingekuwa nae au angekua mkimbizi huko alipo lema.
 
PROF. ASSAD HII HADITH YA MTUME (SAW) UNAIJUA ?.

Na Bashir Yakub.

Mtu mmoja alimuuliza Mtume swallah llahu 'alayhi wasallah

“Ipi ni jihad(harakati) bora?” Mtume Akasema:

“Maneno ya haki mbele ya Mtawala muovu”

Kwa maneno mengi ya Assad ni wazi kwake kwamba Magufuli alikuwa mtawala muovu.

Assad haya maneno unayoita ya haki unayobwabwaja kila sehem mda huu uliwah kuyatoa mbele ya mtawala muovu.

Wakati akiwa hai na we si ulikuwa hai, ulishindwa nini kuyatamka mbele yake ili ukawa katika wale waumini wa kweli aliowasema Mtume katika hii Hadith ambao husema kweli.

Unakula nyama ya mfu kwa confidence, unajitutumua leo hayupo halafu unajifanya muumini.

Ina maana ulimuogopa kuliko unavyoogopa haya maneno ya Mtume Mtukufu . Iko wapi imani yako.

Unasubiri kufanya harakati juu ya mwili wa mfu.

Umeingia katika wanafiki wakubwa, watu waoga, na kada ya wasomi wasiojiamini.

Kama hukumwambia yeye hakuna haja ya kutwambia sisi. Unatwambia tumwajibishe nani sasa, kaburi lake ama familia yake.

Umbweha ni tabia ovu sana.

..nakumbuka Prof.Assad alisema waziwazi kwamba uuzaji wa nyumba za serikali uliosimamiwa na Jpm ulikuwa ni UFISADI. Prof alitoa kauli hiyo wakati Magufuli yuko hai.
 
Wanafiki kamawewe nijanga kwa Taifa,Assad anaongea ili tusirudie makosa!! Ameongelea muenendo hajawa personal kama mfitini wewe unavyotaka kutumia vitabu vitakatifu kueneza na kutetea upuuzi na uvunjifu wa haki na taratibu. Tundu alipoongea kwa kukosoa kilichomkuta hukijui? Ulikuwa nchi gani? Ulitaka Assad yamkute kama Yale? Acha roho mbaya wewe kisa kutetea muungu wako uloaga!! MJINGA
 
Mbona aliandika ile 1.5 t imekwapuliwa haijulikani ilipo? labda kosa lake ni pale alipoulizwa mbele ya kamera na mkuu mwenyewe kama hiyo pesa imepotea kweli akakataa.
Sasa anawezaje kuwaita wengine waoga?
 
Wanaomdhihaki Assad wote mje niwapake mafuta ya unyolo 👌!!! Hamna kiande yeyote ambaye angeweza kusimama juu ya msimamo wa Magufuli na akabaki salama!

Kama kujifanya shujaa kunalipa kamuulizeni Lissu amefaidika kiasi gani kwa kutenguliwa nyonga sababu ya kupenda sifa za wana Bavicha?

Nyie wenyewe mkianzishaga kampeni za kutetea haki zenu kupitia maandamano mbona hamsogezagi puru zenu barabarani ili kuonesha msimamo wenu dhidi ya uonevu! Mnapangaga vizuri sana ikitolewa amri moja tu kutoka kwa Muroto mnaishilia kupiga kelele nyuma ya Keyboard halafu leo hii unamsema Assad vibaya!? Kmmmae zenu wote dissers!
 
PROF. ASSAD HII HADITH YA MTUME (SAW) UNAIJUA ?.

Na Bashir Yakub.

Mtu mmoja alimuuliza Mtume swallah llahu 'alayhi wasallah

“Ipi ni jihad(harakati) bora?” Mtume Akasema:

“Maneno ya haki mbele ya Mtawala muovu”

Kwa maneno mengi ya Assad ni wazi kwake kwamba Magufuli alikuwa mtawala muovu.

Assad haya maneno unayoita ya haki unayobwabwaja kila sehem mda huu uliwah kuyatoa mbele ya mtawala muovu.

Wakati akiwa hai na we si ulikuwa hai, ulishindwa nini kuyatamka mbele yake ili ukawa katika wale waumini wa kweli aliowasema Mtume katika hii Hadith ambao husema kweli.

Unakula nyama ya mfu kwa confidence, unajitutumua leo hayupo halafu unajifanya muumini.

Ina maana ulimuogopa kuliko unavyoogopa haya maneno ya Mtume Mtukufu . Iko wapi imani yako.

Unasubiri kufanya harakati juu ya mwili wa mfu.

Umeingia katika wanafiki wakubwa, watu waoga, na kada ya wasomi wasiojiamini.

Kama hukumwambia yeye hakuna haja ya kutwambia sisi. Unatwambia tumwajibishe nani sasa, kaburi lake ama familia yake.

Umbweha ni tabia ovu sana.
Umesahau alipotaka kuyatoa alikutwa kisarawe
 
Hivi wewe Una akili TIMAMU????
 
Jiulize kwanza kwanini alifukuzwa kazi bila kufuata taratibu.

Assad kaandika,kaomba kukagua mambo makubwa ambayo wewe huwezi hata kuwaza.
 
Mbona aliandika ile 1.5 t imekwapuliwa haijulikani ilipo? labda kosa lake ni pale alipoulizwa mbele ya kamera na mkuu mwenyewe kama hiyo pesa imepotea kweli akakataa.
Aliulizwa imeibiwa akijibu hamna kitu kama hilo ,na ndio ukweli yeye siyo polisi yeye mkaguzi tu kazi yake kusema hizi pesa hazionekani
 
..nakumbuka Prof.Assad alisema waziwazi kwamba uuzaji wa nyumba za serikali uliosimamiwa na Jpm ulikuwa ni UFISADI. Prof alitoa kauli hiyo wakati Magufuli yuko hai.

Hivi JPM ANANGUVU ZA KUUZA HIZO NYUMBA NJE YA MAKUBALIANO YA SERIKALI NZIMA?! Vitu vingine huitaji hata akili ya kwenda shule kugundua hilo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom