Prof. Assad hajitambui au anatumika?

Akili yako fupi, wenye akili walielewa alichomaanisha! Siyo lazima aseme china ili uelewe anamaanisha wachina au hujui mradi huo unamkataba na wachina na jamaa yako JK alisha umwagia wino wake wakati na huyo profesa maji taka akiwa CAG! Hujui hayo eeh😡! Usinichoshe😜!
 
Majitu Majinga kama Haya.. huwa hayakosi.
 
Jifunze nilichokufundisha kitakusaidia!
 
Opportunistic prof! Watu kama hawa mama yetu Samia ajiepushe nao kabisa kama ukoma! Watampaka matope kwa kumvuruga kwa majina ya 'uprofesa'!
Kwa Hivyo awe karibu na Ndugai, Msukuma na yule wa Njombe.
 
Wewe first year. Sasa kama umeshindwa kumuelewa Assad, basi ujue kusikiliza kwako kwa makengeza kutakufelisha.
 
Anatumika na Nani?.Jamani mtu mzima atumike na nanai?.huu usemi unaniudhi balaa.mtu anatumikaje?
 
Nawe MaTaGA uliyekula buku 7 kwa kuPost uzi huu hujitambui au umetumiKa??
 
Eti opportunist, unaelewa kwamba mtu akishakua CAG hawezi tena kupewa nafasi yeyote ya utumishi wa umma? Unaelewa kama Assad ni vice chancellor wa chuo Kikuu cha Wasilamu cha Morogoro, sasa atafute nin!
Mbona ameshindwa kuendelea hicho chuo cha waislamu kama kwli ana mawazo ya kujenga. Chuo kimebaki business as usual.
 
Sawa
 
Kuandika tu ni changamoto kwako halafu unampinga profesa. Hujui aliupataje na unadiliki kumdhihaki kwa hoja zako dhaifu kabisa.

Zama za mapambio zimekwisha kila mtu anatoa dukuduku lake sasa. Akisifia upuuzi "mzalendo" akisema mabaya na ubadhilifu unaofanywa *Anatumika", kwanini hamjiamini. Nenda kamsikilize na Mh. Mbowe upate kiwewe zaidi uzidi kuongeza idadi ya watu wanaotumika.

Prof. Assad alikua CAG anaongea kwa kuzingatia uzoefu aliokua nao na pia elimu aliyonayo. Sasa wewe mnyonge hiyo degree yako ya ualimu wa kiswahili unakuja kumchallenge profesa wa masuala ya uchumi na uhasibu kweeeliii. Jama jama tuwe na mipaka na ukosoaji ukizingatia taaluma zetu tulizobobea.
 
nasikia lumumba wanampango wakuwapokonya hizi tecno
 
Huyo Assad ni kichwa sana.

Huwa anawafumbua waislamu kwa mambo mengi sana pale chuo cha kiislamu Morogoro..

ANA MAONO!
 
Nimegundua una mtazamo finyu na ulioganda na hivyo hutufai hata hastahili kuwa balozi wa nyumba 10, ww ni mzee wa kijiwe cha mgahawa tu.
Assad ana hasira tu za kutemwa u CAG
 
 
Halafu hakuna sehemu amemtaja Magufuli huyo jamaa naona amehehuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…