Prof. Assad hii hadithi ya Mtume S.A.W unaijua?

Bashir Yakub

Member
Joined
May 27, 2013
Posts
97
Reaction score
1,751
PROF. ASSAD HII HADITH YA MTUME (SAW) UNAIJUA ?.

Na Bashir Yakub.

Mtu mmoja alimuuliza Mtume swallah llahu 'alayhi wasallah

“Ipi ni jihad(harakati) bora?” Mtume Akasema:

“Maneno ya haki mbele ya Mtawala muovu”

Kwa maneno mengi ya Assad ni wazi kwake kwamba Magufuli alikuwa mtawala muovu.

Assad haya maneno unayoita ya haki unayobwabwaja kila sehem mda huu uliwah kuyatoa mbele ya mtawala muovu.

Wakati akiwa hai na we si ulikuwa hai, ulishindwa nini kuyatamka mbele yake ili ukawa katika wale waumini wa kweli aliowasema Mtume katika hii Hadith ambao husema kweli.

Unakula nyama ya mfu kwa confidence, unajitutumua leo hayupo halafu unajifanya muumini.

Ina maana ulimuogopa kuliko unavyoogopa haya maneno ya Mtume Mtukufu . Iko wapi imani yako.

Unasubiri kufanya harakati juu ya mwili wa mfu.

Umeingia katika wanafiki wakubwa, watu waoga, na kada ya wasomi wasiojiamini.

Kama hukumwambia yeye hakuna haja ya kutwambia sisi. Unatwambia tumwajibishe nani sasa, kaburi lake ama familia yake.

Umbweha ni tabia ovu sana.
 
Unapata wapi mamlaka ya kuhoji uumini wa akhy Mussa Assad??

Unajifanya mjuaji wa dini?? Ngoja tukufunze basi ili ujinga ukutoke.

Katika Uislam muongozo na mazingatio ya kwanza kabisa hufanywa kwenye Qur an. Yaani tutafuata maelekezo ya Qur an kabla ya hadith. Sasa nenda rudia Qur an 4:71 Allah anatuamrisha tuchukue tahadhari katika mambo.

Wewe unamuona mtu ni mjinga na anahistoria mbaya ikiwa utakinzana nae au kugombana nae au kubishana nae, Muongozo wa dini yetu ni kuchkua tahadhari usigombane nae maana ukigombana nae atakudhuru.

Ni jukumu la kwanza kabisa kwa Muislam kuilinda nafsi yake. Imtoshe mtu kuchukia ndani ya nafsi yake na kukaa kimya hata kama kuna ubaya unatendeka ikiwa ubaya huo hawezi kuuondosha kwa mkono wake au kwa mdomo wake.

Aliekutuma mwambie Prof. Assad anajitambua.

Muacheni mama afanye kazi
 
Hapa hasemwi marehemu Bali matendo ya marehemu
Na wala hajamtaja mtu kwa jina kaongea kuhusu serikali na mifumo mobovu. aliondolewa madarakani kwa sababu alipinga ya watawala na wakati ule asingepata platform ya kuongea haya labda hiyo Hotel wangetaa kuwapa ukumbi wala vyombo vya habari wasingetoa habari kila kitu ilikuwa uwoga mtu au biashara anaogopa kusingiziwa kesi ndio maana leo anaongea.
 
Mataga hata mje na aya za vitabu kutoka kuzimu.

Jiwe hasafishiki.

Na watu wataendelea kuanika ubaradhuli wake wote mpaka akili ziwakae sawa.
 
Hakukosea,alikuwa sahihi, kabisa.
1.5 Trillion haikupitoa yote, huenda kuna kiasi kilitumika kwa matumizi sahihi. Ni vigumu kuujua ukweli wote wa hiyo pesa kwa sababu tofauti na zile hesabu za Pole pole serikali haikuangaika kuitolea maelezo au documents zozote kuihusu.
Mbona aliandika ile 1.5 t imekwapuliwa haijulikani ilipo? labda kosa lake ni pale alipoulizwa mbele ya kamera na mkuu mwenyewe kama hiyo pesa imepotea kweli akakataa.
 
Unapata wapi mamlaka ya kuhoji uumini wa akhy Mussa Assad??

Unajifanya mjuaji wa dini?? Ngoja tukufunze basi ili ujinga ukutoke.

Katika Uislam muongozo na mazingatio ya kwanza kabisa hufanywa kwenye Qur an. Yaani tutafuata maelekezo ya Qur an kabla ya hadith. Sasa nenda rudia Qur an 4:71 Allah anatuamrisha tuchukue tahadhari katika mambo.

Wewe unamuona mtu ni mjinga na anahistoria mbaya ikiwa utakinzana nae au kugombana nae au kubishana nae, Muongozo wa dini yetu ni kuchkua tahadhari usigombane nae maana ukigombana nae atakudhuru.

Ni jukumu la kwanza kabisa kwa Muislam kuilinda nafsi yake. Imtoshe mtu kuchukia ndani ya nafsi yake na kukaa kimya hata kama kuna ubaya unatendeka ikiwa ubaya huo hawezi kuuondosha kwa mkono wake au kwa mdomo wake.

Aliekutuma mwambie Prof. Assad anajitambua.

Muacheni mama afanye kazi

wewe ndio dini hujui mshia wewe: ingekuwa tuchukuwe tahadhari tusigombane na mtu kwa sababu atakudhuru basi hiyo aya unayoisema mtume asingepigana vita na makafiri kwa kuhofia watadhurika. unaambiwa mtu akikosea mwambie hapohapo ndio dini inavyotufundisha. uislamu unakataza kumsema au kusengenya mtu kama hayupo mbele yako
 
PROF. ASSAD HII HADITH YA MTUME (SAW) UNAIJUA ?.

Na Bashir Yakub.

Mtu mmoja alimuuliza Mtume swallah llahu 'alayhi wasallah

“Ipi ni jihad(harakati) bora?” Mtume Akasema:

“Maneno ya haki mbele ya Mtawala muovu”

Kwa maneno mengi ya Assad ni wazi kwake kwamba Magufuli alikuwa mtawala muovu.

Assad haya maneno unayoita ya haki unayobwabwaja kila sehem mda huu uliwah kuyatoa mbele ya mtawala muovu.

Wakati akiwa hai na we si ulikuwa hai, ulishindwa nini kuyatamka mbele yake ili ukawa katika wale waumini wa kweli aliowasema Mtume katika hii Hadith ambao husema kweli.

Unakula nyama ya mfu kwa confidence, unajitutumua leo hayupo halafu unajifanya muumini.

Ina maana ulimuogopa kuliko unavyoogopa haya maneno ya Mtume Mtukufu . Iko wapi imani yako.

Unasubiri kufanya harakati juu ya mwili wa mfu.

Umeingia katika wanafiki wakubwa, watu waoga, na kada ya wasomi wasiojiamini.

Kama hukumwambia yeye hakuna haja ya kutwambia sisi. Unatwambia tumwajibishe nani sasa, kaburi lake ama familia yake.

Umbweha ni tabia ovu sana.
Soma Quran sura inayoitwa Wanafiki ayah ya 4. Uone pale ukiishi chini ya mtawala katini aliyezungukwa na wanafi unapaswa uishi VP.

AL - MUNAAFIQUN - 4
Na unapo waona, miili yao inakupendeza, na wakisema, unasikiliza usemi wao. Lakini wao ni kama magogo yaliyo egemezwa. Wao hudhania kila ukelele unao pigwa ni kwa ajili yao. Hao ni maadui; tahadhari nao. Mwenyezi Mungu awaangamizilie mbali! Vipi wanapotoka na haki?
 
Unapata wapi mamlaka ya kuhoji uumini wa akhy Mussa Assad??

Unajifanya mjuaji wa dini?? Ngoja tukufunze basi ili ujinga ukutoke.

Katika Uislam muongozo na mazingatio ya kwanza kabisa hufanywa kwenye Qur an. Yaani tutafuata maelekezo ya Qur an kabla ya hadith. Sasa nenda rudia Qur an 4:71 Allah anatuamrisha tuchukue tahadhari katika mambo.

Wewe unamuona mtu ni mjinga na anahistoria mbaya ikiwa utakinzana nae au kugombana nae au kubishana nae, Muongozo wa dini yetu ni kuchkua tahadhari usigombane nae maana ukigombana nae atakudhuru.

Ni jukumu la kwanza kabisa kwa Muislam kuilinda nafsi yake. Imtoshe mtu kuchukia ndani ya nafsi yake na kukaa kimya hata kama kuna ubaya unatendeka ikiwa ubaya huo hawezi kuuondosha kwa mkono wake au kwa mdomo wake.

Aliekutuma mwambie Prof. Assad anajitambua.

Muacheni mama afanye kazi
Huyu jamaa hakustahiki kujibiwa , ''don't argue the fool''

Pr. Alitowa report yake hadharani na kuiwakilisha kwa Raisi ,kisha Bungeni.
Alitaka aseme vipi tena?
 
“Maneno ya haki mbele ya Mtawala muovu”
Wewe uliisoma Report ya Dr Assad?
Sasa haki gani tena aiseme mbele ya Mfalme Muovu?
Au ulitaka asimame kwenye majukwa ya siasa?
Pumba vu zako.
Usitumie kivuli cha Hadithi tukufu kwa upeo wako finyu wa kuelewa mambo,
Prf. ni mtu mzima na Hadhi yake na ni mcha Mungu ,nakuhofia usije kupatwa na Balaa au hasira za Muumba kwa kumkera mja mwema wa Mungu.
 
wewe ndio dini hujui mshia wewe: ingekuwa tuchukuwe tahadhari tusigombane na mtu kwa sababu atakudhuru basi hiyo aya unayoisema mtume asingepigana vita na makafiri kwa kuhofia watadhurika. unaambiwa mtu akikosea mwambie hapohapo ndio dini inavyotufundisha. uislamu unakataza kumsema au kusengenya mtu kama hayupo mbele yako
battawi

"Do not argue the fool"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom